MAOMBI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE UPOFU
JINSI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE UPOFU WA KIROHO NAKUAZA KUONA NJIA YA KUFIKIA MAFANIKIO YAKO AU HUDUMA YAKO.
Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
Maombi Haya nayokufundisha unatakiwa uombee macho yako ya damu na Nyama yaweze kuona mwelekeo wa Maisha yako Kuona Mlango wako wa Baraka.Ukitaka Kuongea nami kwa msaada piga Saa 12;00Jioni simu za Bishop Richard+255759861768
Marko:Mlango 10🥦🥦Huu mstari wa kusimamia;
51 Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyie nini? Yule kipofu akamwambia, Mwalimu wangu, nataka nipate kuona
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍🏼✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
MAMBO HAYA ZINGATIA UNAPOOMBA USIOMBE BILA MAELEKEZO HAYA.
1:Maombi ya omba ukitamka Nafuta macho upofu kwa Damu ya Yesu.
2:Unapoomba Onesha ishara macho yako unafuta kitu ukiwa unayapapasa macho yako.
3:Kisha yaombee macho yako Yawe na Nguvu ya Kuharibu kazi za shetani wachawi wasikutazame mapepo yasisimame mbele yako
4:Tamka maneno na uyatoe maneno kwa kuamrisha Unapoomba.
5;Omba Ukiwa Umesimama au unatembeatembea.
JINSI YA KUYAOMBA MAOMBI HAYA.
Eeh Bwana Yesu Nasimama Kwako Mbele Yako Mimi Mtoto wako Richard Nataka uniondolee upofu wa kiroho yafanye macho yangu yaone Mlango wangu wa mafanikio uliouandaa niupite ili kufika pale unapotaka nifike Maisha haya baba ya kuishi nabahatisha Baraka Zangu Huduma yangu uimbaji wangu Kazi Yangu Pesa Zangu Natembea Mimi Mwanao Kama Kipofu niliyekosa mtu was kunielekeza njia sahihi Umeniita Katika Roho nami nimeitika Katika Roho Nataka Nami Nione Kama yule Kipofu uliyemuuliza wataka nikufanyie Nini akakujibu anata aone hivyohivyo na Mimi Richard Nataka nifutie macho ya kuona magumu Nifutie macho yakuona magonjwa Nifutie macho ya kuteswa na wachawi Nataka yaimarishe macho yangu yawe Moto Moto Wachawi na Kuzimu isisimame mbele yangu Nafuta Nafuta Macho ya upofu kwa Damu ya Yesu Nafuta kwa Damu ya Yesu.Baba Nayafunika Maombi yangu haya kwa Damu ya Yesu uyazingire kila Kona nashukuru kwa kunifunulia Siri hii Endelea kunifundisha katika jina la Yesu ✍️ Amen.
Omba siku mbili Kila siku Jioni SAA 10;00-10;45
Nisaidie Kumuelekeza na huyo pembeni yako Rafiki yako Afunguliwe nae
Maoni
Chapisha Maoni