SOMO:WAJUE HAWA MAJINI
✍️✍️👉SOMO: WAJUE MAJINI WANAOTUMIWA NA MANABII WA UOGO KUTENDA MIUJIZA NA WATAWALA WA NCHI NA WAFALME KUTAWALA NCHI NA DUNIA
Tusome;Methali;3;14,. 2wakoritho;10;5
✍️✍️✍️Inasikitisha Kuona Shetani Kainua Watumishi na Manabii wa Uogo ambao wameipoteza kweli Ya Yesu nakutumia nguvu za ngiza na roho za Mashetani Kutenda miujiza Mbalimbali Na Watu wamelikana Neno la Bwana Wameamua kumuacha Bwana Ndani Yao wamechukia Elimu ya kuwafungua nakuwaponya katika Neno la Mungu
Roho Mtakatifu wamemchafua nakumkasirisha nakuondoka Ndani Yao nakuwaacha wajiongoze kwa akili zao wamesema Sisi Tunaakili na Tunajua nakuona.
Karibuni Naitwa Pastor Richard Mtumwa wa Bwana Yesu niliyetumwa kwa Ajiri ya kila Mmoja mpagani mkristo mfia dini na Alifungwa na mtazamo wa kidini Kupitia Masomo haya au Elimu hii itamponya.
Naishi Morogoro veta Dakawa
Facebook MOTO wa Yesu
Google Tovoti www.mchungajirichardi.blogospot.co
✍️✍️✍️KUNA MAKUNDI MATATU YA MAJINI KATIKA MUONEKANO✍️
✍️MAJINI Ambao huwa wanaruka tu Angani
✍️MAJINI WANAONEKA KAMA WANYAMA NA MAJOKA MIJUSI utaona mbwa au paka mbuzi joka Kumbe jini
✍️MAJINI Wanaonekana wanakaa sehemu Moja au kuhama
Mfano mjusi mbwa unaona kitu ulikuwa unakiona ndani jamii ya mjusi inahama Mara chumbani Mara jikoni
Wachawi ili wakutese Lazima waweke jini linawapelekea Habari kila unachokifanya
✍️✍️✍️JINI✍️AFRIT✍️
AFRIT ✍️ huyu Ni Jini Anayetumiwa na Manabii wa Uogo kuwapa nguvu ya kufanya miujiza mikubwa mikubwa Sana
✍️✍️SIFA ZAKE✍️
1;Kutenda miujiza ya nguvu.
2;MJANJA na ANANGUVU
3;ANATUMIWA NA MATAJIRI NA WATUMISHI WA UOGO
✍️✍️ DALILI ZITAKAZOKUJULISHA NI AFRIT ANAFANYA MIUJIZA SI ROHO WA MUNGU✍️✍️✍️
1_Utamuona Mtumishi Nabii Mtume Anavitu hivi.
-Pete Tofauti na Ya ndoa
-Cheni au Mkufu shigoni Utamuona Amevaa
_Utamuona Amevaa Bangiri la Duara plastiki au Chuma.
2_Atatenda miujiza mikubwa sababu jini Afrit Ni Jini Mkubwa mwenye uwezo wa kuwatuliza nakuwaondoa mapepo na wachawi Wegine.
3_Atatumia Pete Bagiri Nk Vitu vilivyotofauti na Mafundisho ya Yesu ukiona hivyo umetekwa na Afrit.
4_Huwapumbaza na Kuwakamata Ufahamu watu nakusababisha watu wachukie Mafundisho ya Neno la Mungu Yenye uhai ndani yake
5_Jini huyu huwa mjanja Sana na Nigumu kumjua endapo Kama hauna Roho Mtakatifu.
Huwa Lazima uvione mwilini mwake vitu Kama hivyo Cheni mikufu Pete bagiri
✍️UFANYE NINI✍️SASA✍️
Chukua hatua ya kutafuta makanisa ya kiroho yatakayokukuza kiimani Utafundishwa Neno la Mungu na Utapona matatizo yako Kupitia Neno la Mungu na maombi tu Kupitia Jina la Yesu.
Chukua Muda kutenga muda wa Maombi.
✍️✍️JINI 2;✍️MARIDA✍️✍️
JINI MARIDA ✍️✍️ huyu ni jini anayetumiwa na watala Kama wafalme na Marais kuwalinda na watu wabaya ili wasiwadhuru au kuguswa na wachawi
Marida Ni JINI mwenye Nguvu kubwa ya kiutawala
Sifa ZAKE JINI HUYU
1;Anakaa na Viongozi wakubwa Serikalini
2;Huwa na nguvu ya kiutawala kwa viongozi
DALILI ZA MTU MWENYE JINI HUYU.
1;Ananguvu ya kusikilizwa na watu
2;Ananguvu ya KUTAWALA
3:Akipita popote hata Kama ulikuwa na kazi utaacha utamfata
✍️✍️SUHURISHO✍️
Kuokoka na SIMAMA pia unatakiwa unaomba
Simu ya Pastor Richard Piga Jioni+255759861768
Ameeen
JibuFuta