🙏🙏✍️SOMO;MALAIKA WA UJENZI
✍️🙏🙏SOMO🙏: MALAIKA WA UJENZI🙏🙏✍️
Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi 👉👉 Luka:14;30🌱Luka:17;28🌱1wafalme:5:3🌱8;15-20🌱Zakaria:6:15🌱Hagai:1;2🌱Muhubiri;3:3🌱Ezekieli;11:1-5
🙏UTANGULIZI🙏
Karibuni katika Mafundisho ya Neno la Mungu yatakayokukuza kiroho nakukuimarisha Kiimani
Naitwa Bishop Richard Ni Askofu na Muasisi wa makanisa ya Holy Spirit Ministry Tanzania Yenye Makao makuu Morogoro veta Dakawa Makanisa yanayongozwa na Roho Mtakatifu Yenye nguvu ya UKOMBOZI na Mafundisho ya Neno la Mungu Ili kuwafungua watu na kuwaponya Kupitia Mafundisho tu.
Leo Tunataka Tuwajue MALAIKA WA UJENZI kazi zao na MALAIKA Hawa wakoje na wanatenda kazi ngani.
NIKIWA natafakari kazi ya Bwana Nasikia Sauti Malaika wa Ujenzi.
KARIBU uwajue Hawa MALAIKA na uwatumie.
🙏🙏 MAANA YA MALAIKA WA UJENZI 🙏
Ni Malaika wanaoshughulika na kazi ya ujenzi wa Mungu ujenzi ambao unaufanya Mtoto wa Mungu katika Kipindi kigumu.
Huwa wanatumika katika ujezi wa makanisa na mazingira magumu ambayo huna pesa Mungu ili ajitukuze huwatuma wafanye ujenzi uende Kama ulivyotaka Utapata mpenyo kwa AKILI ZaKo utajua Ni wewe umejenga.
🙏🙏MUONEKANO WAO.
1;Nguvu ya Ajabu
2:Kama upepo au nuru Kali
3;Utawaona wakati mwingine wanapanda na kushuka
4;Utawaona wakiwa na mabawa makubwa kiungo ukaona nuru tu
5;Huja Sana Kwa Imani Tena wanakupa muda kazi itakuwa imeisha.lini ya ujenzi haiwezi kukupa ugumu ukiianza.
🙏🙏FAIDA YA KUWATUMIA MALAIKA WA UJENZI 🙏🙏
1;Unaweza kuanzisha Jengo na linaisha bila kutumia muda mwingi au gharama nyingi.
2;Utakuwa na nguvu ya Imani Katika ujenzi wako
3;Wanajenga makanisa na Majengo makubwa au yaliyo nje na uwezo wako
4:Huitwa nakutumiwa Kwenye ujenzi tu
5:Wanakufanya uheshimike maana Utafanya makubwa tofaut na uwezo wako
6;Huwasimamia Mafundi na kuwalinda waifanye kazi kwa haraka.
🙏🙏HASARA ZA KUTOKUTUMIA MALAIKA WA UJENZI 🙏🙏
1;Utaishia njiani katika ujenzi wako
2;Jengo lako litakaa miaka muda kuisha
3;Huwezi kujenga au Kugusa TU swala la ujenzi maana unakuwa na hofu
4;Hutajenga au Kupata nguvu ya imani kuwa unaweza.
5;Utakuwa na hofu na woga wa ujenzi Utaongopa kujenga Utaona Bora upange
6;Mafundi na ratiba zao wanakuwa wanakusumbua.
🙏JINSI YA KUWAITA🙏🙏
Kwanza Anza hatua ya kujenga
Kisha nenda uombee unaponjegea
Omba Malaika wa Ujenzi njooni mjenge nyumba yangu
Malaika wa Ujenzi Jenga panga tifali njego lisimame Sasa katika jina la Yesu.
Hitimisho
Malaika Hawa watakusaidia kujenga nyumba yako wakati unawaomba fanya juhudi ya kutafuta pesa nakukamilisha ujenzi usiwaze kushindwa.
Wito
Kwa wewe unaetaka kumpokea Kristo kuwa kiongozi wako wa maisha nipigie+255759861768 Jioni
Maoni
Chapisha Maoni