SOMO; MZUNGUKO WA Siku 28

🎙️🎙️DARASA LA WANANDOA🎙️🎙️+18

🎙️🎙️📣📣KUHESABU NA KUPANGA WATOTO MWENYE MZUNGUKO 28📣🎙️🎙️

SOMO🎙️🎙️JINSI YA KUSHIKA MIMBA NA KUPANGILIA WATOTO KUPITIA KALENDA YA MZUNGO WA SIKU 25-30 Ambayo huitwa siku 28

Tufunue Vitabu; Mithali;9;9 Mithali;4;3 Mithali;16;23

🎙️🎙️ MWALIMU WA WANANDOA PASTOR RICHARD
🎙️🎙️Nipo Morogoro veta Dakawa
🎙️🎙️SIMU+255759861768 Kupiga Jioni saa 12;00

Inawezekana kabisa umejichanganya ukaenda hosptali ukaharibu kizazi chako wakati wewe mzima KILA mwanamke aliyeumbwa Ameumbwa mfumo wa Uzazi tofauti na mwezake Leo Kupitia Njia hii itakusaidia na kukupa Elimu Jinsi ngani utumie Elimu KUPANGA familia iliyobora ili hata watoto wako uweze kuwapa matunzo na Elimu vyema

Tutaongea Kuhusu KUHESABU na KUPANGA WATOTO wenye Mzunguko wa Siku 28

Wanandoa wote hupaswa Kuelewa na Kufatilia KALENDA Mara tu mkeo anapoingia Blidini Moja kwa Moja unatakiwa uwe makini kuhakikisha unamfatilia

KARIBU ujifunze Darasani Wanandoa

Kuna wengine wanafikiri Kupata Mtoto Ni bahati nasibu Hapana Mungu alishabariki lazima uzae na upate Mtoto isipokuwa unachengana na KALENDA yako unatafuta Mtoto siku ambayo haupo Tayari kushika mimba Kutokana na mfumo wako

🎙️🎙️🎙️JINSI YA KUPANGILIA WATOTO WA KIKE AU KIUME MWENYE MZUNGUKO WA 28🎙️🎙️🎙️

Mwanamke unatakiwa ujue vizuri mfumo wako wa Uzazi na Ovulation yako kwa Umakini ukinielewa Utakuwa umeondokana na Matatizo ya Uzazi

Huwa KUHESABU Siku Zetu za KALENDA huanzia Siku Ile umeona Damu ya Blidini

MZUNGUKO WA SIKU.25-30(28)

      🎙️🎙️HEDHI🎙️🎙️

1:Siku ya hedhi Damu Kutoka 1,2,3,4,5, Damu inakata

Hupaswi ushiriki tendo la ndoa na Mmeo Damu ikiwa inatoka huwa inakupa madhara wewe mwanamke

        🎙️🎙️SALAMA🎙️🎙️

2:Siku Salama Kwako 6,7,8,9 Ni Free

Unapaswa ushiriki Tendo la ndoa na Mmeo maana huwezi Kupata mimba

          🎙️🎙️HATARI🎙️🎙️
3:Siku ya Hatari Kwako;10,11,12,13,14,15,16

Hizi siku Ukishiriki Tendo la ndoa lazima ushike mimba hutakwepa Ni Hatari Kwako Kama hujajipanga kuwa na Mtoto

Mwanaume ukishiriki Siku Hizi Tendo la ndoa Kama mkeo anasoma kwenye KALENDA 28 Ujue lazima Mimba iingie hutaruka.

                 🎙️🎙️SALAMA🎙️🎙️
4:Siku Ambazo Upo free Kushiriki Tendo la ndoa;17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28,29,30

Hizi Siku huwezi Kupata mimba Au Tu kushika Ujauzito Kwa hiyo Upo free kukutana Tendo la ndoa na Mwezako Kama hamuitaji mzae watoto kwa kufatana

KARIBU Tupange watoto na Tujue Kutumia KALENDA YA SIKU 28 Tutapataje Mtoto wa Kiume au Wakike ili kuepuka Kubahatisha katika Uzaaji wako uwapangilie .

🎙️🎙️JINSI YA KUPANGILIA WATOTO KUPITIA KALENDA YA SIKU 28🎙️🎙️

      🎙️🎙️🎙️ MTOTO WA KIUME🎙️🎙️

   Tukianza na Mtoto wa kiume Huhitaji uzingatie vyakula mlo.

*Nyama na Chipsi
*Coffee au Vilivyotengenezwa na coffee
*Coka Milinda nyeusi Pepsi huamsha haraka mbengu za kiume
*Samaki maziwa.mtama,mahindi.mihongo

Pia huzingatia Muda Sana na Anayewahi kufika mwisho.

*Tendo la ndoa lifanyike usiku mnapotafuta Mtoto wa Kiume
*Mwanaume ndio anatakiwa aanze kufika mwisho wakati wa tendo la ndoa.

Pia Unashauriwa tumia mtindo wa Tendo la ndoa unaomfanya Mmeo afike mwisho haraka au mfike mwisho haraka
*Usifanye Tendo la ndoa Kama huna furaha au umeuziwa na Mwezako.
*Usifanye Tendo la ndoa kimazoea
*Fanya Tendo la ndoa ukiwa haujakwazika
*Tafuta Mtoto wa Kiume Siku ya 11,12,13

Mtoto wa Kiume hupatikana Siku ya 11,12,13,

Mwenye KALENDA Siku ya 28.

      🎙️🎙️ MTOTO WA KIKE🎙️🎙️
Mtoto wa kike Ni rahisi kumpata sio Kama Mtoto wa Kiume

Mtoto wa Kike Hana mashart au Vingezo vya kufata

Unatakiwa wote muwe Tayari katika Tendo la ndoa inapotokea mmeliza Pamoja na mwanamke ameanza kufika mwisho kinachoenda kupatikana Mtoto wa Kike

Siku na Tarehe kwenye KALENDA yako itakujulisha Ni Siku ya 14,15,16,17 Ukishiriki Tendo la ndoa Utapata Mtoto wa Kike

🎙️🎙️🎙️Mungu Akupe Amani na Upendo katika ndoa yako pangilia watoto wako fata Uzazi wa mpangilio kwa kutumia njia salama ya KALENDA yako.

🎙️🎙️🎙️Mfundishe na mwelimishe na jirani yako ili Amtukuze Mungu.

Tuma kwenye magroup yako na kwa MARAFIKI zako.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

MAOMBI YA USIKU WA MANANE 2025

KITABU IJUE NDOTO YAKO