SEMINA ✍️ KUFUNGULIWA NA KUFUNGWA

SEMINA ✍️ KUFUNGULIWA NA KUFUNGWA

Zaburi:107:14-20 Matendo:16:25---30

YALIYOMO
1:MAANA YA KUFUNGWA NA KUFUNGULIWA
2: SEHEMU TATU ZINAZO MFUNGA MTU NA KUMFUNGUA
3:WANAOTEKELEZA KUKUFUNGA NA KUKUFUNGUA
4: UMHIMU
5:JINSI YA KUTUNZA
6: HITIMISHO

2: SEHEMU 3 ZA KUFUNGULIWA

Kuna sehemu tatu za mtu kufunguliwa na maisha ya Mtu Kuwa huru

1;SEHEMU YA KWANZA; MWILI

Mwili ni sehemu inayojumuisha viungo Vyote vya Mwanadamu
1;Milango ya Ufahamu
2;Milango ya taka mwili
3:Viungo vya mwili

Kwa Neno la pamoja tunaita mwili.

Adui huweza kuushambulia mwili kwa
1:Magonjwa
2: Ufahamu Akili kufungwa.

Mtu ili awe huru hutakiwa afunguliwe mwili wake kwaza.

Mambo yatakayokufanya mwili wako uwe vizuri.
1;Kupumzika hakikisha unalala.
2:Fanya Mazoezi
3:Usafi wa Mwili wako
4;Kula
5:Usiupe mwili wako Kazi ngumu Sana Zinazoufanya mwili ushindwe kukupa Taarifa ya kupaga mipago nakufikiri.

6;Ibada uzieshe Mambo ya ibada na Mungu.

MAMBO YANAYOWEZA KUUFANYA MWILI WAKO UKAFUNGWA

1:Kutokupumzisha mwili wako
Mwili usipopumzika hauwezi kufanya kazi au kukupa Taarifa Nzuri ya maendeleo yako.

2:Kukosa ibada na Mungu.
Ni rahisi Sana mtu asiye na ibada Shetani kumwagusha kiroho na Mwili wake, Usipokuwa na ibada na Mungu wa Kweli Shetani na Dhambi zitajenga ibada Nawe.

3:Kukosa Mazoezi ya Viungo
Kutokupiga Mazoezi inaufanya mwili wako pia uingie matatizo

4:Kutokula Vizuri:
Utafanya m

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.