MAMBO MATATU YANAYOKUFARAKANISHA NA MUNGU

👊🔥MAMBO MATATU YANAYOKUFARAKANISHA NA MUNGU👊🔥
Mithali:16;1-5

1:UZINIFU:-Hii Lango linalokufarakanisha na Mungu

Dalili kuu hutokea ukizini
1:Moyo Kuugua
2:Kuendeshsa na roho hii itakuwa Lango kubwa.
3:Mambo ndio yatazidi Kuwa magumu MPAKA usione Maana ya kuishi.

2;Kuogoka:Hii huwa Hali ya Kukegeuka Unajua hii Ni Dhambi Unafanya Sasa uone Ni Nini wakati huo Umeokoka. Unajua Ukiokoka umetangazs Mapambano na wachawi.

Dalili Kuu Tatu HIZI Utaziona ukikegeuka

1:Kiburi Cha Uzima ulionao.
2:Utatoka nje ya Maadili ya Mungu
3:Utaacha Maadili ya Wokovu.(Utarudia Tabia ulizoziacha)

3:WIZI WA FUNGU LA KUMI: Hii huwa Ni Tabia mtu inamwigia anaanza Kidongo Kidongo Kisha anakuwa Sungu Hatoi Fungu la Kumi.

DALILI KUU 3 UTAZIONA HIZI
1:Uchumi wako utayumba tu.
2:Afya Yako na Uzao wako itayumba tu.
3: mahusiano Yako na ndoa lazima ikose Amani ndani

Haya ndio Uyafanyie Kazi Uwe Vizuri na Mungu

Ukikosana na Mungu kupatana nae MPAKA aje AMBAYE hajakosana nae akupatanishe. usipopatana Na Mungu maisha Yako SI salama ukipatana nae Leo Utaona Kwanini nimefundisha Hili SoMo

Nipigieee Jioni SAA 12:00Nitakuombea Toba na Kukupatanisha na Mungu uache wizi wa Fungu la kumi na uache Kuogoka Uzinifu.

Tumia namba HIZI+255759861768 Usipige simu Kama hujakosana na Mungu

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.