SOMO:UMRI SAHIHI WA KUOA

SOMO; HATUA ZA UMRI KATIKA MAHUSIANO YA WANAWAKE NA WANAUME KATIKA KUFANYA MAAMUZI YA KUOA/KUOLEWA.

✍️✍️TAZAMA UMRI WAKO Hapa UNAMAAMUZI YAPI UJUE TATIZO UMRI TU.

Tufunue Biblia Zetu Hizi.
Matendo:4;22✍️Matendo:7;23✍️LUKA;2;42✍️Mwanzo.17;24

✍️✍️UTANGULIZI✍️✍️

Umri na kuagalia muda Ni mhimu Sana Umri huongea Sawasawa na wakati ulio nao. Wengi wamekosea Katika maisha Kwa kutokuzingatia muda na Umri wao. Leo hii fomula ya maisha imeharibika kwakuwa walikosea KUFANYA MAAMUZI sahihi katika muda sahihi.

MWANAUME ndio huoa na mwanamke huolewa lakini katika Wawili Hawa wanapishana Kwenye kujitambua  umri wa mwanaume Kuoa na Kutafuta maisha na Umri wa mwanamke Kuolewa Akajenga ndoa Bora

KARIBU KATIKA DARASA LA WANANDOA
✍️✍️MWALIMU WA WANANDO Pastor Richard
✍️✍️Nipo Morogoro Veta Dakawa

✍️✍️UMRI WAO NA WANAVYOPISHANA MAAMUZI YAO.

1:Mwanamke Umri 20-25
      Sifa Zao
_Hawa huwa Ni Wanawake wanaochangua Style ya maisha.
_Huchangua wanaume wanaotaka pesa gari kazi Nzuri mwenye nyumba.
_Huwa wanaumizwa na kusalitiwa Sana
_Huzalishwa na kuachwa nyumbani
_Huumizwa na mwanaume mmoja nakuongopa wanaume wote kuwachukia
_Hushawishika haraka hata Kama Anamme ndani atashawishika na Pesa na gari na kazi haraka mwanaume huweza kumuacha asiye na Pesa.

Hawa wao huwa akili zao wanakuwa bado hawajajua maisha na huwa haraka zao husababisha wazalishwe watoe mimba wasiolewe Huwa hawajui ndoa
Wanashauriwa wasijiingize Kwenye mahusiano umri wao bado

MWANAUME UMRI:20-25

Sifa Zao.
_Ni malibukeni Sana
_Waongo Sana kwa Mabint
_Hawaoi Huchezea tu
_Huwa Bado hawajajipanga Kuoa
_Huwa Wanaumizwa Sana
_Huachwa na Kusalitiwa Sana
_Wanataka mwanamke mwenye kazi Pesa na hadhi fulani
_Huwa Wapo Tayari walelewe
_Huwa Hawana Siri kwa wapenzi wao
_Huwa wakizini nawe watakutangaza mtaa mzima.

Hawa nao huwa kundi akili bado hazijakomaa wanaangalia Mali wapate mwanamke mwenye kazi wakati huo yeye Hana kazi Wala kitanda

Wanashauriwa wasijiingize Kwenye mahusiano

2;MWANAMKE UMRI 26-35

Sifa Zao
_Hawa Huwa Wamempenda Mungu Kweli.
_Hutaka MWANAMME mwenye hofu ya Mungu mwenye KUJALI nakupenda.
_Huwa na Msimamo wa Mwanaume mcha Mungu

_Huwa Kuzini Tena wameshaumizwa na Wanaume wamejua utofauti wao
_Huwa wakiachwa Wanamatengemeo ya kupata mwanaume Bora.
_Huwa na Mwanga mkubwa wa akili zao kufanya maendeleo
_Huwa hawasalitiwi Wala kuumizwa
_Wanaposalitiwa huwa Hawawachukii Waume wao nakuwaacha huwavumilia.
_Hawa ndio hutuza ndoa nakuiongoza familia vyema sababu huwa wanampenda Mungu

Hawa huwa na Sifa hii Kutokana Wanaume wameshawajua na Wameamua kuhitaji Sifa Kubwa Ni mwenye hofu ya Mungu Maana hatawaumiza na huwa hivyo hufurahia

✍️MWANAUME  UMRI 26-35

Sifa Zao
_Huwa Hawana Ulibukeni
_Huwa wanasiri na hawatangazi Siri za MPENZI wao
_Huwa ndio umri wa Kijana Kuoa
_Huwa wameandaa mazingira ya Kuoa
_Huwa wanahofu na Mungu na wanata wanawake wenye hofu ya Mungu
_Huwa Hawaumizwi Wala Hawaumizi katika mahusiano
_Hupenda na Huwa waelewa kwa Wapenzi wao
_Huwa Na Kazi Kama nyumba Tayari kasolo MKE maacha huagalia mke wa Kuoa
_Wako Tayari kuvunja uchumba hata hatua za mwisho za kukupeleka kwa wazazi wakikuona hueleweki.
_Huwa hawalazimishi na niwaelewa Ukitaka uachane nao wanakuacha hawatakusumbua.
_Huwa Wanaume wanaofaa uaze nao maisha umri huu.

Huwa wako na Sifa Hizi kutokana msimamo wao na fomula ya maisha kwao inaeleweka na wameshajipanga hawataki wakatambulishe au Kuoa mwanamke AMBAYE SI mcha Mungu mwenye kutii mwenye heshima Hili kundi makini.

3; MWANAMKE  UMRI;36-55

Sifa Zao
_Huwa Wamekata tamaa ya Kuolewa
_Huwa wanaomba waolewe na yeyote yule hawachangui Tena.
_Huwa wanakimbilia wadogo zao miaka 25.27.29.
_Huwa maisha Yao wanajutia umri wao
_Huwa Wanatamani Kuolewa lakini inakuwa wanaume wanawapata wasioleweka
_Huwa mwelekeo wa maisha wameuvurunga

Hawa Wanasifa Hizi kwa kuwa umri wanauona unaenda halafu hawaolewi kwa kuwa umri unakuwa wa majuto

✍️ MWANAMME  UMRI;36-55

Sifa Zao
_Huwa wanataka wanawake Mabint SI wamama.

_Huwa wanaoa Mabint SI wa mama

_Huwahonga Mabint SI wamama

_Huwa wanachepuka ndani Kama Hutampa tendo la ndoa

_Hutafuta wanawake Wazae nao TU sio waishi nao.

_Huwa Wanarubuni Kundi la Waschana hasa warembo kwa Pesa na Kazi zao
_Huwa Wanahofu na Mungu
_Hufanya Vitu vyao bila kushirikisha wake zao.

_Hawa huwa mwelekeo wa maisha uko vizuri shida umri huu ukifika wengi Ni watu wasio oa

Wapo wachache Sana wasio na Sifa Hizi

Kwa hiyo ukiolewa na Kundi Hili umri huu Ujue Sifa umri huu.

✍️✍️HITIMISHO✍️✍️

Tazama Sifa za Mchumba uliye nae na uone hatua zake zilivyo pia maongezi Yake maneno Yake.

KILA Umri unawakati wa kufanya kitu katika maisha Usipoteze Umri au Muda Baadae Utaharibu hata uandaaji wa familia yako.

✍️Wito✍️✍️
Namba ya Pastor Richard kwa Ushauri na Maombezi Piga Jioni+255759861768

Comment na share kwa wengine

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.