SOMO;TULIA

👏🏽👏🏽SOMO; TULIA (Dhambi inaua)
🌳🌳

Tufunue Vitabu hivi Tusome Kabla hatujaendeleaa na SoMo Letu

Matendo;19:30-37 Yeremia;48;11 Mwanzo;1;2 Ruthu;3:18 Zaburi;51;10
Ayubu;37;17 1wathesalonike;4;11

        👏🏽👏🏽 UTANGULIZI🌳🌳
Tulia Ni Neno ndogo Sana Lenye herufi Tano TU lakini limebeba mafanikio mengi FAIDA nyigi Kazi nyigi USHINDI mwingi katika maisha Yetu endapo tukilishika na Kuliishi Neno Kutulia.

Kutulia hii Ni Sifa kuu ya Mungu Kutulia au Utulivu na sio kuruka ruka au Kuwa mtu wa makelele kujichaganya njia zako au katika ndoa yako Mara Upo nyumba ndogo Mara mme huyu au MKE huyu Kila mwanamke wewe MKE wako au Kila mwanaume mme wako au Mara Upo na mchumba huyu kesho mmeachana kesho Tena Upo na huyu

Halafu unaaza kusema Mungu hakukusudia niwe na huyu Mungu ndio maana tumeachana Unaanza Kumwambia Mungu akupe mme au MKE.

Shida sio mme au MKE shida nikulikosa Neno Tulia Au Kutulia Unashika Neno kurukaruka.

Karibuni wanangu Leo Nataka Tumponye Yule mtu AMBAYE hajatulia anarukaruka Mara huyu kesho yule hatulii katika mahusiano Yake.
Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
Mwanzilishi wa Huduma ya ROHO MTAKATIFU (Holy Spirit Ministry Tanzania)

Tunaposema Tulia au Kutulia  Tunamanisha Kaa Shikilia Neno moja TU Kama unamme au MKE au mchumba Shikilia Uaminifu tu.

Mtu AMBAYE hawezi Kutulia hivyo hata Mungu hawezi kukaa nae ndani Yake kutokana Na Tabia zake Anamchaganya.

Kunawatu hawapokei majibu au kumuona Mungu Kutokana Na Kutokutulia kwao katika mienendo Yao Leo hii wanamlalamikia Mungu amewasahau au wanateseka kumbe wao wenyewe wameshikilia

Tabia ya Shetani ya Kutokulia Wajanja Wajanja na Waongo Waongo

ILI TUTEMBEE KATIKA MUNGU TUTULIE Tusiwe Tunafanya Mambo bila kufikiria Tunafanya Nini na Matokeo juu ya Tunayoyafanya

Mungu awabariki Sana

Naomba Wewe Unaeokoka Unipingie Simu Pastor Richard nikuombee+255759861768

Shika Neno Tulia au Kutulia Nawe Hutalalamika Tena

Tulia na Msimamo unaouona kwako utakupa FAIDA na Shikilia Neno Tulia katika vipindi vyote vigumu na vyepesi Tulia Na Wokovu Tu

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.