SOMO: UTOFAUTI YA MKE MWEMA

✍️✍️DARASA LA WANANDOA +18✍️✍️
✍️✍️SOMO; UTOFAUTI WA MKE MWEMA NA MKE ASIYE CHANGUO LA MUNGU.

Mithali;31;7-11 Mithali;14;1-4

✍️✍️ MWALIMU PASTOR RICHARD
Nipo Morogoro Veta Dakawa
✍️✍️ WhatsApp+255759861768

✍️MAANA YA MKE MWEMA✍️MME MWEMA

✍️✍️MKE MWEMA Ni mke unayepewa na Mungu Baada ya kusungua ngoti na Kumlilia.

✍️✍️ANAPATIKANA WAPI MKE MWEMA: Kwenye nyumba za ibada huwezi kumpata uchocholoni au disco au bar au nje ya nyumba za Ibada.

✍️ MAANA YA MKE WA SHETANI✍️MME WA SHETANI

✍️✍️MKE AMBAYE SIO MWEMA Ni mke ambaye unampata bila Maombi unakutana na kuazisha uchumba bila kusungua ngoti  Huyu hupatikana kwa matamanio Yetu na Akili Zetu kwa muonekano wa nje tu.

✍️✍️ANAPATIKANA WAPI MWANAMKE HUYU Ni mwanamke ambaye utampata na Kuonana nae nje na nyumba za ibada

Mfano mtakutana bar mtakutana disco mtakutana kwenye gar au Popote Pale palipo nje na mazingira ya nyumba za ibada ujue Huyo mwanamke hujampata kwa AKILI  ZaKo

✍️✍️UTOFAUTI YA SIFA ZAO NDANI YA NDOA KATI YA ULIYEPEWA NA MUNGU NA ULIYEPEWA NA SHETANI.

✍️✍️SIFA ZA MKE MWEMA/MME MWEMA

1;Anamtimizia mwezake na kumtosheleza KIMWILI na KIROHO.(Neno la Mungu na Tendo la ndoa)

2;Anamtii na Kumfata mmewe anavyotaka mme wake pia mwanaume humsikiliza mkewe nakufanyia kazi yanayofaa katika ushauri wake.

3:Ndoa Yao huwa inafuraha na Upendo hata kwa watu wa nje hutambua wanavyopendana.

4:Yupo Tayari kufa kwa Ajili ya mwezake maisha Yake anayotoa kwa Ajiri ya mwezake.

5;Ni mfariji na Anamtia moyo mwezake anamhurumia mwezake katika wakati mgumu akiupitia.

6;Anavumilia na kuishi na mwezake maisha yoyote hata wakifanikiwa Tabia Yake haibadiliki kwa MMEWE .

7;Hajengi kwao au Kugombanishwa na ndugu hayumbishwi na Ndugu katika ndoa zao huwa na Msimamo mkali Sana maana wanaangano hawatatengana na wameuganishwa na Mungu.

8;MKE mwema haangalii mahali au Mali au Elimu Anaangalia upendo na Hofu ya Mungu hiki hukipa namba Moja ya Kujenga ndoa Yake hata Kama mahali haijatolewa hupata Amani ndoa Yake anavyopendana na mmewe TU.

9;MKE mwema husamehe Hutunza Siri za ndani Hatoi Siri za ndani nje hata mtu yeyote hawezi Kumwambia mpaka mchungaji ambaye humwamini Kama Mlezi wa kiroho.

10:Mke Mwema huwa Anawalea watoto katika maandili mema Kwenda kanisani nakuwafundisha Maombi.

11:MKE mwema Hutunza nyumba Yake na Asubuhi Akiamka humsalimia mmewe na kumnyoshea nguo na kumwadalia nguo za kuvaa.

12;Mke Mwema huwa muwazi kwa MMEWE na Huchukia mmewe Kwenda katika njia mbaya kwenye Makundi na MARAFIKI wasiofaa Huchukia na mme mwema humheshimu mkewe na kuacha Makundi.

13:MKE Mwema huwa Ni watofauti na hekima Yake ya tofauti maneno Yake yamejaa unyenyekevu na utiifu kwa mmewe.

14:Upendo na Amani Ni kiashiria kikubwa Cha kukujulisha Yote.

15:Humuombea mmewe na kumkumbusha mipango na walioongea.

16:MKE mwema huwa hatoki kumsaliti mmewe na mme mwema na hivyo hivyo huwa wanaridhika na kuishi bila kufata watu watakavyo.

🍉🍉HII NDOA HUWA IMEJAZWA BARAKA ZA KILA AINA HUWA WANAPENDANA KWELI🍉🍉✍️✍️🍉🍉

✍️✍️Sifa Za Mke/Mme Asiyemwema Dalili zao Ziko hivi.

1:Hamtimizii mwezake na Kumtosheleza Tendo la ndoa.

2:Hamtii mmewe na Hamheshimu mmewe ndani ya nyumba.

3;Ndoa Yao huwa inaungovi na kelele kila Mara haina Amani kabisa.

4;Huwa Hayupo Tayari kumbeba mmewe au kufa kwa Ajili yake
Yaani Tatizo ndogo TU anakimbilia mgawane Mali muachane aondoke.

5:Huwa Anamvunja moyo mmewe Anamkatisha Tamaa Kauli zake Huwezi wewe Hujui wewe Nk ukiona mkeo anakuvunja moyo SI MKE mwema MKE mwema anafariji Anabebeleza.

6;Anapenda maisha mmewe akiwa na Pesa tu au maisha manzuri mkipitia pito ngumu kidongo safari zitaanza Sababu Nyigi Ataanzisha Anabangua pia mazingira ya kuishi na hata stayle Yake humkomoa mmewe.

7;Hufanya vitu vya Kubomoa Kauli chafu Maneno machafu na Akiwa na Kazi mmewe asiwe na maisha yanayoeleweka ataanza kumsema kwa watu na kumchafua Huwa Mpumbavu maana Huja kuivunja ndoa yake.

8:Anashikiliwa Ufahamu na ndugu na huwa Hajengi kwake Anaenda Kujenga kwao Baadala Amshirikishe mmewe Hufanya Siri

9;MKE AMBAYE SI Mwema Anaangalia Mahali na Mali  au Pesa kwa mwanaume huwa Hana upendo wa kweli mkishapata Mali hukimbilia muachane mgawane Mali mmevuna wote.

Asielewe mlitengeneza maisha nakutafuta Mali kwa Ajili ya watoto mliowazaa.

10;MKE Mpumbavu akiwa na mmewe anaongelea Wengine maendeleo ya Wengine Tena bila Aibu akiwa na mmewe wakati huo yeye Ni mwanamke anatakiwa aoneshe hatua za maendeleo walizozifanya na mmewe.

11:Huwa Hajui kumpokea mmewe kumwandalia maji. Kumtamkia maneno mazuri Nakupenda mme wangu Samahani mme wangu hajui na hutasikia kwake utasikia

Nakupenda Basi yaishe SI umesamehe Basi Unisamehe Lugha Ambazo hupaswi kutamka kwa mmeo Basi...Si..yaishe...mbona....Epuka maneno kuanza nayo unapokuwa na mmeo.

12.Huwa sio Msiri Siri za mmewe humweleza kila mtu Siri za ndani Kwa mashoga zake atawaambia mpaka Siri za chumbani.

13;Huwa hawapi malezi Bora watoto katika Misingi mema Utawakuta watoto hawajui Mkubwa  Hawajui hata kusalimia Asubuhi.

14:Huwa Hamshirikishi mmewe au Kumuweka wazi mmewe hata Kama alishazaa anaweza asimwambie mmewe.

15;Kiashiria kikubwa Ni ndoa Kukosa Amani na Upendo.

✍️✍️✍️ HITIMISHO ✍️✍️

Hizi Ni Sifa Pande mbili mke mwema/mme mwema Na MKE si Mwema/Mme SI Mwema

UKiingia ndoa ya Shetani Hutapata Amani UKiingia ndoa Mungu Amani Utaiona

✍️✍️WITO✍️✍️
Tunapaswa Tuombe Mungu Tupate Sahihi Tutawapata kanisani kwa hiyo Kama kanisani hupendi ibada na Mungu hupendi Huwezi Kupata sahihi.

Epuka ndoa itakayokuumiza Kabla HUJAINGIA Chunguza mahusiano yako uliye nae Unaamani nae au huna Amani.

Naitwa Pastor Richard Piga Jioni Simu +255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.