SOMO;SUMU YA MAJOKA

✍️SOMO; SUMU YA MAJOKA WANAVYOUNGANISHA KUKUTESA NA JINSI YA KUFUNGULIWA UFANYEJE.✍️
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tufunue Biblia Zetu Tusome Warumi:3:13,Ayubu:20;16, Yakobo;3:8 Zaburi;140;3
🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴
✍️✍️ Naitwa Pastor Richard Naekuletea SoMo hili
Nipo Morogoro Nchini Tanzania Bara la Africa
YouTube Unifate Kwa Jina Moto wa Yesu Pastor Richard
Simu+255759861768
Tovoti:www.mchungajirichardi.blogspot.com
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Lengo la SOMO: Ujue wachawi Wanavyounganisha Nafsi yako na Sumu za Majoka Na mwili wako kuutesa magonjwa maumivu yasiyokoma mwilini mwako.
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
DHIMA YETU MOTO WA YESU ✍️✍️ Kuadaa Watumishi wenye nguvu ya Kiroho na Ufahamu wa Kutatua Matatizo ya Watu.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
SUMU YA MAJOKA NI NINI??? Ni sumu ya Nyoka inayounganishwa nafsi ya Mtu na Nyoka huyo KWA lengo la kumtoa msukule kumtesa au Kumfanya aishi kwa magonjwa tu.

WACHAWI HUUGANISHAJE
Huchukua jina la mhusika na Nyoka yule wanamnenea Kuunganisha nafsi Yake kwa kuchukua jina lake
Mfano huu
Salama +Nyoka Komboko=Sumu ya Komboko Kisha wanasema hii Sumu yakomboko imtese Salama asipone. Mtu atateseka na magonjwa mpaka Atakufa nayo kwa muda waliouganisha wachawi na watu watasema alikuwa anaumwa. KUMBE kachukuliwa kichawi. Kwakua kiroho unakuwa huoni unapingwa.

MTENGO HUWA WANAUTUMAJE MPAKA WANAKUNASA
✍️✍️✍️✍️✍️👉👉👉👉👉👉✍️✍️✍️✍️
Huwa hivi mahali ulipo utamuona Nyoka yule atatokea utamua KUMBE wamekuunganisha Mifupa mwili wako ngozi yako na Nyoka ukimuua tu Sumu ile itahamia mwilini mwako utaanza Kuteseka Kama matani tu Hali itazidi kuwa mbaya.

DALILI KUU ZITAKAZOJITOKEZA MWILINI MWAKO KUJUA UNATESWA NA SUMU YA MAJOKA.
Biblia inasemakumbukumbu la torati : Mlango 32

33 Mvinyo yao ni sumu ya majoka👉,(Uchungu mkali wa nyoka.


1;Maumivu makali ya Mifupa na ngozi yako ambayo kiuharisia hutayaelezea.
2;Kupooza kwa viungo vyako Au Kukosa nguvu kabisa nakupelekea kukaa chini
3:Utaombewa na Kutibiwa Tatizo halitatoka mpaka ukutane na Mtumishi ajue Unateswa na SUMU na Akufundishe Neno la Mungu
4;Hufunguliwa kwa muda Sana na SI kwa urahisi unavyoweza kufikiri lazima ufundishwe Neno
5;Utakuwa na malalamiko ya mwili Kama ifatavyo.
Kuna Kitu kinatembea Kama Nyoka Kuna Kitu kinapuliza Kuna Kitu kimenigonga Kuna Kitu kimenitemea mate Utakuwa unahisi hivyo nakuwaeleza ndugu mmeo mkeo

Ukiona dalili HIZI Ni Sumu ya nyoka inakutesa

UTATUZI WA TATIZO LAZIMA UTUMIE GHARAMA
1;Utalazimika Uhagaike Maombi mpaka ukutane na Mtumishi mwenye maono na Ufahamu juu yakinachokutesa Ni Sumu ya Nyoka.

2;Utaombewa utafunguliwa na Utalazimika usimame na Mungu usimuache

3;Mpaka ukafunguliwe Utakuwa umetupa Pesa Nyigi Hospital na muda wako mwingi umepotea

4;Utafika Morogoro Veta Dakawa Kanisani hutaombewa kwenye Simu ukafunguliwa huu Mtengo.

HITIMISHO
Tunapaswa Tujue Mambo yakiroho yalivyo natujishughulishe Kumuomba Roho Mtakatifu atupe Ufahamu wa kuyajua matatizo Yetu I'll tupone nakuponywa.

Wito
unatakiwa ufike Kanisani Morogoro Veta Dakawa unayeteseka na Tatizo Hili Jinsi ya Kufika Panda magari ya Morogoro ukishuka msamvu Chukua gari za dumila waambie nishushe Veta Dakawa ukishuka chukua pikipiki waambie nipelekeni kanisa la Moto wa Yesu

Uje na notbook peni Biblia kula Utajigharamia pakulala papo

Kuongea nae Pastor Richard mpigie Jioni saa 12 00 mpaka Saa 8 00 Usiku Simu+255759861768



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.