✍️✍️SOMO:ONDOA
✍️✍️SOMO: ONDOA ✍️✍️
Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi 👉 Muhibiri;11;10👉 Waebrania;10:9-11;Luka:11;55 Yohana:20:15 Wakolosai:2;14
✍️✍️✍️UTANGULIZI✍️✍️✍️
Karibuni katika Mafundisho ya Neno la Mungu kwa Majina Naitwa Pastor Richard Ninakuwasilishia SoMo Hili
Leo nataka kuwafungua watu ambao wameshindwa kuondoa horu woga Uzinifu ulevi Uchawi kwenda kuamini miungu Kutambika machukizo ndani Yao yanayowazuia Mungu anapo waletea majibu anawakuta bado hawajaondoa hofu hawajaondoa fikira za kujiona wao maisha Yao ya magonjwa tu maisha Yao ya kukaa singo tu maisha Yao yakuendesha bodaboda tu maisha Yao yakuunza mgahawa tu
Bado kunawatu Leo hii Wanateseka kwa Sababu Kuna Fikira na mtazamo walisha uweka kwenye fikira Zao Mawazo yao Vijana wezao wanawaona wanapinga hatua ya kujitengemea mwingine Mawazo Yake bado Anaona Muda bado Vijana wezake wanajenga Mawazo ya Mtu aliyeshikwa Anasema huyo Anakazi
Fikira na Mawazo ya kuwa unawaza uovu ubaya kwenye Kichwa chako chako viondoe Mungu Leo Akuhudumie maana vinazuia wewe kwenda katika majibu yako.
Naitwa Pastor Richard
Karibu katika SoMo hili
✍️✍️✍️Lengo kuu la SoMo: Upokee majibu Yako uliyoomba
✍️✍️ MAANA YA KUONDOA=Ni kukiondoa kizuizi na kipigamizi mbele ya macho yako kisiwepo.
✍️✍️Walengwa;Watu wote Waliokoka na Ambao Hawana imani Yoyote.
✍️✍️✍️ FAIDA YA KUONDOA✍️✍️
1;Unakuwa huru kuendelea na safari Yako.
2:Unafika Salama au Kukifikia salama unachokiendea.
3;Mungu Anakuhudumia vyema maana umeondoa kizuizi.
4;Inaleta Ushuhuda wa Mtu Mwingine Kuelewa Yupo Mungu.
5;Inakunjegea Vitu Vingi Kama kuongezeka kwa Imani Kuongezeka kwa uhusiano wako na Mungu.
6;Inafuta historia Yote ulioanza nayo nyuma inakupa historia mpya.
✍️✍️✍️HASARA USIPOONDOA✍️✍️
1;Utakuwa mtumwa wa fikira na Mawazo yaliyokufunga usiendelee mbele.
2;Hutafikia Ndoto Zako na Malengo yako Yatakufa na kuishia NJIANI
3:Baadala Mungu Akuhudumie Shetani Atakuhudumia Kupitia fikira na uovu wako.
4:Inaleta Ushuhuda mbaya kwa jamii na Kwako mwenyewe Umeshindwa Huyo Amezeeka Hana chochote Yupo TU huyo kila Pesa Anayopata inaishia kwenye Pombe tu na kwa wanawake
Hizi huwa Shuhuda mbaya kumbe hukuondoa Vizuizi katika maisha yako.
5;Inakujengea Sifa mbaya na chafu kwa jamii na watu wote Imani inakufa na Kumuacha Mungu utaenda kanisani Kama utamaduni TU si ukutane na Mkono wa Bwana.
6;Inasimamisha historia isiyosomwa ikasikilizwa nakuingwa na mtu.
✍️✍️✍️✍️ HITIMISHO✍️✍️
Kuna Maombi niliyoyatuma kwenye group langu la Pastor Richard Sikiliza ufunguliwe na utoke hata Kama upo mbali Amini katika Maombi hayo.
Pia Ondoa Ubaya na Hofu na Kufikiria Mawazo ya chini Anza kufikiri Vigine kabisa
✍️✍️✍️WITO✍️✍️
Tumia namba hii kwa Maombezi Piga Jioni +255759861768
Namba Yake Pastor Richard
Kama Unataka umpokee Bwana Yesu au Unataka uondoe vilivyokufunga Uteseke.
Njisi ya Kufika Kanisani kwa Pastor Richard Panda magari ya Morogoro ukishuka msamvu sted chukua gari za dumila waambie nishushe veta Dakawa ukishuka chukua pikipiki waambie nipelekeni kanisa la Moto wa Yesu
Utakaa Siku tatu kula utajigharamia Beba Biblia notbook na pen pakulala papo
Mungu Akubariki kwa Kufunguliwa Kupitia Somo Hili.
Maoni
Chapisha Maoni