Somo;Imani yenye udhihirisho

💪💪SOMO;👉IMANI YENYE UDHIHIRISHO WA MAJIBU.

Tufunue Daniel;3;na sura ya 4 Yote

👉Darasa la Biblia
👉MWALIMU Pastor Richard $2020

Tunaona IMANI ya Vijana watatu waliokuwa Wapo katika nchi ya kigeni wakakuta wenyeji wanaabudu miungu wanauliwa nakuchomwa Moto MFALME wa Utawala huo alikuwa na roho mbaya Sana Vijana Hawa Meshaki,Abidnengo na Shadraka walimjua Mungu wao na walisema moyoni mwao wakapatana hatutaabudu Sanamu nakuzipingia magoti Sanamu wakakubaliana Siku hiyo ilikuwa majira ya saa 12 Alfajiri filimbi ya watumwa wa MFALME waliitajika waingie ibadani mfalme akashangaa Vijana hawakutokea alimtuma msaidizi wake akawaita akawauliza nyie Vijana mbona ibadani Leo hamjaja Wale Vijana kwa Pamoja wakamwambia Mfalme hili Swali halina majibu hatujaja sababu Sisi hatuwezi kuabudu Sanamu na Kukunyenyekea wewe haipo 😳😳Mfalme Nebukadarenza Akasema Nyinyi Vijana mnanitania utaratibu wangu hapa mtaabudu Tu na mtaenda Kama Mimi mfalme wenu nitakavyo wale Vijana Wakatabasamu wakamjibu mfalme sikia Sisi Tunae Mungu aliyehai sio Sanamu Akasema mfalme Hebu washikeni fungeni mikono charaza fimbo hao Vijana Kisha watupeni kwenye Moto
Wale Askari wa mfalme wakafanya Kama walivyoamuliwa wale Vijana wakiwa kwenye tanuru wakasema mfalme shuhudia umuone Mungu tunayemwabudu Moto huu hautatuunguza mfalme akakaa kuagalia wanatekea au Cha Ajabu alishangaa kumuona mtu wa nne na Vijana wakiendelea kumchekea 🗣️🗣️Mfalme ndipo alipojua miungu yake na alichokuwa anakiabudu nakukifata hakikuwa sahihi.

Tunaona Imani ya Vijana Hawa Wanamdhihirisha Mungu wao kwa Rais Nebukadarenza nae Anaamuru watu wote wamwabudu Mungu wa Meshaki Abidnengo na Shadracka

Huyu Mungu wa kuabudiwa sio unag,ag,ania Mungu ukipitia matatizo au magonjwa au Mapito ukimwita Anakutelekeza anakuacha ukiwa kwenye raha anakuja kukufata.

Tambua Mungu wa kweli Anajidhihirisha mwenyewe Ukitamka Kitu kinakuwa.

Nilisema kwa Habari ya Corona haitasikika kelele zake Tena Na haitakaa Tanzania Ndivyo imekuwa Kelele za Corona hazipo watu Hawana hofu Tena.

👊👊👊FAIDA ZA IMANI YENYE UDHIHIRISHO WA MAJIBU
1;Utasema Jambo litakuwa hivyo ulivyonena
2;Utamuona Mungu unaemwabudu Anajidhihirisha Kwako
3;Utamuona kwenye Kipindi Kigumu Anajidhirisha Kwako.
4:Utamuomba nae ataitika Atakuonesha Mambo mpaka utashangaa.
5;Hutaabudu kitu usichokijua uwezo wake.

Hapa duniani Kuna Mungu wengi Mungu wengine huwa Mtu Akipita katika majaribu Kama ya Hawa Vijana Meshaki Abidnengo na Shadraka huwa wanawaacha watu wao na Shetani anawateka kwenye himaya yake lakini Mungu wa kweli hatakuacha Hata kidogo.

Kuna wengine Mungu wao Amewaambia watumie mitunguli na wengine walonge wengine wanywe Pombe hao nao ndio Mungu wao kawaambia hivyo lakini Mungu uliye nae Anajitosheleza ulizi hatumii mitunguli Wala Nini.

Mungu wako Ni Mungu anayekupa Amani Lakini Wengine Mungu wao anawanyima Amani.

👋👋👋Chukua Nafasi hii Leo Jumamosi Kutafakari Ujumbe huu Mungu wako lazima umtambue ili uwafanye watu wamtambue na hata uwashawishi wewe Sio Unawaambia Mungu wako Anajidhihirisha halafu wakija hawaoni Kwako Nini amekutendea.

Shirikisha Masomo haya yamfikie mchawi Mlevi mzinzi na Aamue kumrudia Mungu wa kweli.

Namba za Pastor Richard Kwa Maombezi Piga Jioni+255759861768

Nipo Morogoro veta Dakawa

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.