SOMO:IBADA YA SANAMU

              🌴🍍SOMO✍️✍️IBADA YA SANAMU:🌴🍍

Tufunue Vitabu hivi 👉 1wakoritho:10;14👉Wagalatia:5;20👉Wakolosai:3:5👉1Petro:4;3
🍍🍍🍍🍍🍍🍍🍍🍍
Karibu Mwanangu Unayenifatilia Kiganjani mwako au kwenye Laptop Popote pale mlipo ndani na nje ya Tanzania;Leo Nataka Niwashirikishe Kitu UNAJUA NINI MAANA YA IBADA YA SANAMU Karibu Tujifunze.

Wapo watu wanateseka kwa sababu hawajaacha ibada ya Sanamu Wapo wengine wameokoka lakini wanaishi maisha ya ibada za Sanamu nakufata ibada hizo ambazo chukizo.

✍️✍️MAANA YA IBAADA ZA SANAMU
🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑
Ibada ya Sanamu: Ni Mawazo Yote na Matendo mabaya Huitwa Ibaada ya Sanamu;

✍️✍️iNAABUDIWA VIPI
🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑
Unapowaza Uzinzi ulevi Tamaa mbaya Wizi Rushwa na ukafanya hicho kitendo wakati unajua Dhambi Ujue Umeabudu Sanamu.

✍️✍️ LENGO LA KUFUNDISHA Somo ✍️✍️ ili Ufuguliwe kwenye utumwa wa Kuabudu Sanamu umwabudu Mungu wa Kweli(1petro,4:3

✍️✍️ DHIMA YETU MOTO WA YESU ✍️ Inakuandaa umjue Mungu katika Roho Mtakatifu sio katika mwili.

DALILI ZA MTU ANAYEABUDU SANAMU HUWA ZIKO HIVI.

1:Anawazo Alilolishikilia la Kumtumikisha katika Jambo fulani.
Mfano,sitaolewa,sitazaa,sitaacha Pombe,ulafi,Wizi,uashereti,Tamaa nk.

2;Anatukuza Tatizo au Dhambi fulani au muenendo mbaya mbele za Mungu.
Mfano:Mtu Anasema ugonjwa huu utaniua,Mimi Ni masikini kufanya kazi hafanyi nk.

3:Matendo Machafu wakati Umeokoka
Mfano: Chuki,Uzinzi(Kuzini na mtu AMBAYE hajulikani)ulevi,Kwenda kwa WAGANGA.

4;Maisha yake huathiriwa na mtazamo fulani au fikira potofu zenye Kumtumikisha Yeye huyo mtu.
Mf.unafikiria Mungu hawezi Kujibu Hawezi Kukuponya Mungu ameshindwa

5;Maisha ya Mtu anayeabudu Sanamu Hutawaliwa na Kukosa raha Amani Mawazo juu ya Tatizo lake,

6;Shetani humtumia pia kuwaangusha wengine kiroho na kimwili.

7;Hujazwa Hofu na Kukata tamaa juu Jambo fulani.
Kumbe kwa Sababu Anaabudu Kitu SI sawa.

8:Matatizo/Tatizo likiisha Yeye hurudisha Tatizo Kupitia wazo kuliwaza Tatizo TU.

9;Hana matumaini Tena Kama Atatendewa.

10:Anawaza kishetani Anafikiri Kishetani Anafanya MAAMUZI Kishetani Anasifia utukufu wa Shetani Anasujudia Shetani.

HATA NDOA YAKO/FAMILY UTAJENGA KIIBADA YA SANAMU.

Huwa Tunatengeza ndoa yenye
1;Imani moja
Yaani Mungu mmoja muamini Kitu kimoja na Mtembee katika njia moja msipishane njia Kama Umeokoka na atakaye Kuoa aokoke Kama Ni mpangani na atakaye Kuoa awe mpangani Kama wewe unampenda Mungu atakayekuoa Ampende Mungu.

Hii ni Tengenezoo  la Kwanza Ndoa iliyo haina ibada ya Sanamu

2:MKE MMOJA;
Unapojenga ndoa/Familia unatakiwa uwe na MKE mmoja TU ukianza Kutoka nje au Kuongeza mwingine wa pili au Kufikiria TU ujue unaabudu sanamu

3;Mme Mmoja.
Ukiaza kutafuta mme mwingine unaabudu sanamu

Matengenezo haya matatu yatajenga familia Bora yenye UPENDO na AMANI Siku zote.

Hitimisho

Chukizo ibada za Sanamu Mwabudu Mungu wa Kweli.

@2020 Pastor Richard

Kanisa la Holy Spirit Ministry Tanzania

Makao makuu Morogoro Veta Dakawa

Simu+255759861768

Ansateni🙏🙏🙏

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.