SOmO JIFUNZE KUFUNGA MAOMBI YA KUFUNGA

,SOMO; JIFUNZE KUFUNGA MAOMBI YA LETAYO MAJIBU KATIKATI YA PITO NGUMU.

Tufunue Vitabu Biblia ,Matendo;14;23 ,2wakoritho;6;5,Zaburi;69;5 Yona;3;5 Isaya;45;5

Kuna Wakati Unaweza Ukawa unafunga unaomba lakini hujibiwi KUMBE ikawafunga yako Ni bure Leo Tunataka Tujifunze Namna ya wewe Kufunga na Kuona Matokeo Maombi haya huwa Kila Ijumaa watoto wote wa Pastor Richard wanafunga Haijarishi ulipo Ijumaa imetengwa Kufunga Nakuomba siku hii Ni mhimu sio useme Mimi nipo Bali Hili Ni patano lenye kutudhihirisha tumeamua kutembea Pamoja katika Maombi inakuwa masaa 12 tu.

✍️✍️👉👉MAMBO HAYA ZINGATIA UNAPOKUWA UMEFUNGA UPO KWENYE MAOMBI ✍️ ✍️

1;USIKWAZANE NA USIKAE KARIBU NA MTU WA KUKWAZA.
2;KAMA UPO KAZINI JIWEKE BUSY NA KUJITENGA MBALI.
3;USIINGIE MAOMBI YA KUFUNGA UKAKAA NYUMBANI LAZIMA
SHERIA YA MAOMBI UENDE KANISANI KATULIE AU NENDA MLIMANI.
4;UKiwa UMEFUNGA Ujue Unaombea Nini Na UMEFUNGA ILI UTATUE TATIZO GANI
5;KAA UWEPONI NA TAFAKARI MAKUU YA BWANA.

FANYA HAYA UNAPOOMBA UKIWA UMEFUNGA.
1:Tubu Na Shukuru Mungu Tu kwa anayotenda
2;Kashinde Kanisani au MLIMANI
3:Usiami wazo dhaifu au Kupokea udhaifu uwe na Imani yenye
Jibu.
4;Kaa Karibu na waliokuwa kiroho na Kiimani Shikana nao Kama Ni Mchungaji Wako Yupo vizuri kaa nae utachukua mafuta kwake taa isizimike.
5;Muda ukifika kula halafu endeleza Maombi ya kupangua Kujenga na kuharibu Maombi ya Vita saa moja omba

Karibuni Wageni Wote Wa Pastor Richard Katika Ijumaa Ni siku ya Kuomba na kufunga

UKiwa unatatizo kuongea na Pastor Richard Jioni saa 12 00 mpaka Saa 8;00 Usiku
Simu+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.