SOMO; JIFUNZE KUNASUA MITENGO

✍️👊SOMO👊 JIFUNZE KUNASUA MITENGO YA MAJINI WALIOKUFUNGA KICHAWI✍️👊

Vitabu;Mathayo;25:43-45 Luka;13;16 Mwanzo;40;4  Zaburi;142;7

✍️✍️Karibu Mwanangu Popote Ulipo Unayenifatilia katika Kurasa Zangu Leo Naitaji Ujue Jinsi ya Kutoka Kwenye Vifungo vilivyokufunga

Naitwa Pastor Richard Ninaishi Morogoro Veta Dakawa Ni Askofu wa makanisa ya Moto wa Yesu (Holy Spirit Ministry Tanzania) Makao makuu Morogoro
Simu za Maombezi+255759861768 Jioni saa;12;00-8;00 Usiku

Nitaanza Kuongelea Watu wanaokuwa Matasa Hawazai Jinsi Adui Anavyowafunga

Cha Kwanza Uzigatie Haya ukiwa Unanusua MITENGO Yao ya kichawi Kupitia Majini 1;Uwe Na Imani 2;Uwe Upo vizuri kiroho 3;Uwe na ufahamu Juu ya Tatizo 4:Uwe na nguvu ya Roho Mtakatifu 5;Tumia Jina la Yesu Katika Minyororo Yote.

Wachawi Huwa hawawezi Kukufunga au Kukutesa Bila Majini au roho za Majini Na Majini huwa Ni roho zinazoweza kukuingia nakukuvaa endapo hujasimama vizuri Kiimani ukiwa mvivu wa kusimama Shetani anakutesa Sana. Leo Nataka nikufundishe Kutoka kwenye Vifungo ulipo Popote.

FUNGUA VIFUNGO JIFUNGUE MATATIZO YAKO

1;JINI MAIMUNA: Huyu huwa Jini Mahaba wa kike anayewaoa wanaume na kuvunja ndoa za watu kukosa Amani ndani ya ndoa.

Wachawi hutumia Huyu Jini kumfunga kijana wakiume amchukie MKE wake atelekeze ndoa yake avunje ndoa yake ahame chumba. Vijana amabao hawajaoa akiwavaa huwa Ni ngumu kudumu na Mtoto wa wa kike.

Jinsi Ya Kufunguliwa Kutoka Kifungo hiki.
Weka ratiba ya Maombi kila siku Ukiomba omba hivi.

Naitaji Jina langu Juma Njoo njoo njoo njooo toka kwenye Kifungo Cha mateso na mahagaiko yaliyosababishwa na Jini MAIMUNA Katika jina la Yesu Jini maimu Akuachie Kuanzia Leo wewe nafsi Yangu uwe huru.Amen

2;JINI HASINANI✍️Huyu huwa Jini Wachawi humtumia kumfunga mtu awe
_Mlevi ✍️Avute bangi,Singara,✍️Apende kutumia madawa ya kulevya✍️Apende vilevi. Hii huwa roho huwatesa wengi wasijue

JINSI YA KUFUNGULIWA
Anza kumshauri Huyu mtu madhara ya vilevi na Kama ndio wewe Unayesoma roho hii inakutesa unatakiwa anzakufanya Mazoezi ya kuacha
Muombee huyo mtu Nenda Kanisani Madhabahu yako ukiwa na sadaka yako utaje jina lake uombe Kuanzia Leo Yusufu namtenga Mbali na kiu ya Pombe Kwa Jina La Yesu Pombe aichukie Tena asiitamani pepo hasnani achia nafsi ya Yusufu Kwa Jina La Yesu 🙏 Amen

3:JINI SUMIL✍️Huyu Jini Wachawi hutumia kuwafunga wanawake wanaharibu mimba au Mimba hazikui au Mimba inakuwa na Usumbufu

Hii roho ikimkamata mwanamke atatembea huku na Kule Atatupa pesa hatazaa maana hukusundia wakutese usizae.

JINSI YA KUFUNGULIWA
Chukua Sadaka Yako Nenda Madhabahuni Tamka Kupitia Sadaka hii Leo naitoa ikaongee kwa Habari ya Ukombozi wa KIZAZI changu Katika jina la Yesu 🙏 Amen 🙏
Sitaharibu mimba Tena mimba Zangu hazitaliwa na wachawi Tena katika jina la Yesu 🙏 Amen 🙏

Au Fika Kwa Mchungaji akuombee anayejua KUNASUA MITENGO ya kichawi

4;JINI JUBE ✍️✍️Huyu Huwa Wanamtumia Kuwafunga Kabisa wanawake wasizae Kabisa MCHAWI anachofanya kuharibu Pesa ZaKo kwenda Hospital Madokta watakuambia Mara hiki Mara Kile ukienda Maombi unakutana na Mtumishi haoni MITENGO walivyokufunga atakuambia umefungwa hatujua Jinsi kukufungua

Hiki Kifungo humfunga mtu kwa njia mbalimbali na Kufunguliwa anafunguliwa kulingana na Roho Mtakatifu anavyoongoza.

✍️✍️HITIMISHO✍️✍️
Penda Kujifunza Jinsi ya Kutoka Kwenye matatizo mwenyewe Ili kuepuka matatizo yanayosababishwa na watu wakaribu yako au nyumbani Kwako

Jinsi ya Kufika Kanisani kwa Pastor Richard Panda magari ya Morogoro ukishuka msamvu sted Chukua gari za dumila waambie nishu he veta Dakawa ukishuka chukua pikipiki waambie nipelekeni kanisa la Moto wa Yesu

Uje na notbook peni Biblia ufundishwe na Kufunguliwa Kupitia Masomo TU.

Mungu Akubariki Uliyefunguliwa Kupitia Somo Hili leo

@Pastor Richard 2020

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.