SOMO;TOKA KWENYE NCHI YA UKAME.
SOMO: NGUVU YA KUVUKA KWENYE UKAME
-Vitabu:Torati:32:10,
-1wafalme:18;40,
-Yoeli:2;20
,Yeremia:2;6,
-Yeremia;17;6
-Yeremia:50;12
-Ezekieli:19;13
✍️✍️Kuna Wakati Unaweza Ukawa Upo katika Kipindi Cha Ukame Katika Kipindi Ambacho Hata unyevuunyevu TU umekauka Hata kuziona Baraka Tena imekwisha Ulikuwa umesimama uazishe Jambo Fulani unafikia Kipindi umekaukiwa na Baraka Unaziona au Dalili za masika unaona nitalima mazao yangu nivune Gafla unalima halafu jua linawaka mbengu umepanda.
Hiki huitwa ukame Hakuna mvua huzioni Baraka Zako Kumbe nikipindi kinachokuitaji Umuombe Mungu Akuvushe kwenye ukame usimwangalie mtu Au Kukata tamaa au kubaki njia Panda au kutulia kwenye ukame Kwenye Ukame huwa Tunaomba Tutoke kwenye Ukame wa Mawazo ukame wa fikira Ukame wa Kumtengemea mtu ukame wa mavuno ukame wa Baraka.
Tunaitaji Tutulie nchi inayotoa mazao matunda mimea inastawi
Leo Nataka Nifundishe wewe NGUVU ya Kukuwezesha Kutoka Kwenye Ukame
Naweza Kuwa Nafundisha Saivi Watu Wapo kwenye Ukame Kila Kitu Kimekauka Hawaoni Hata dalili za Baraka Zao Hawaoni Hata mbele Yao Kama Kuna USHINDI Tena Kutokana nikipindi Cha Ukame Kipindi Cha Wao Kuziona Baraka lakini Ukame Unawazuia Kuziona Baraka kwa hiyo lazima waombe mvua inyeshe ilowanishe mbengu zao ilowanishe mmea walioipanda
.
Lengo la SOMO: Tutoke kwenye UKAME.
✍️✍️ FAIDA YA KUVUKA KWENYE UKAME.
1:Utaziona Baraka zako haraka.
2:Utavuka uliposhindwa haraka
3;Utaendelea Kujimwangilia mwenyewe na Kufika mbali.
4:Utastawisha Kila Kitu unachokifanya kitasitawi.
5;Utafanya Mambo yanayoonekana.
✍️✍️Hasara Ukibaki kwenye Ukame
1;Hutazifikia Baraka ulizokusundia uzishike.
2;Hutavuka Pale ulipokusundia Uvuke
3:Hutaendelea Kuwa na Mawazo ya Kusonga mbele.
Wala nguvu hata kiu uliokuwa nayo awali itazimika.
4:Utafanya KILA Kitu ufikirie Kushindwa au Kukata Tamaa.
5:Utasimama kwenye njia mbili kwa kuwa unakuwa hujui Upo kwenye Ukame.
6;Hukaukiwa hata Mawazo na Fikira Za Kufanya MAAMUZI sahihi.
7:Utafanya Maamuzi yatakayokuumiza
Hitimisho
Tunapaswa Tutoke kwenye Ukame tukameee tukasitawi tujimwangilie.
✍️✍️Jumapili njema share kwa wengine
@2020 Pastor Richard
Maoni
Chapisha Maoni