SOMO: MSIDANGANYIKE

SOMO; MSIDANGANYANE AU MTU ASIWADANGANYE.

Waefeso;5;6 Waebrania;3;11

Msidanganyike Katika maneno ya Watu wanaopinga imani yako ya kikristo au Watu wa uasi waliomuacha Mungu nakuchangua kuifurahia Dhambi na hazina za Duniani Siku Zote maneno Yenu yawe na Hekima kwa mpumbavu anayewarubuni Kutenda Dhambi.

Lengo la SOMO; Ukombozi na Mafundisho ya Neno la Mungu

Dhima Yetu MOTO WA YESU;-Kuwafundisha Watu Katika Roho Mtakatifu

KUDANGANYANA;- Ni Hali ya kushashiana Katika Kutenda Mambo yachukizayo Kwa Mungu au Ni kinyume Cha Neno "UKWELI"

ATHARI KUU ZA KUMDANGANYA MWEZAKO

1:Inakufanya Usiaminike Tena
2;Hufuta Mema Yote Uliotenda
3:Hukushusha Heshima yako
4;Hutaacha Kudanganya
5;Huumbika roho ya uongo.

MAMBO MATATU UFANYE UACHE KUDANGANYA
1:Jifunze Neno la Mungu Maana Ni Kweli

2;Kaa na Chukia Kudanganya mwenyewe mhusika.

3;Anza Kujizoesha Kusema Kweli tu

VUNJA MAHUSIANO YA UONGO NA UDANGANYIFU NDANI YAKO.

1;Anza Kujiuliza Kwanini unadanganyika shida Ni Nini

2;Penda Na Ujifunze Mafundisho ya Neno la Mungu (Chambua Vyema Neno na tafakari)

3:Yapende Maisha yako usiishi Kama watakavyo watu

HITIMISHO ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️

Tunawakaribisha watu wote Kwenye Kanisa Hili lipo Morogoro veta Dakawa ukishuka chukua gari za dumila waambie nishushe veta Dakawa ukishuka chukua pikipiki waambie nipelekeni kanisa la Moto wa Yesu

Simu za maombezi ongea nae Pastor Richard jioni+255759861768

Saa 12 00 jioni mpaka Saa 8 00 usiku

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.