SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.
SOMO: ADUI NA JINSI YA KUMPIGA ADUI YAKO
Tufungue Biblia Zetu ✍️✍️ISAYA: 26;12✍️LUK;1;71-75✍️WARUMI:8;7
✍️MATHAYO:
Kuna Kipindi Adui auTatizo linaweza Kuwa Nguvu Likapata Kukuzidi likakushida Kwa Kukosa Kuwa na Maarifa ya Kupambana nae Kiroho au KIMWILI
Lakini Leo Nataka Nikufundishe Jinsi Ya Kuliangusha Tatizo lako Karibu
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
Unaweza Fatilia Masomo haya hapa 👉www.mchungajirichardi.blogspot.com
Facebook; MOTO WA Yesu
YouTube: Moto wa Yesu Pastor Richard
WhatsApp+255759861768
Karibuni Wote Kupindi Ni Neno la Mungu
Lengo la SOMO;✍️👉Kukupa Mbinu ya Ushidi
Dhima Yetu MOTO WA Yesu✍️👉 Ni Ukombozi kwa Watu Wote.
MAANA YA ADUI;
Adui ni Nini..? Adui Ni Shetani.
Shetani Ni Roho.
Roho humwingia mtu nakufanya au Kumfanyia mwezake Mambo mabaya ya Kishetani
Bila mtu kujua anatumiwa na Shetani au Anamuwakilisha Shetani
Kwa Hiyo Adui yako Anaweza Kuwa Mtu wako wa Karibu usiyetengemea.
✍️✍️KUNA AINA MBILI ZA ADUI WANAVYOSHAMBULIA MTU KIMAISHA
1:Adui wa Kwanza Ni Mwili
2;Adui wa Pili ni Roho
✍️ADUI WA MWILI
Huyu Huwa Ni Adui Atakayetawaliwa na mwili nakufanya vitu vya kimwili kukushambulia au Kukuzuru wewe Kimwili Kabisa.
ATAKAVYOENDESHA VITA VYAKE.
1:Atakutafuta ulipo na atakufikia
2;Atajifanya mtu mzuri KUMBE Ni Adui
3;Atatafuta Habari zako nakukujua zaidi
4;Atakuanzishia Vikwazo na Vizuizi utaviona
5:Utaziona dalili Tu za kimwili
ADUI WA KIROHO
Huwa Ni Adui anaekushambulia nakukupiga kiroho bila Kumuona
Katika Adui wa Kiroho Huwa Tunapambana na falme za ngiza Nazo Ni,,
1; Ufalme wa Wachawi na Waganga
2:Ufalme wa Majini
3;Ufalme wa Mapepo
4:Ufalme wa Mizimu
VITA ya Kiroho Huwa inakuja kiroho nakutatuliwa kiroho Hali hii Hukufanya ujue Mambo YAFATAYO.
1:ADUI YAKO AMEKUTEGAJE
2;ADUI YAKO MUDA GANI HUKUSHAMBULIA
3;ADUI YAKO ANASIRAHA GANI
4;ADUI YAKO KUMJUA
HITIMISHO ✍️✍️
ADUI yako au Tatizo usipolijua Jinsi ya Kulinasua litakusumbua
Jifunze SoMo Hili litakupa mwanga Ufuguliwe
✍️✍️WITO✍️✍️
Chukua Maamuzi Kujiuliza Tatizo lako linapata Ushidi wapi Ni Kwanini Linaendelea Adui Anakuzidia Wapi
Maoni
Chapisha Maoni