Somo;Mitengo mitatu ya kichawi

👊SOMO: 👊Wachawi Hukunasa Kupitia Nyoka Mtengo Wao hata👊ri.

Tusome: Vitabu Isaya;30;6 Yeremia:31:9 Muhubiri:10;8-11

Wachawi huwa Wanamitengo mingi inayosababisha wewe wakutese na mitengo Yao Leo Nataka

Niongelee mitengo Yao mitatu
1:Mtengo wa Nyoka
2:Mtengo wa Pesa
3:Mtengo wa Ulimi wako

Nalenga Maarifa haya yakuponye nakukusaidia ufunguliwe Sio uendelee kuteseka Na Ili Ufunguliwe Utoke kwenye mateso huwa lazima upate Mchungaji atakayejua wamekufungaje na Akunasue kwenye Mtengo huo. Veta Dakawa nishaanza Kuhudumia watu Hapa Kanisani Fika unasuliwe kwenye Mtengo.

👊 MTENGO WA NYOKA

Huu huwa Ni Mtengo wanaoutumia wachawi kumnasa mtu au kumzuru au kumharibu Masharit ya Mtengo huu lazima mlengwa Amuone Nyoka
Eidha kwa ndoto au Kwa macho mubashara Yule Nyoka Kwa Kuwa Ameunganishwa na nafsi Yako.
Utafanya Mambo haya bila Kujua unajiagamiza au unamwagamiza mwanao mmeo mtoto
1;Utachukua fimbo umpige Akifa hatachukua muda mlegwa anakufa.
Wengine huwa wanaumwa kichwa Wengine kuungua Gafla na kufa
Wengine huwa Akili zinahama Wengine huuanza kuumwa magonjwa mfululizo.
Ujue Ni Nyoka uliyemua na wamekuchukua kuzimu.
          👊 KUPONA 🍎👊
Kupona Ni maombi TU au Kukemea umuonapo Nyoka.
Au Ukiona Ametokea Wewe Sema Katika jina la Yesu.

2:Huwa ile mama MJAMZITO anamuona Nyoka wakati unamimba.
Ujue Ukija Kujifungua mtoto atakuwa mlemavu au Utakufa wakati wa kujifungua au utatumia oparation au mtoto hatakaa Sana ukijifungua hiyo mimba mwanao atakufa
👊👊 KUPONA 👊👊
Mama MJAMZITO usiue Nyoka Kama hujasimama vizuri Kiimani.

Pia Kemea ukiwa MJAMZITO uonapo Hali hii.

3:Nyoka watamtuma Kwenye ndoto Ukilala utaota ndoto.
Ikiwa ndoto itaonesha Amekug.ata au Unakimbizwa au umeshindwa au kukudhuru Tambua Mtengo Wao Umeshapata kuunganishwa.
Lakini ukiona kwenye ndoto tu umemua Nyoka au umeshinda Ujue Wameshindwa Kusaini na wewe mkataba.

👊KUPONA 👊
Omba na Ukemee roho hizo zakichawi Kipindi tu ukiamka halafu Tulia Simama imara kwenye Wokovu. Usimuache Mungu. Tamka Katika jina la Yesu.

✍️👊 MTENGO WA PESA👊✍️
Mchawi huwa hataki ufanikiwe au umzidi kimaendeleo ili aweze kuchukua Uchumi wako nyota yako  nakukushusha unaanza kukosa hata Mia hata kondi ya Nyumba itakusumbua.

Hapa Mtengo Wao huwa Wanafanya hivi Katika Eneo unapokaa nakuishi 
Wanaandaa mtu au Anakuja Kwako mtu unaefahamiana nae Tena unamheshimu au mfanyabishara MWEZAKO akija pale atakuomba umpe thamani ndogo ya Pesa au miatano au buku au miambili

Atakueleza Anatatizo fulani atajieleza Anavyojua ukimpa tu
Tayari Uchumi wako Biashara hutauza Tena Hutaona milango Kwako imefunguka Uchumi utayumba Utashuka Sana Kiuchumi Pesa Kushika.

👊👊 KUPONA 👊👊
Usimpe hela ndogo mtu atakaye kuomba eneo ulipo au useme huna Pesa au miatano huna Usichukue Pesa ukatoa kwenye droo ukampa mfanyabiashara MWEZAKO Asubuhi au Jioni au mchana akaja kuomba chenji Kama huna Imani nae au anajihusisha kwa WAGANGA.

Wengi uchumi wao nyota zao wachawi wamepata kwa njia hizo.

Ni muda Sasa toka nijaliwe Kuwafungua watu nakuwafundisha Masomo haya kwa hiyo mpaka nimeshakuwa mzoefu Kuelewa mitengo ya Shetani.

👊👊 MTENGO WA ULIMI WAKO👊👊

Wachawi Saa nyigine watakutumia ukubali ukili kwa kinywa chako ili wafanye Tatizo lako lisipone au kufunguliwa.

Mfano unaumwa;
Atakupingia mtu unaemjua Wanamuunganisha Akuulize Umepona.
Ukikiri Bado naumwa wanaendeleza kukutesa na ugonjwa huo
Ukisema nimepona unaenda kupona.

Mfano wa Kifo watakavyokuagamiza kichawi.
Atakupingia mtu Simu mama furaha Kesho utakuwepo dukani Anajua kabisa jumapili hufunguwi Utasema kesho Sitakuwepo nitakuwa kanisani au mpaka Jioni au Jumapili sifungui.

Watachukua Maneno uliokiri hutakuwepo Watanenea na Jina lako wanatamka na muda lazima Utaugua tu utaanza kugombana na MWEZAKO au Utakufa kabisa.

👊👊💪 KUPONA 👊👊💪
Usikiri udhaifu hata Kama unaumwa sema nitapona hata Kama Unateseka sema nitavuka hata Kama haupo Sema nitakuwepo Epuka Sentesi ZaKo Kusema huwezi Hutaolewa Hutozaa Hutatoa Fungu la kumi

HUTUMIA Ulimi wako kukutesa

Ndio Maana Nilisema mchawi ili akutese lazima uingie kwenye Mtengo wake Mwenyewe.

MCHAWI HUFANIKISHAJE HILI ZOEZI.

Mchawi huwa hatumii jina la Baba HUTUMIA Jina mama Yako na lako kuuganisha mateso

✍️✍️✍️UFANYE NINI SASA✍️✍️💪💪
Kama Unateswa na haya niliyofundisha

Au uchawi wowote Yataje Majina yako
Jina la Kwako la mama Yako
Sema Richard Esther Kuanzia Leo Nakuita njoo Kwa Jina la Yesu Ufuguliwe na magonjwa mateso mahagaiko katika jina la Yesu ✍️Amen✍️

JINSi YA KUFIKA HAPA KANISANI KWA Pastor Richard
Panda magari shukia Morogoro ukishuka msamvu sted Chukua gari za dumila Waambie shusha Veta Dakawa ukishuka chukua pikipiki Waambie nipelekeni kanisa la Moto wa Yesu

Uje na notbook peni Biblia kula Utajigharamia Utakaa Siku tatu

@Pastor Richard 2020
Simu za maombezi+255759861768

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.