SOMO;KIPI BORA MUNGU AKUSAMEHE DHAMBI AU AKUPONYE MAGONJWA NA KUKUFUNGUA
🤣🔥🔥🔥SOMO✍🏾KIPI BORA MUNGU AKUSAMEHE DHAMBI AU AKUPONYE MAGONJWA NA KUKUFUNGUA????✍🏾✍🏾🤣
Tufunue Biblia Zetu hapo Tulipo Kama Simu au unabiblia kabisa Leo Tunatakiwa Tukumbushane Hili Kipi Bora Mtu asamehewe dhambi au Atatuliwe matatizo Yake na Kuponywa
Vitabu; Mathayo;9;1_17 Marko:2;2-10 Luka:1;77 Luka:12:10 Warumi:4;7 Isaya:33:24
🔥🔥🔥 UTANGULIZI✍🏾✍🏾✍🏾
Karibu Katika SOMO Hili Naekuwasilishia SoMo Hili Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
Ni vyema Upate kujihoji mwenyewe wewe umesamehewa dhambi au Ulifunguliwa TU ukaponywa na magonjwa yako lakini dhambi hujasamehewa mpaka Leo.
Lazima ujihoji Unaenda kwa Mungu ukiwa na Hoja ipi Usamehewe dhambi zako toka ujana mpaka hapo au Mungu akuponye magonjwa Yako na uondoke zako.
Umekuwa mtu AMBAYE Mungu unamwambia Nini Mungu Asamehe maovu yako au Atatue shida zako.
Karibu SoMo Hili Tujue Kipi Bora uponywe na Kufunguliwa au Usamehewe dhambi
Kipi unatakiwa ukipe uzito katika maombi yako Kuomba Msamaha Wa dhambi zako au Mungu Atatue shida zako
Kipi Bora Kusamehewa dhambi au Kuponywa ? Tunamaana gani Tunamaana kuwa Kipo kinachofaa Mungu akuhesabie Amekusamehe dhambi Au Akuhesabie Amekuponya tu halafu akakuacha uende zako.
Lengo kuu la SoMo Letu;
Tutofautishe Kati ya Kusamehewa dhambi na Kutendewa muujiza.
KWANINI TUNAiTAJI Tusamehewe Dhambi na SI Kuponywa Tu nakuachwa.
1;ILi Tuwe na Ushirika wa nafsi moja na Utatu Mtakatifu Tunatakiwa Tusamehewe.
2;Mungu atufanyie njia na kutuponya mateso yetu Tunapaswa Kusamehewa
3:Tunaitaji Kufuta visingizio na uchafu ndani ya hekalu la Roho Mtakatifu
4;Ukisamehewa dhambi umefunguliwa Yote
KWANINI TUNAFUNGULIWA NA KUPONYWA LAKINI BADO DHAMBI TUNAENDELEA NAYO HATUACHI
Kwa sababu.
1:Tunaponywa na Kufunguliwa Lakini hatuombi Mungu afute kiu ya dhambi
2:Tunakosea Hoja Zetu Kuziwasilisha kwa Mungu Tunaanza nakumsihi Mungu atutatulie changamoto Zetu sio atusamehe dhambi.
3;Hatutaki Kuumiza Kichwa Kujua chazo Ni Dhambi Zetu
4;Tunazidiwa na dhambi kwa kuwa hatujitaabishi nayo Sana Kuifuta na kuichukia dhambi Tukabadilika
CHAZO Cha Matatizo Yote NI DHAMBI
CHAZO Cha Magonjwa Ni Dhambi
DHAMBI INAWEZA
1:Ikasababishwa na Mtu nawe ukapokea dhambi
2;Dhambi inaweza ikawa Sisi wenyewe Tunafanya dhambi mwisho wa siku Mungu anarusu pito kubwa ili umjue tu.
3:Dhambi nyingine zinakuwa Ni za kurithi laana za ukoo au Taifa ikaenda mpaka kuharibu na wengine
4;Dhambi huendana na Matokeo ya Kifo chochote unachokiona iwe kwenye ukoo dhambi hiyo au ugonjwa huo unawaua ujue dhambi Tatizo.
TUNAKIWA TUFANYE NINI?
1;Tuaze Sisi au wapatikane watu watakao Beba Koo Zetu familia Zetu Taifa Letu Africa Yetu au Dunia Yetu.
2:Kisha Tujifunze Kuwa na Hoja zenye uzito tunapoomba Kwa Mungu na Tumuombe Msamaha Kuanzia kwetu mpaka kwenye matumbo yaliotuzaa.
3;Tusikubali kuwa wapumbavu wa Hekima kuipaza palipo na Mlima tukiongopa Sauti haitasikika Tujue majira na Tuwe Tayari na majira wakati wowote adui yoyote akitaka atushambue Tunajua dhambi.
4:Tupende kufundishwa Neno la Mungu nakushika point Ambazo hubadilisha historia Zetu
HITIMISHO
Hofu Ni adui Mkubwa wa Kutokufikia muujiza wako au Kusundi lako hivyo Basi Anza kumuondoa Huyu adui wa kwanza siraha Aina ngani utumie weka ujasiri hapo hapo unapoona huna raha huna Amani
Kisha chukua hatua Kutubu iache dhambi Utamuona Mungu haraka Sana
Kwa msaada na kwa waliotayari kuacha dhambi simu piga Jioni+255759861768
Kama upo nje ya Tanzania Tumia WhatsApp au Skout
Naitwa Bishop Richard
MAKAO makuu Morogoro veta Dakawa
Kanisa la Huduma ya Roho Mtakatifu
Tovoti:www.mchungajirichardi.blogspot.com
Maoni
Chapisha Maoni