Somo; NGUVU YA FUNGU LA KUMI
SOMO: NGUVU YA FUNGU LA KUMI KWA ANAEFATA MAELEKEZO.
Malaki:3;10 Kumb.Torati:14:22
Kuna Watu hawawezi Kuinuliwa au maisha Yao kubadilika Kutokana na wizi na tamaa za kula Fungu la kumi. Kuna watu Wengine wataendelea Kubarikiwa Kuinuliwa Kutokana wameweka Namba moja Katika Fungu la kumi.
Nilisema Kwa wale mlioanza mwezi huu Kuwa mnatuma Zaka Zenu Katika Madhabahu ya Moto wa Yesu Tunautaratibu huu.
Kabla hujaituma Sadaka Yako ya Fungu la kumi
Omba Maombi matatu yanayoumiza Kichwa Chako
Mfano: 1:Nataka nipate MKE mwezi huu 2:Nataka niongezwe mshahara wangu 3:Mungu uinue Huduma yangu Kupitia Sadaka hii ya Fungu la kumi mwezi huu.
BAADA ya hapo tuma kwa M-PESA+255759861768 Jina Richard Julius Kushoka
Kama Upo nje ya Tanzania Marekani nk Tumia Bank ya Posta Jina RICHARD Julius Kushoka 👉 nchi Tanzania
FAIDA ZINAZOTOKANA NA WANAOTUMA FUNGU LA KUMI
1:Utawaona Adui zako wakishindwa.
2:Utapokea Baraka mbalimbali (Mfano Shuhuda unazoziona watu wengi wanafunguliwa Kupitia Sadaka Ya UKOMBOZI BAADA ya hapo huendelea na Fungu la Kumi.)
3:Utaponywa magonjwa yanayokutesa
4:Hutadhurumiwa Wala Kuibiwa.
5:Pesa Itakupa matumizi mazuri
6:Watu watakulipa ukiwadai.
Kinyume na haya ukiona hapa ujue Fungu la kumi hutoi kabisa au Unalitoa Mwezi huu mwezi mwingine hutoi au Unalitoa Pasipo maelekezo ya Kufata.
UTOAJI WENYE NGUVU NA FAIDA YA FUNGU LA KUMI.
1:Toa kila BAADA ya kupewa mshahara wako.
2:Fanya hivyo kwa Uaminifu Usitamani kula Fungu la kumi au kutoa nje ya mshahara au ulichokifanyia kazi wewe.
3:Kama Huna Kazi Nenda Kanisani ukafangie Ukafanye kazi za kanisani tu.
4:Toa Kila mwezi usiruke Hata mwezi mmoja
5:Toa Kwa Kufata Maelekezo Yangu Mimi ninavyokuelekeza Usitume Fungu la kumi bila kupewa maelekezo.
INAKUAJE KWA WANAOKUWA NA MADHABAHU ZAIDI YA MOJA.
Fungu la Kumi linaitaji utoe pale unapoona katika Madhabahu hii nakula chakula Cha kiroho na Ninamuona Mungu Kupitia Madhabahu hii au mchungaji Huyu Kisha Toa Fungu la Kumi Kupitia hiyo Madhabahu kwa Kufata maelekezo ya mchungaji wako unaempa Fungu la kumi.
Unatakiwa Fungu la Kumi Litoe Sehemu moja na Ukianza Usiache. Najifunza kwa wale wanaotuma Mfano Kupitia Madhabahu hii.Naona Shuhuda nyigi naona wakifunguliwa kwa kuwa wanasimama kila mwezi.
Tujifunze Kwa ibrahimu alibarikiwa Na Kufunguliwa uzao wake kwa FUNGU LA KUMI rejea Mwanzo;14
Mwanzo : Mlango 14
20 Ahimidiwe Mungu Aliye juu sana, aliyewatia adui zako mikononi mwako. Abramu akampa fungu la kumi la vitu vyote
TAHADHARI
Usitoe Fungu la kumi Kwa wagonjwa Yatima Wajane Au Popote nje na Mchungaji au Mtumishi anaekulea kiroho nakukuhudumia.
Rejea Malaki:3:10
AGALIZO:
Unaposimama Kutoa Fungu la kumi Fata maelekezo ya utaratibu wa Baba yako wa Kiroho Usitume au Kutoa Fungu la kumi kwa kulitoa TU kama Mazoea Hapana.
Kila Madhabahu Mungu Ameipa Utaratibu wa utoaji na mpagilio wa kutoa.
Mfano Kwa Madhabahu hii:
Wanaanza kuiombea sadaka ya Fungu la kumi mahitaji matatu
Ndio wanatuma.
Na wanatuma kila mwezi
Kama Huna kazi Wanajitoa Kanisani kufanya kazi za pale
Faida Wanazozipata Kupitia Uaminifu.
1;Mungu kuwajibu na kuwashangaza
2:KUIFANYA Kazi ya Mungu iendelee
3:Kushuhudia
4:KUPONYWA Uzazi kazi mahusiano Yao nk.
5:Afya ndoa zinakuwa na Amani
KAMA TU NAWE UNATAKA MUNGU AKUTENDEE KAMA HANNA Unatakiwa Acha Wizi na Tamaa ya Fungu la kumi Fanya Kama wezako
Naitwa Mchungaji Richard
Ninashukuru uliyebadilika umeacha Wizi na Sasa Mungu Amekujibu.
Maoni
Chapisha Maoni