SOMO; JINSI MTU ANAVYOVISHWA VAZI LA MATESO NA SHETANI

๐Ÿ’ช๐Ÿ”ฅSOMO; MWISHO WA KUVAA VAZI LA MATESO NAKUVAA VAZI JEUPE VAZI LA KUTOKUTESWA TENAaa
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Inawezekana Usinielewe au Kujua Kwanini nimeamua Kufundisha Somo Hili Kwa Sababu Mungu Ananiambia Vazi Fungua Wanangu watoke kwenye mavazi wamevishwa Pasipo wao kujua Namhoji Baba Anasema Katika roho Shetani na wachawi hutumia rangi nyekudu au kitambaa kumfunga mtu kichwani au mkononi Na wakimfunga Anapokea mateso
Akaniambia SOMA Mathayo : Mlango 27✍️28 Wakamvua nguo, wakamvika vazi jekundu๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Shetani Anapomvua mwanangu Vazi la Haki Humvisha vazi Jekundu ili wamtese

AkasemaVazi La Pili Shetani huwavisha Wanangu Vazi Jeusi Haya mavazi huvishwa Pasipo Kuwaona Adui zao Wakiwavisha Huwa Wanaanza Kupata Lango la kuingiza mangojwa Kufunga Baraka Zao Kufunga Uzazi wao nk

✍️✍️TUSOME VITABU HIVI KWENYE BIBLIA 

Isaya;63;1-5 Yakobo;5;2-5 Mathayo;9;16-22 Marko;5;27-29 Kutoka;28;3-20

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟKama Ndio umeanza Kunifatilia Naitwa Pastor Richard

 Kanisa la Moto wa Yesu Morogoro Kata ya mbingiri Kijiji Cha Mateteni wilaya ya kilosa

Simu za Pastor Richard+255759861768✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️

KATIKA MAISHA YA  KIROHO UNATAKIWA UJUE VAZI HUWA SAINI AU MHURI WAKUJULISHWA UPO KATIKA MATESO AU AFYA.

Aina Za Mavazi Wanayotumia Kukutesa

1:Vazi la Magonjwa,Mateso,na Kudharulika,Kudhulumiwa,Kupoteza haki zako.

UKiwa katika Mapito ya hivi ujue umevishwa Vazi Jekundu au Umefungwa kitambaa chekundu.

2;Vazi la Kutokuwa na kibali Kutukanwa watoto wako kushindikana maumivu ndani ya nafsi yako 

UKiwa unapitia mateso haya ujue Umefungwa kitambaa cheusi

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

AINAYA  VAZI LA Mungu UKIVIKWA

Huwa Vazi Jeupe Hili Vazi Utaona

1;Afya

2;Kibali

3;Imani kuwa na Matokeo

4:Utukufu Hadi Utukufu

5; Kuinuliwa

HUWA SHETANI ANAFANYAJE  KUKUVISHA VAZI LAKE

Huwa anatumia Ndoto au Pasipokujua  Anatumia wachawi Ambao huwa Anawatumia Kukuvisha  Au kukufunga kila kitu unaweza ukawa unatembea umevishwa Magonjwa Umevishwa Kutokuonekana Umevishwa Ombaomba kila kitu Unaomba mpaka Rafiki zako wamekuchoka.


JINSI YA KUFUNGULIWA UFANYEJE

1;Mtengo wowote wa Adui huwa nikujua Mtengo wamekunasaje

UKijua omba Kufungua

2;Unatakiwa ukae Karibu na Mungu katika Maombi

Utaoneshwa Mitengo nakunasua

3:Unatakiwa Shirikisha Watumishi Ambao Mungu Amewapa Neema Ya KUNASUA mitengo


HASARA USIPOJUA UMEFUNGWA na VAZI

1;Utateseka na Kuhagaika usijue Mtengo

2;Huwa Ni ngumu Kutengua Mtengo aliofungwa mtu Endapo atakayeombea hajui 

3;Utatumia nguvu nyingi kumfungua mtu na watumishi wengine mpaka anaamua Kukata tamaa kumuombea mtu Kwakuwa hafunguliwi na Mtengo hujui.

4;UKijua Adui Anapompigia mtu utajua kumsabaratisha.

5;Kaa mahali tulivu uombe Mungu kabla hujaombea mtu.

FAIDA YA KUJUA MTENGO WA ADUI UNAPOMFUNGUA MTU.

1:Unakurahisishia Kumfungua mtu

2;Utalenga shabaha na mtu Atafunguliwa

3:Adui Akikuona tu Atamuachia mtu Mwenyewe

4:Utatumia muda mchache Kufungua mitengo mingi.


ANAEFUNGULIWA UJUE HAYA.

1;Kuaguka haimanishi Ndio mitengo imenasuka

2; Ukombozi Ni gharama Usipokubali gharama huwezi kukombolewa Lazima ujue utumie muda wako Utumie Mali yako utumie Gari lako kuhakikisha unakombolewa hutaupata bure bila gharama.

3;Ukombozi huwa unakutaka uwe mvumilivu nakuendelea na Uaminifu na Mungu

4;Mtumishi atanena Neno Leo litatimia Kesho sio  muda huo huo

5;Muombee Sana Yule Baba Yako uliyemshirikisha Tatizo na Anakuombea Mungu Amuoneshe ulivyofungwafungwa.


UNAEFUNGUA WATU UNATAKIWA

1:Uwe vizuri Kuelewa maelekezo ya Mungu

2;Uwe Vizuri Kutii Sauti ya Mungu 

3;Uwe vizuri kuujua ulimwengu wa roho 

4;Uwe vizuri Kwenye Neno la Mungu

5;Uwe na Ujazo Mkubwa wa Imani na Upako wa Maombi.


ONYO;(TAHADHARI)

Usijaribu Kutoka nje ya Maelekezo ya Mungu na Sauti ya Mungu hutatua matatizo ya watu.


HITIMISHO


Nawashukuru watumishi wote mliojifunza kitu nakujua kitu Naitwa Pastor Richard Ndugu Yenu Katika Mwili wa Kristo Utume mwema Amen

@2020July




Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.