SOMO:MOYO WA UTARATIBU
SOMO: MOYO WA UTARATIBU MZURI
Tufunue Biblia 👉🏿✍🏼2Wathesalonike:3;5-10👉🏿✍🏼1Wakoritho:14:40✍🏼👉🏿1Wathesalonike:5;14
Karibuni Naitwa Bishop Richard
Kanisa la Roho mtakatifu (Moto wa Yesu)
Naishi Morogoro✍🏼 Tanzania
WhatsApp number+255759861768
MOYO WA UTARATIBU MZURI 👉🏿✍🏼Huu Ni moyo unaokuongoza Uishi maisha ya utaratibu na mpagilio mzuri Kwenye maisha yako au Kwenye ndoa yako au Kazi zako.
UTARATIBU; Maana Yake Muongozo au Mtiririko mzuri.
LENGO LA SOMO: Uwe na Moyo uliojazwa katika utaratibu.
Dhima Yetu;Kuuganisha Usawa na Umoja Katika Jamii kupitia Somo hili
FAIDA ZA MOYO HUU.
1:Kuujega msingi ulioimara
2;Kufanya Maisha yako yawe ya mfano kwa Jamii.
3:Hufanya Moyo wako uvumilie na ufikie Lengo.
4:Hujazwa Hekima na Utashi Mkubwa Moyo huu
5:Ni Tabia Ya Ki MUNGU unapoishi Katika Utaratibu.
HASARA ZA KUKOSA UTARATIBU
1:Hujengeka Moyo na Msingi Uliobomoka Katika Maisha yako.
2:Hufanya Maisha Yako Yasiingwe au Kuwa mfano kwa Jamii
3;Hufanya Moyo Ukate Tamaa Unapopita Kipindi Kigumu.
4:Hujazwa moyo upumbavu na ujiga mwigi usipoishi Katika Utaratibu.
5;Kukosa Utaratibu Huwa Tabia Ya Shetani na unayeishi Bila Utaratibu unamuadhimisha Shetani ndani moyo wako.
WITO WETU MOTO WA YESU.
Jifunze Kujiwekea Utaratibu na mpagilio mzuri unaokufanya mwenyewe maisha yako yabadilike na ufikie hatua unakuwa mfano kwa Wegine .
Inawezekana Baadala ya Kukosa Utaratibu ukaanza kuuweka utaratibu mpya katika maisha yako Popote unaposhindwa ujue umekosa utaratibu mzuri.
Chukua Namba za Pastor Richard mpigie Jioni Saa 12;00 Uogee nae +255759861768
HITIMISHO
Nakutakia uwe balozi na Mwalimu mwema kwa Mwigine Unayetaka Kumsaidia
Maisha Yetu yanaitaji utaratibu tujiwekee mzuri na mipango Yetu ikae katika utaratibu na mpagilio mzuri tutafikia hatua nzuri Sana Kubali kuacha maisha yaliyokosa Mtiririko mzuri.
Maoni
Chapisha Maoni