NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE
NDOTO ZA SHULENI ZIJUE MAANA YAKE.
AYUBU:33;14-15 Mathayo:2:12-13 Matendo:2;17 Mwanzo:41:1-32
NDOTO✍️Ni Taarifa inayomlenga muotaji Ikimjulisha Yaliyopo Katika maisha Yake au Yanayokuja Katika Maisha Yake au Yalishapita Katika maisha Yake.
NDOTO Huoparetiwa au Kuendeshwa Na Mungu mwenyewe au Shetani Hawa hukufanya uote mtu asiyeota ndoto au Kukosa Maono hawezi Kufika Anakoenda au hawezi kuijua njia.✍️
Masomo haya yapo WhatsApp+255759861768
Youtube✍️https://youtu.be/0z6oPMGtVyY
✍️ Ukiigia Subscribe Utakuwa umejiuga YouTube ✍️✍️Pia Website: www.mchungajirichardi.blogspot.com
KARIBUNI TUJUE MAANA YA NDOTO ZA SHULENI.
1:Ukiota Upo mazingira ya shule msingi na Unifom✍️ Unajulishwa Umefungwa Usifanikiwe waitajika uombe kukemea
2:Ukiota Upo shuleni unamwagilia mimea✍️ Unajulishwa Watu Utakuwa unawafanya wanafanikiwa kwa ulicho nacho wewe hutafanikiwa.
3;Ukiota Upo Palendi(Mstarini✍️Unajulishwa umeuganishwa roho ya Kusimama katika hatua zako uombe unatakiwa.
4:Ukiota Upo Unacheza na Wanafunzi wezako shuleni✍️ Unajulishwa Utateseka kwa Kuwa mpuuziaji wa vitu
5:Ukiota Upo shuleni Mwalimu anafundisha wewe huna daftari au Kalamu✍️ Unajulishwa Huwezi Kuweka Kumbukumbu Ya Vitu unavyoelekezwa au Kushauriwa.
6:Ukiota Unalia Upo maeneo ya shuleni✍️ Unajulishwa Unauchungu Kwakuwa Mambo hayaendi mbele au utakavyo
7:Ukiota Upo shuleni mnafanya Mtihani wezako wanakusanya wewe Upo TU unashtuka✍️ Unajulishwa Huwezi kutatua changamoto unazopitia mpaka usaidiwe ndio utavuka.
8: Ukiota Upo Kwenye chumba Cha Mtihani hujagawiwa Karatasi Wezako wamegawiwa✍️ Unajulishwa Karibuni Utakutana na changamoto kabla haijakukuta Omba.
9:Ukiota Upo Darasani inafundishwa Hisabati✍️ Unajulishwa Huwezi kufanikiwa Sababu huna malengo.
10:Ukiota Upo Darasani mnapiga Kelele Mwalimu anaingia✍️ Unajulishwa wewe unamaneno mengi SI mtafutaji.
11:Ukiota Upo Shule ya O,level✍️ Unajulishwa Unamwaga wa Kufanikiwa lakini Waitaji mtu mwenye hekima
12;Ukiota Upo High Level mpaka chuo✍️ Unajulishwa Unamafanikio lakini jishughulishe kila kitu Mungu atakibariki.
13: Ukiota Upo unasoma na Wanafunzi wa chuo lakini wewe hujawahi Kufika au Kusoma chuo✍️✍️ Unajulishwa Mafanikio yako yaitaji ukae na watu waliokuwa kiroho na kielemu utafanikiwa
14: Ukiota Upo shuleni unakula✍️ Unajulishwa matatizo yako Yanayokutesa uliyapata ukiwa shuleni.
15;Ukiota Upo shuleni lakini chooni au Bafuni Ndoto ikaja hivyo✍️ Unajulishwa Ulikanyaga Dawa ukiwa shuleni Mungu Akakukinga nazo hazijakuzuru lakini Waitaji uombee kukemea roho hizo.
16:Ukiota Upo Darasani unawafundisha wezako Mwalimu nae amekaa✍️ Unajulishwa Utafanikiwa Kile ufanyacho Kupitia kuwasaidia watu wegine.
17:Ukiota Upo O,olevo au High school Unafundishwa na Mwalimu Wa chuo✍️ Unajulishwa Upo unakwama kusonga mbele Kwakuwa unaitajika ukae na mtu aliyekuwa kiroho au aliyefanikiwa Kimwili ndipo utatoka kwenye pito Hilo.
18:Ukiota Upo shuleni umevaa nguo za nyumbani✍️ Unajulishwa Unapenda Kujifunza na Kutafuta mafanio lakini Tabia hubadiliki Unapaswa ubadilike Tabia yako Utafanikiwa
19:Ukiota wewe Ni Mwalimu Upo unafundisha shuleni kwako✍️ Unajulishwa roho ya kutumikishwa hutaendelea kwa Kuwa unatumikishwa kila utakalokufanya. Uombe kemea
20:Ukiota wewe Mwalimu umeitwa na mkuu wako akakufokea✍️ Unajulishwa utaitwa na mkuu wako atakuonya Jambo.
KWA MSAADA NA UKOMBOZI WA KUTOKA KWENYE NIPIGIE SIMU JIONI AU FIKA KANISANI MOTO WA YESU Morogoro veta Dakawa
JIONI SAA 12:00 Ndio uogea na Pastor Richard+255759861768
Shirikisha wegine Wanaoteseka na ndoto za shuleni.
Maoni
Chapisha Maoni