MAJUKUMU YA MWANAMME NDANI YA NDOA

🌍🌍MAJUKUMU YA MWANAMKE NDANI YA NDOA ANAPOINGIA KWENYE NDOA✔️✔️ ZINGATIA NA UFANYIE MAZOEZI MWANANDOA

Wanandoa Tuongee+18 Leo Topic Mwanamke Jinsi Ya Kusimamia Majukumu yake Anapoigia Kwenye Ndoa Wanandoa Wengi Wakike Wamekuwa Wakijisahau Wajibu Wao na Majukumu Ya Kibiblia Mwisho Wa Siku Kufanya Ndoa Nyigi Zifarakane nakuvunjika.

Karibu Naitwa Mwalimu Wa Wanandoa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa

1:UTIIFU KWA MMEO (1Petro:3:1,Waefeso:5:22)
Mwanamke Ukiwa ndani ya ndoa Utakiwa Uoneshe Utiifu Kwa Mmeo Hupaswi Uvunje Agizo hili uinue mabega Umdharau Mmeo na Kuaza Kumbishia Na Kumpiga Kwa Maneno Au Kumfokea Onesha Adabu Kwa Mmeo Onesha Maadili mema Na Umsikilize Mmeo. Huu ndio Wajibu wako kwenye ndoa.

2:KUTUNZA SIRI NA MADHAIFU YA MMEO(Yohana:17:16)
Mwanamke Jukumu Lako la Pili Kwa Mmeo Mtunzie Siri Mmeo mhifadhie Madhaifu Yake Usitoe Nje au Kwa ndugu zako au Rafiki zako Siri za Mmeo au Madhaifu Yake. Wanawake wengi wanaotoa nje Siri za Waume zao huwa Ni wanawake wasiojitambua na huvunja ndoa zao Kwa Kukosa Kuhifadhi Siri. UKIFANYA HILI UTAITUNZA NDOA YAKO MAMBO NDANI KWENU HUTAKIWA UTOE NJE.

3:KINYWA CHAKO KIFUNDISHE KAULI NZURI KWA MMEO.(Mithali:18;17-19 Zaburi:36;4)

Kinywa Chako ukiingia ndani ya ndoa Ni Jukumu Lako Kukifundisha  Kutoa .maneno matamu na Yenye Kumtia moyo Mmeo Kutoa maneno Yenye KUIMARISHA ndoa YAKO Mwanamke Hupaswi uongee kwa SAUTI ya Juu Unapokuwa ndani Ya Ndoa Na Unatakiwa ongea SAUTI ya unyenyekevu Yenye Utiifu unapowasilisha Kitu Kwa Mmeo usiamrishe. Fanya mazoezi Mara Kwa Mara ili uzoeshe Kinywa Chako.

Futa Dhana ya kushikilia maneno ya wanawake walioshindwa kuimarisha ndoa zao nakuzilea Usikubali ukaambiwa ndoa inamatatizo kadiri utakavyofeli Kujua majukumu Yenu Wote wawili.

4:MSHAURI WA MMEO (MITHALI:31:26)
Mwanamke Ukiigia Kwenye ndoa Jukumu Lako Kumshauri Mmeo Tena Kwa utaratibu Mnatakiwa mkae nakushauriana Chochote Kile mnachokifanya Kabla hujafanya mweleze Mmeo na Usipuuzie Ushauri wake na wewe MSHAURI Mmeo. Wanawake wegi wanaenda Kupokea ushauri wa nje unaacha ushauri wa mmeo na mwisho wa siku ndoa Yenu inavunjika Kwa Kuwa Umetoka nje Kutafuta ushauri wa ndani ndoa YAKO waswahili husema "Kitanda usichokilalia huwezi kujua kunguni wake" mmeo Ni wako na unayetaka Kuijenga Ndoa Ni wewe sio mtu wa nje.Ukisimama kwenye Jukumu Lako Utafurahia ndoa YAKO.

5:MLETA KIBALI NA MABADILIKO NDANI YA NDOA(1Petro;3;7)
Mwanamke huleta Mabadiliko makubwa ndani ya ndoa anapojitambua Jukumu lilomfanya aingie ndani Ya Ndoa Watafanikiwa Kiuchumi Kikazi maendeleo Na Mabadiliko hufanywa na Mwanamke anaejua Thamani yake Kama Mwanamke Kupitia Mwanamke maendeleo hupatikana na Hata mmeo utambadilisha Tabia Nyigi na utaifanya ndoa YAKO walio nje waigie kwa kuona Jinsi mnavyopendeza nakufurahia maisha Ya Ndoa Yenu.

6:KUJALI NA KUMTIMIZIA MAHITAJI YA TENDO LA NDOA(1Wakoritho;7:1-5)

Mwanamke Ni Jukumu Lako Kumjali mmeo Kumfuria Kumpikia Kutandika Kitanda Kumnyoshea Kuagalia nakumchangulia nguo.
Wanawake wengi hasa waliobize na Kazi Wameondoa upendo kwa Waume Zao kwa Kuwa hawapikii Waume zao wanapika wafanya kazi kufua wanafua waschana wa kazi.UKITAKA NDOA YAKO IINGIE NDOA NI WEWE MAJUKUMU YAKO NDANI YA NDOA KUMPA MTU ASIYE HUSIKA mfano:Kufua,Kupika,Kunyosha nguo,Kusafisha chumba chenu nakutandika Kitanda
Ndoa utaivunja au Kuifanya ikose upendo Jiwekee Mazoea mmeo mfanyie wewe kila Kitu usiuze ndoa YAKO kwa house girl au mtu.
JUKUMU jigine Hakikisha mmeo unamtimizia Tendo la Ndoa Na Penda Kujifunza na kuhusu Tendo la ndoa malalamiko mengi ninayopokea kwa Wanandoa Ni Tendo eidha wanaume hawatimizii wake zao Tendo la ndoa au wanawake.

7:MSAINDIZI
Mwanamke Ni msaindizi wa mmewe Katika majukumu ya familia na Kazi mbalimbali Unatakiwa msaindie mmeo ukiingia ndani ya ndoa Hakikisha Unafanyika msaada usikae TU bila kazi au usikae TU ukimtengemea mmeo kila Kitu. Ni Jukumu Lako kumsaidia mmeo Usimtelekeze mmeo wa ndoa.

8:MSAMAHA(Marko:11;25,Mathayo:)
Mwanamke unatakiwa mmeo umsamehe Makosa Yale usihifadhi Makosa Yake Fanya moyo wako uwe na msamaha kila mnapokosana msirusu watu wakapata la kuongea Kupitia kungombana kwenu.

Wanawake wengi Wanashindwa kujua Jukumu la Kusamehe ndani ya ndoa Ni la mhimu Sana na ukilipuuza Jukumu Hili utavunja ndoa YAKO kwanini Uvunje ndoa Samehe Mmeo.

9:FURAHI NA USO WAKO UWE NA FURAHA(Wafilip:4;4)
Unapokuwa na mmeo au Unapokea Uoneshe furaha Usoni usinune au Kuonyesha Chuki Kwa Mmeo Furaha huwa Tunda la Amani ndani ya ndoa kwa hiyo Ni Jukumu Lako kuifanya ndoa YAKO Iwe na Furaha.

10:MAOMBI
Mwanamke Ni Wajibu wako Kumuombea mmeo nakutamkia Baraka aendapo kazini kwake muombee.ombea ndoa Yenu Iwe na Amani roho chafu zisiwe kwenye ndoa YAKO.

✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
Nawatakia Mafanikio Mema Katika Kufanyia Kazi hii Elimu Mimi Ndugu Yenu Mwalimu Wa Wanandoa Pastor Richard WhatsApp number+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.