SOMO;MILANGO WANAYOINGILIA MAJINI NA KUMTESA MWANADAMU
SOMO✍️MILANGO WANAYOINGILIA MAJINI NDANI YA MTU NAKUMTESA.
Mathayo;13;14,10;27 ✍️Waefeso:5;12,32✍️Zaburi:25:14, 44;21, 64;2 Maombolezo;3;33, 2wakoritho:10;3-7
@Pastor Richard Kutoka Morogoro veta Dakawa
@2020June 19
Simu+255759861768 Piga saa,12;00-8:00Usiku
✍️✍️MAANA YA MAJINI✍️✍️
🍓🍓MAJINI Ni roho walioumbwa kwa Moto na walikuwa malaika miaka milioni 3 iliyopita huko mbinguni walitupwa chini Pamoja na Baba Yao Shetani (Lucifa) Jini mmoja huweza kuishi miaka 2500 Anakufa pia MAJINI huwa wanauwezo Mkubwa wa kumtesa mwanadamu
✍️✍️Watu wote wanaokuwa wanateseka au Kupitia wakati wowote wa kushindwa huwa Ndani Yao kunakuwa na Jini au roho yakuwazuia Kufikia katika Lengo au kusundi njema.
✍️✍️✍️MAJINI HUTUMIWA NA WATU KUWATESA WATU✍️✍️
MAJINI hutumiwa na watu wabaya kukutesa wewe Na wengine huyafunga wengine huyatumia kwa ajiri ya utajiri wengine Kupandishwa cheo wengine kwenye uongozi wa selikarini
✍️✍️✍️MAJINI HUOA/HUOANA.
Jini Huoa/Nakuolewa Kwa mfumo na mpangilio wa Mungu alivyoumba alitengenza lazi kuwe Wawili Wawili chochote kilichopo chini kinachoonekana nakisichoonekana.
Binadamu atafunga ndoa na Binadamu Mwezake.
Ndege atafunga ndoa na ndege mwezake
Ng.ombe atafunga ndoa na ng.ombe mwezake
Majini watafunga ndoa na majini wezao.
Mungu alipangilia hivyo nakuweza kufanya iwe hivyo .
✍️✍️ MAJINI HUWAOA WATU
Ndio Jini Anaouwezo wakufunga nawewe ndoa katika ndoto na katika Mawazo yako endapo Kama Ameshakuingia ndani ya mwili wako
Jini huweza mpaka kuzaa na mtu pia kuzini namtu nakumhudumia mtu bila Yeye kujitambua Kama anajini.
✍️✍️DALILI HIZI TATU KUU HUKUJULISHA UMEOLEWA NA JINI.
1:Kuota unazini na watu maarufu mfano wasanii Marais viongozi wa dini maarufu au Mzazi wako.
2:Kuanzisha uchumba unavunjika ndoa kukosa Amani kugombana KILA siku.
3;Mwanaume uume kulala wakati wa tendo la ndoa na mwanamke kuchukia Tendo la ndoa kuwa natatizo la nguvu za kiume.
✍️✍️MAJINI WAPO MAKUNDI YAFATAYO.
MAKUNDI YA MAJINI
Kuna makundi mengi ya majini:-
(a) Majini ambao huishi na binadamu huitwa ‘Amir.
(b)Majini ambao hushambulia watoto wa kiume huitwa Ruh (arwaah).
(c) Majini ambao wenye nia mbaya na wenye kiburi huitwa shaytwan.
(d) Majini wenye nguvu kuliko mashetani wanaitwa Marid.
(e) Majini wenye nguvu kuliko marid wanaitwa Ifrit
✍️✍️AINA ZA MAJINI.
AINA YA MAJINI
Kuna aina tatu za majini:
(1) majini ambao huruka angani
(2) Majini ambao maumbo yao ni kama majoka na mbwa.
(3) majini ambao huishi sehemu moja na kuhama hama
✍️✍️ MAJINI HUWA WANAMWINGIAJE MTU.
Mtu yeyote anaweza kuteswa na Jini pasipo Yeye Kujua au kushtuka na akatupa pesa nyingi Hospital na WAGANGA Endapo Kama Hana uelewa Juu ya roho hizi.
Watu wanaoteseka huteswa na majini nakuwafanya wawe watumwa wafunge safari kutembea huku na Kule wakitafuta Suruhu.
✍️✍️✍️MILANGO WANAYOTUMIA MAJINI KUINGIA.
Kuna Njia au milango mitatu tu wanapoingilia Majini.
1:Lango la Kwanza: MILANGO YA UFAHAMU.
🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
Jini hupenda Sana kutumia masikio pua macho mdomo Kukuingia na akiingia ndani ya mwili anakufunga ufahamu wako nakuhakikisha anakutesa nakukutumia kufanya vitu visivyoeleweka kuleta Uharibifu mwingi Kupitia ufahamu kufungwa.
DALILI ZINAZOKUFANYA UJUE UNATESWA NA LANGO LA KWANZA LA MAJINI Ni hizi.
🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
1:Kujiona wewe hujielewi juu ya unayofanya.
2:Kuwa na matumizi mabaya ya Pesa
3;Kushindwa kuwa MWAMINIFU wa utoaji KILA Mwezi Fungu la kumi.
4:Mahusiano yako kufa au Kuvunjika bila sababu
5;Kukosa kujitambua au kujisimamia kuendelea na wokovu.
6;Kuacha wokovu
7;Matatizo Kama upofu ukiziwi ububu kigugumizi .
8;Hukushika Mawazo katika imani nakurudisha imani yakushindwa
2;LANGO LA PILI; UTOSINI NA KWENYE PAJI LA USO.
🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
Jini hupenda kuingilia UTOSINI pia na Kwenye Paji la USO
Ili aweze Kuingia kwenye damu Jini Ataingia kwenye utosi au Kwenye Paji Akiingilia hapo Atahakikisha Anakupa MAGONJWA yanayosababishwa kwenye damu na ukienda kupima madokta hawataona vimelea au virusi wataliona Jini linalojigeuza nakuonekana mtindo huo kwa ajili kuhakikisha unatumikisha.
DALILI ZINAZOKUFANYA UJUE UNATESWA NA LANGO LA PILI.
🖕🖕🖕🖕🖕
1;Kuumwa magonjwa(Ukimwi,Kansa,Kisukari, na magonjwa Yote yanayohusisha damu)
2:Kuumwa kichwa kipanda Uso na Kuhisi vitu vinatembea mwilini
3:Kuumwa mifupa kupekecha mifupa na kupooza
4;Kuwaka mwili Moto na kuchomwa chomwa
5;Husababisha magonjwa yasiyoisha au matatizo yakiafya yatakayokufanya utupe Pesa tu.
🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
3;LANGO LA TATU; WANASIMAMA NYUMA AU MBELE YAKO
Huwezi Kuwaona Kwa Macho ya Damu na Nyama.
Jini Anaingilia mikakati yako unayoipaga au Pale kusundi la Mungu lilipo huzuia Akiingia Hukufanya Mambo yako mbele yako yafe na Yasiendelee mbele hukufunga au kukosesha kutazama nakuona kwa Usahihi.
DALILI ZINAZOKUFANYA UJUE UNATESWA NA LANGO LA TATU;
1;Mambo yako kutokuendelea mbele
2;Kuanzisha vitu vinakufa
3;Kuharibika kwa Malengo yako
4;Kwenda kinyume na kusundi lako.
5;kuona upizani na ugumu KILA unachokifanya.
6;Kukata tamaa
7;Kuwaza Kufikiria Kushindwa Jambo.
✍️✍️ MAJINI CHAKULA CHAO NI NINI
Majini Wana Aina Tatu TU ya chakula
1;Damu za WANADAMU na Wanyama
2:Mifupa ya WANADAMU na Wanyama
3;Moshi wa Udi Ubani
✍️✍️NINI UFANYE UFUGULIWE ✍️✍️
1:Okoka na Usimame na Mungu katika Imani.
2:Fundishwa Neno la Mungu na ulipende Neno la Mungu
3:Simama na MADHABAHU yako kutoa Fungu la kumi KILA mwenzi Usiibe au kuruka.
4;Kama hauna Imani usijaribu kuyachokoza majini au haya maroho yatakuua au kukufanya vibaya kabisa.
5;Fika kanisani Morogoro veta Dakawa kwa Pastor Richard.
HITIMISHO
Tunapaswa Kusimama na imani Pepo Wala Tatizo lolote halitatuweza Sisi Kuwa waaminifu wa Fungu la Kumi KILA mwenzi kwa wafanyakazi na wafanyabiashara KILA wiki Pia Kupenda Mafundisho ya Neno la Mungu.
Tukisimama majini hawatakutesa Kabisa.
Wito
Unaetamani uokoke Umpokee Kristo awe kiongozi wako nipingie Simu
Simu +255759861768 piga Jioni saa 12 00 Jioni
@Pastor Richard
Fb;Moto wa Yesu
Maoni
Chapisha Maoni