SOMO;JITOE KWA MUNGU
SOMO:JITOE KWA MUNGU KAMA MKRISTO NDIO KIPIMO CHA UKRISTO
Tufunue Vitabu hivi Tusome 👉 Warumi 6:13👉 Waebrania 9:25👉2Nyakati:30:8
Naitwa Pastor Richard Kama Ndio Mara ya Kwanza Kunifatilia
Nipo Morogoro Veta Dakawa Askofu na Muasisi wa Makanisa ya Holy Spirit Tanzania
Karibu Leo Tukumbushane haya Kama Wakristo Na Wajibu wa mkristo katika JUKUMU la Kujitoa Kanisani Mali zako na Pesa ZaKo Kuhakikisha Unaipenda Nyumba ya Baba yako na Kuamua kubadilika mwili wako Akili Yako Na Elimu yako ulioipata ukaamua uvitumie kwa Ajili ya Kumtumikia Mungu
MAANA YA KUJITOA: Ni Kufanya Jambo kwa moyo wote linalompa Bwana Utukufu na Kuwaponya watu kiroho mfano Ijue Ndoto yako Shuhuda na Masomo yamekuwa Baraka na Wengi wameokoka toka mwaka 2015 Nilipoanza kutuma Masomo mtandaoni huu Ni mfano was kujitoa
Kupitia mtandaoni Ukawa unatoa Elimu ya kuponya watu kiroho
KUJITOA KWA ELIMU
Mfano wewe Daktari;
Unaweza Kuadaa Masomo ya Afya Tu Ukajitoa Kuwafundisha watu bure
Mfano wewe Ni Mwalimu Unaweza Kuadaa SoMo Tu Ukadili na lika furani kanisani ukawa unatumia Elimu yako
Mfano wewe interpret (mtafisiri) Unaweza Kukaa na mchungaji mkafanya ibada ya kigereza nawewe Ukajitoa Kumtumikia Mungu.
Mfano Unaelimu yoyote Unaitumiaje kwa Ajili ya Mungu wewe Hii ndio maana ya Kujitoa Kwa Mungu
KUJITOA MWILI WAKO
Ni kwenda kufanya shughuli za Kanisani Kudeki Kufua
Kuwashuhudia watu mtaa kwa mtaa
Kuwaleta watu ndani yakanisa
Kuwashuhudia nakutangaza Matendo ya Bwana
KUJITOA PESA NA MALI.
Toa nyumba yako,Gari lako,Kiwanja Kwa Ajili ya Kazi ya Bwana isimame Wachungaji Wanatumika katika Vipindi Vigumu kuiombea roho yako nakuilea roho
Toa Mshahara wako mwezi mmoja wote unamtolea Bwana Unajiweka Kwa Mwaka nitatoa mshahara wangu wote Mara mbili tu.
Toa Fungu la Kumi kwa Uaminifu Kila Mwenzi/wiki
Toa Spika Vyombo Au Viti Vitambaa Au Tofali Jenga Kwa Bwana Sio ukitoa Mara Moja ndio Unajua Hapo mtoaji hapana Uwe utaratibu
Fanya ZOEZI la Kujitoa Katika hivi nilivyoeleza Viwe Kila Mara kwako Kama Mkristo
Mkristo Asiyejitoa hufananishwa natawi lisilo zaa matunda Ambalo Bwana Yesu Alisema Ataliondoa Lisiwepo Kabisa.
Wakristo walio hai huwa Wanajitoa Kwa Mungu nakuujenga Ufalme
Wakristo waliokufa huwa hawajitoi Kwa Mungu Nakuujenga Ufalme wa Mungu.
HITIMISHO
Wakristo walio hai Tufanye Kitendo Cha Kutoa Chochote ulichonacho Leo Nataka Nione wagapi wanabarikiwa na Huduma hii inayotolewa na Pastor Richard Tuma Sadaka Yako kuisaidia Iendelee Kuwa hewani +255759861768 Namba ya Mpesa
Halotel +255628355985 Jina Richard Julius Kushoka
Kila Atakae Tuma Ataenda Kuwa Tunda Nataombea Baraka Kwenu Tu.
Karibuni Tuaze Zoezi
Maoni
Chapisha Maoni