SEMINA๐IMANI๐น๐ฟ2020 Veta Dakawa Morogoro
SEMINAR ๐SOMO๐IMANI
Tusome;Marko:5:11 Luka 14:5 Warumi:14:1_23 Waefeso:4:5
Karibuni Katika Semina Hii Ya Neno la Mungu
Tarehe:17/8/2020
Mwalimu Pastor Richard
Mahali Kanisa la Holy Spirit
Simu,+255759861768
Website: www.mchungajirichardi.blospot.com
SEMINA SIKU YA KWANZA: MOTO WA YESU
๐YALIYOMO๐
1;MAANA YA IMANI
2:AINA ZA IMANI
3:SEHEMU KUU TATU ZA IMANI.
4:UHUSIANO ULIOPO KATIKA MAOMBI NA IMANI
5:HITIMISHO.
๐ UTANGULIZI ๐
Imani ni kitu kinachomuunganisha mtu Kupokea Nakupata Matokeo ya Anachokiitaji .
KARIBUNI KATIKA SEHEMU YA KWANZA YA SOMO HILI:
1:MAANA YA IMANI:
Imani: Nitumaini na tarajio lisiloonekana Kwa Macho.
IMANI: Ni uhakika na Nguvu yakupokea nakutoa kitu kwa unachokitumaini.
MWANZILISHI WA IMANI NI NANI??
Ni Mungu mwenyewe ndio aliumba Imani
Tusome:Mwanzo:1:1_10
TUMEIPOKEAJE IMANI
Sisi Imani Yetu ililetwa na Yesu Kristo na Kuanzisha Misingi mbalimbali Kama Vile Kuponya watu Kufungua kuwafundisha watu Mambo ya Imani pia Kukua kiroho
Waefeso : Mlango 4
5 Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja
WOKOVU WETU CHANZO NI IMANI:
Imani=Uhakika wa jambo litakuwa
Imani=Tumaini lenye Uhakika
Imani=Mafundisho Yenye Uhakika
Imani=Neno lenye Uhakika
Hii ndio maana tu ya Imani๐๐๐
KARIBUNI SIKU YA PILI : SEMINA SOMO IMANI
2;SEHEMU YA PILI AINA ZA IMANI
Kuna Aina mbili za Imani kwa Watu hapa Duniani
1:IMANI YA MASHETANI
2:IMANI YA MUNGU
๐1:IMANI YA MASHETANI
Maana ya Imani ya MASHETANI:- Humanishs Wote watendao Dhambi nakuabudu Miungu nakufanya uchawi.
๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
IMANI YA MASHETANI
1:Kuamini Majini nakuabudu
2:Kuamini waganga watakusaidia
3:Kuamini Mizimu ya kwenu
4:Kuamini Magonjwa yanauwezo kuliko Mungu
5:Kuamini chochote nakukifanya kilicho nje ya Mungu.
6:Kuamini na Pesa ZaKo Kutumia Kwenye Mambo yanayompa Utukufu shetani
Mfano Kuamini Jaribu ulilonalo linauwezo kuliko Mungu Ujue unamtukuza shetani
1 Wakoritho :10
21 Hamwezi kushirikiana katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani
SIKU ZOTE KAMA WEWE UMEOKOKA HARAFU IMANI YAKO BADO IPO KWA SHETANI HUWEZI KUIFANYA IMANI YA MUNGU ITENDE KWAKO.
Rejea Vitabu hivi:1wakoritho:10:20 Zaburi:106:37 Yakobo:2:19 Ufunuo:16:14
2:IMANI YA MUNGU
Hii huwa Imani unayotakiwa uwe nayo na chazo Cha Imani ya Mungu Inawezekana TU kwa Anayemkiri Yesu Kuwa Mwokozi wa Maisha Yake;
IMANI YA MUNGU
1:Uumbaji wa Mungu
2:WOKOVU
3:Dhambi
4:Zabihu (Sadaka)
5:Neno la Mungu
6:Ufufuo
7:Yesu Kristo
8:Injili
9:Utumishi wa Mungu
10:Chochote Kinachoeleza juuu ya Mungu huwa chazo chake Ni Imani ya Mungu.
IMANI ILIYOMO NDANI YAO WALIOKOKA
1:WOKOVU
2:UBATIZO
3:NAFSI TATU
4: UKOMBOZI
5:KIFO
6:UZIMA WA MILELE
7:Jina la Yesu
8;Roho Mtakatifu
9:Nguvu ya imani
10:Neno la Mungu
Lazima ujue Iman Yako Ukiwa na Mungu lazima Uamini WOKOVU UBATIZO
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
KARIBUNI TUENDELEE NA SOMO LETU LA IMANI
Leo sura ya Tatu:
3:SEHEMU KUU TATU ZA IMANI
Imani naweza kuigawanya Mara tatu TU
1:Imani ya Uumbaji(Baba mwenyewe aliumba vitu kwa imani tu TUSOME Mwanzo:Sura 1
2:Imani ya Wokovu(Yesu mwenyewe akiwa alianzisha TUSOME Yohana:3:16
3:Imani ya Kanisa na Waamini Wokovu(Roho Mtakatifu Akiwa mwazishilishi wa Imani TUSOME: Matendo:2:1-4
1:IMANI YA UUMBAJI (Mwanzo:1)
Tunaamini Mungu Yupo kwa Kuwa aliumba vitu navinaonekana kwa macho Yetu Imani hi huitwa imani ya Uumbaji Kwamba Tunaweza Kuongeza Imani Kwa Kuwa Tunavitu tunaviona vinatendeka
Uumbaji Ni ishara tosha ya Sisi kuamini Yupo Mungu Aliyeyafanya haya tunayoysona.
KWANINI MUNGU ALITUPA KUONA KAZI ALIYOIFANYA
1:Tuwe na Ufahamu juu ya uweza wake
2:Tujione Sisi Ni mhimu kuliko Vyote alivyoviumba
3:Tuhubiri Matendo Yake kwa waliokosa Ufahamu wakutambua kwa macho
4:Tuifate Imani yake ambayo Ni Imani ya kweli
5:Tumwabudu Mungu
MIONGONI MWA MAMBO MUNGU ALIWEKA KWA IMANI.
Utofauti uhusiano wa Mungu na Viumbe alivyoviumba
Uelewa na Sifa ya Vitu alivyoviumba
Mfano Mwanadamu Ametofautishwa na Wanyama kwa Imani
ALIWEKA Vizaliwe vitu na Vife vitu hivyo
MPANGILIO WA UUMBAJI
1:Jeshi la mbiguni
2:WANADAMU
3:Wanyama
4:Ndege
5:Mimea
6:Wadudu
TUNAJIFUNZA NINI KATIKA IMANI YA E
1:Uwezo wa Mungu
2:Imani inavyoweza kuumba kitu
3:Mwelekeo Sahihi ya KUMJUA MUNGU was kweli.
2: IMANI YA WOKOVU (Yohana:3:16)
Hii Imani inayowatambulisha kwetu Baba na Mwana Baba Akiwa Ameonesha Kumpenda Mwanadamu Ambaye alimuumba Anaamua amtoe mwanae awe upatanisho Kati ya Sisi na Yeye.
MAMBO MATATU YALIYOKUFANYA UKOMBOLEWE.
1:Sadaka
2:Upendo
3:Kujitoa
HAPA NDIPO WATU KAMA WAKRISTO TUJUE IMANI YA WOKOVU
Inahusisha wewe mwenyewe
1:Uwe Sadaka kwa Wegine na Kwa Mungu.(Yaani ufanyacho Chochote mtolee Bwana Sadaka unapotoa Sadaka unakomboa Mambo yako mengi)
Imani bila Sadaka haihesabiki Kama imani hiyo
2:Uwe na Upendo kwa wengine na Kwa Mungu (uwahurumie nakuwapenda watu wote imani Pasipo upendo Hakuna)
Imani bila upendo haihesabiki Kuwa Imani hiyo.
3:Uwe mtu wa Kujitoa Sio mvivu wa Kujitoa Kwa Bwana
Imani bila Kujitoa kwa Mungu na Kazi Yake hiyo sio Imani sahihi.
3: IMANI YA KANISA LA KRISTO:(Matendo:2)
Hii ni imani ya Kanisa la Kristo Linaamini
1:Dhambi na Matokeo ya mtu kufanya Dhambi( Mwanzo:3:1-6
Hapa Chochote kinachoenda kinyume na Mungu huitwa Dhambi
Dhimbi Ni uasi
2:Yesu Kristo na Uweza wa Jina Hili(Yohana:1;1-12)
Kanisa la Kristo Linaamini nguvu na Uweza wa Jina la Yesu na si Jina jigine lolote. Kanisa linatoa Kipaumbele Utumie Jina la Yesu Kwa imani tu.
3:Wokovu na Matokeo Yake.
Kuokoka Ni njia moja wapo inayokufikisha salama kwa Yesu
Wokovu Upo kwa kila Anaeamini Kuwa Yupo Yesu Atakayemuongoza Katika maisha Yake ya hapa Duniani kiroho na kuilinda roho
CHA KUELEWA UNAPOOKOKA
1:Hakikisha uwe na Mlezi wa Kiroho yaani mchungaji.
Wachungaji wamepewa Dhamana Kuilinda na Kuilea roho yako.
2:Hakikisha Unasimama kikamilifu katika fungu la kumi
3:Hakikisha unafundishwa Neno la Mungu
4: Hakikisha unajitoa kwa kuwahubiria wengine waokolewe.
Je umeokoka au Bado Basi nipigie Jioni saa 12 00+255759861768
TUTAENDELEAA SOMO KESHO
Maoni
Chapisha Maoni