NDOTO 20 ZA KUTISHA ZIJUE MAANA YAKD
#NDOTO ZA KUTISHA ZIJUE MAANA YAKE:
Tufunue Biblia:AYUBU:33:14-15 Mathayo:2:12-13 Matendo:2;17
NDOTO ZA KUTISHA huwa zinaoparetiwa na majeshi ya Shetani na hulenga kumjulisha mhusika majeshi hayo yalivyomfunga Alipo na Anafanya Nini kazi ngani wanamtumikisha nazo. mtu Huyu huhitaji akombolewe au ajue tu Maana ya ndoto hiyo na aombe kukemea hizo roho.Naitwa Pastor Richard Muda wa Kuogea nami jioni Saa 12:00 Jioni
WhatsApp+255759861768 Tovoti👉:www.mchungajirichardi.blogspot.com
HIZI NI NDOTO ZA KUTISHA NA MAANA YAKE
1:Ndoto Ukiota Unakimbizwa na watu wanamapaga✍️Unajulishwa Shetani anakutuhumu unakosa anakuadalia Tuhuma kwenye ofisi yako kazi yako Uombe ukemee.
2:Ukiota Upo ndani au umejificha Watu wanakutafuta hawakuoni✍️ Unajulishwa Umeshinda Adui zako katika roho.
3;Ukiota Upo Unaua au Unafyekwa Panga✍️ Unajulishwa Umekufa kiroho kila Kitu Kitakuwa kinakufa.
4:Ukiota umedumbukia shimoni au matope umezama✍️ Unajulishwa Mikosi nakushindwa kiroho na Kimwili.
5;Ukiota watu wamekuzunguka wanakuzomea au kucheza✍️Ni roho ya kafara kichawi inakuwinda.
6:Ukiota umegeuka kuwa mnyama au mdundu✍️ Unajulishwa wewe umeuganishwa nafsi yako na huyo mnyama wachawi wamekufanya hivyo.
7:Ukiota Upo Sehemu watu wamevaa sare wote huwajui✍️ Unajulishwa Upo Kuzimu wachawi wamekupeleka huko na wanakuotesha matukio.
8:Ukiota unacheza ngoma au desturi Fulani✍️ Unajulishwa Upo na wachawi kwenye ngoma zao unacheza wamekubeba Omba kemea
9;Ukiota unaongea na wanyama au nyoka✍️ Unajulishwa Upo Katika ufalme wa Kuzimu nashetani anakuongelesha. Omba kemea
10;Ukiota Upo umechafuka maeneo jalalani✍️🌳 Unajulishwa wachawi wanaweka ukichaa ndani yako Omba kemea
11:Ukiota nyoka Wengi wamekuzunguka ✍️ Unajulishwa wachawi wamekudhibiti huwawezi wameshakuzidi fika kanisani Wachungaji wakusaidie.
12:Ukiota Unakimbizwa na nyoka✍️ Unajulishwa Wachawi wanashindana nawewe kuzuia shughuli zako.
13: Ukiota Unajisaidia maeneo ya kazini✍️Aibu itakupata kazini kwako
14:Ukiota Upo makuburini✍️ Unajulishwa Mauti inawafatilia
15:Ukiota unaongea na Shekh au mtu mwenye ndevu✍️ Unajulishwa jini mahaba linakufatilia.
16:Ukiota Upo kwenye Jeneza✍️ Unajulishwa Wachawi wanataka wakue kwa MTENGO utakapoenda kumuaga mtu aliyekufa tu.
Omba kemea
17:Ukiota Upo Msibani ✍️ Unajulishwa Habari za Huzuni utazipata
Ujue Shetani aliandaa
18:Ukiota ndoto za kuua au kunyemelewa au kukimbizwa✍️ Unajulishwa nafsi yako inatumika Kuzimu
19;Ukiota Unapaa na unaenda juu✍️ Unajulishwa Wachawi hawakuwezi Ni Ushindi.
20: Ukiota Umezama kwenye maji✍️ Unajulishwa umeshindwa wachawi wamekukamata katika Damu utaanza kupatwa Mikosi.
KWA MNAOTOKA KUOGEA NAE PASTOR RICHARD MPIGIE JIONI SAA 12:00 Namba HIZI kwa Ajili ya MSAADA wa Kiroho +255759861768
Maoni
Chapisha Maoni