JINSI YA KUOMBA KUSHUGHULIKIA ROHO YA TAMAA
JINSI YA KUOMBA KUSHUGHULIKIA ROHO YA KUTAMANI MABAYA(TAMAA)
Karibu Katika Maombi Ya Kushugulikia roho ya Tamaa inayozidi kukutesa na imeharibu maisha yako njia Zako uaminifu.
👉🏿 MSTARI WA KUSIMAMIAWarumi : Mlango 1
24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
Naitwa Pastor Richard
Kanisa la Roho Mtakatifu
WhatsApp+255759861768 Morogoro Veta dakawa
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
MAELEKEZO YA KUFATA UNAPOOMBA.
1:Ombea hiyo Dhambi inayokufanya uitende kupitia Tamaa.
2:Chukua DAKIKA 45 TU zikishakamilika Stop Maombi haya.
3:Unaomba Kwa Unyenyekevu Katika Stayle ya Kupiga magoti.
4:Omba Kwa Kutamka Tamaa inayokutenga na Mungu
MAOMBI YAOMBE HIVI
Ansate Yesu Kwa Kunipa Ufahamu Huu nakuniona mwanao napotea katika Dhambi ya Tamaa ya moyo wangu Kwakuwa unanjpenda Baba Yangu umenipa Neema nijue kukurudia Na Leo Mimi Richard Nasimama Baba Kulaani Tamaa Zote Zilizokuwa Zinaendesha moyo wangu Nakunifanya nikuache wewe njtangulie mbele naomba Bwana ufute ulevi ndani Yangu ufute Tamaa ya Kuzini nskuzaa zaa watoto nje ya utaratibu wako ufute Tamaa yakutafuta Mali Ya Tamaa Ufute Tamaa za Ujana wangu ndani ufute Tamaa za Kutamani wanaume/wanawake Wanzuri(Unataja Dhambi ya Tamaa inayokutesa)Baba Mimi najua nidhsifu hisia Zangu na moyo wangu nashindwa Kukotro au kuongoza Sasa naomba moyo wangu Yesu uuchukue wewe ubebe hisia Zangu uziongoze wewe Ni Kweli Kabisa Nakiri nakuuzi Kupitia Tamaa Zangu Naomba unirehemu Mimi nimekosa Tena Kwakujua kabisa hii haikupendezi lakini moyo ulinizidi Kutamani Mambo Makubwa Nakupenda Sana Bwana Yesu Mimi na Wewe Tusikosane kwa Ajili ya Tamaa Naomba Baba Yangu Unifundishe usiku na mchana utakavyo wewe sio nitakavyo Mimi katika jina la Yesu 🙏 Amen 🙏
(Rudia Mara 4 Ukiwa Umepiga magoti Omba kwa Unyenyekevu lakini Usiombe kwa Kuugua au kulia shuka katika Unyenyekevu Katika hisia Kubwa Tamka Taratibu usiende haraka Omba Kama unaongea na mtu live.👉🏿👉🏿Kwa Msaada Zaidi Wa Maombi Piga jioni Saa 12 00
Mchungaji Mungu hazidi kukubariki sana kwa kutuinua kiroho
JibuFuta