πππ₯π₯SOMO; UMEFICHWA NDANI YA TAMAA TOKA UPONEπ₯π΄π΄π΄
🌍🌎🔥🔥SOMO: UMEFICHWA NDANI YA CHUMBA CHA TAMAA TOKA HUMO UPONE 🔥🌴🌴🌴
Kabla Hatujaendelea Nawasalimu wanangu wote Nawaombea mnaouguliwa na Kupitia katika Jaribu la Tamaa Leo hii unielewe SoMo Hili Ukapone
Tufunue Biblia Zetu Kama Unabiblia Fungua Warumi;1;22-29,7;5 waefeso4:22 Tito:2;12 Yakobo:4;1-5 Mwanzo:3;16 Nehemia:6;16
Ayubu;14:10-16 Isaya;42;1-5
Weka chini Biblia Yako Tafakari Maandiko Dakika 3 TU. Uendelee kufunguliwa kwa kusoma SoMo Taratibu umetulia.
🌎🔥🔥UTANGULIZI🔥🌴🌴🌴
Tamaa huwa chazo Cha mtu Kuharibu malengo Yake na mfumo mzima wa mwisho wa maisha Yake kiroho na kimwili Mpaka Sasa Wapo watu wanajuta kwa tamaa Ambazo walizifanya kukimbilia Kutaka wafikie ndoa harakaraka wafikie mahusiano harakaharaka wafikie maisha mazuri harakaharaka wafikie utajiri wa haraka Hali ambayo Baadae muda huu navyofundisha inawapakujutia Njia zao walizoziongoza katika Tamaa za Pesa Tamaa ya Mali Zawadi Sasa hivi Mfumo mzima na ndoto zao zimekatika kabisa Kutokana na Tamaa.
Sasa hivi Wapo watu ambao wao ndio Kwanza wameshaanza kuingia kwenye chumba hiki Cha Tamaa Kabla mlango hawajaufunga Nabisha Hodi kuwashitua si panzuri chumba hicho Cha Tamaa wasiingie Maana Kwa Baadae wataanza Kujuta na wataharibu malengo Yao na ndoto zao Kupitia Tamaa.
Tamaa humfsnya mtu atake Kitu bila subira na uvumilivu Anataka apokee haraka haraka Mungu wetu hapendi Tamaa pia Hata wewe kimbia Tamaa imeua wengi Tamaa inafupisha Maisha Yako Inafupisha Malengo Kwanini Upitie SoMo Hili halafu uendelee kufichwa kwenye chumba Cha Tamaa.
Karibuni Tufuguliwe Tutoke Kwenye Tamaa
Naitwa Bishop Richard
Napatikana Morogoro veta Dakawa
Kanisa la Holy Spirit Ministry Tanzania
Makao makuu Morogoro veta Dakawa
Simu za Makao makuu Bishop Richard+255759861768
Tamaa Ni Nini?? Ni kufanya Kitu bila kujua athari na faida Yake
Ni Kutaka kufika haraka unapotaka Ufike.
Lengo Kuu la SOMO; Kutufungua na Kuponywa na Tamaa Ambazo huharibu Sifa njema na hekalu la Roho Mtakatifu.
Walengwa Like Zote watu wote Waliokoka na ambao Bado Dini zote imani zote na wasio na Imani yoyote Wapo TU SoMo Hili Litakuponya.
Tamaa Imegawanyika Sehemu Kuu Tatu
1:Tamaa za Mwili
2:Tamaa za Roho
TAMAA ZA MWILI
HIZI Ni Tamaa Ambazo mtu huwa zinawaka na kumwendesha zikimuelekeza Kufanya dhambi na Kumuacha Mungu. Tamaa hizi hushidana na mapenzi ya Mungu na Kuaza Mtu kumtazamisha dhambi TU na Kutaka Mali za haraka Hali hii humfsnya mtu atoe kafara aabudu vitu ambavyo vimeumbwa na Mungu. Wengi Sasa wanajuta na kuomboleza kilio maana SoMo Hili lilichelewa kuwafikia.
Sasa wewe Ambae umeshaanza Tamaa za Mwili mwisho wake Ujue Ni pa mbaya Toka huko na wewe uliomo ndani ya hii Tamaa unatakiwa nipingie Jioni utoke kwenye nguvu ya Tamaa.
FAIDA ZAKE
1;Kufika haraka kwa mkato tu
2;Kuwa huru kufanya dhambi maana unakuwa unamilikiwa na Tamaa
3;Kupata mafanikio ya haraka
4;Kuaguka na kufirisika haraka
5:Kuendesha Mambo Yako bila Mungu kwa hiyo hata hofu huna upo free.
6;Utaheshimika kwa Pesa TU sio kwa ulichonacho ndani Yako hata Kama unawasaidia watu unaenda unajenga nyumba za Mungu na umejificha ndani ya Kanisa ujue mwisho wako Ni mbaya.
Hasara Zake
1;Utafirisika haraka Mali zako Zitakuwa za masharit Utakuwa haupo huru juu ya Pesa zako
2:Utaharibu Ndoto zako Utajikuta ndoa inakushinda Mahusiano yanakushida chochote Kile kinakushida.
3;Utakuwa mtu unayelea watoto wenye baba tofauti tofauti Hali ambayo Baadae watoto huwajengea kutengana katika Upendo na umoja wao
4;Utakuwa mtumwa wa dhambi sio mtumwa wa Yesu(wokovu)
5:Utaishia Kupata mauti au Magonjwa kwa Tamaa TU
6;Hutakuwa na Hofu na Mungu ndani Yako.
UFANYAJE SASA UTOKE HUMU;
1:Okoka na Simama Mwenyewe bila kutazama mwingine.
2;JIFUNZE Kuwa na Subira kwani Mungu hatakuacha ukiwa nasubira
3;Rizika na Unachokipata kwa Njia halali Usiende kwa wafumu.
4;Moyo wako ufundishe Kutokukata Tamaa uupe Tumaini
5:Unatakiwa Uwe na Mlezi wa kiroho karibu kujifunze Na Kukua kiroho zaidi huku ukijitaidi kuuliza maswali yanayokutatiza ili usije ukapotea
TAMAA ZA ROHO
Hizi huwa Tamaa Zinazomuelekeza Mtu na Kutamani Mambo mazuri yasiyo ya dhambi au yanayompelekea Yeye kwenda hatua nyingine kwa kujifunze Mambo Kutoka kwa Wengine waliomtangulia.
Tamaa hii hutamani Mambo mazuri tu hutamani kuinga tabia zuri tu Sifa zuri tu.
FAIDA ZAKE
1;Unatembea ndani ya Kusundi la Mungu
2;Unakuwa nje ya chumba Cha Tamaa ya mwili.
3;Unarizika na Kupata Kitu halali kwa Juhudi zako.
4;Hashindwi Wala ndoto zako hazitaishia njiani
5;Utafikia ulipo tamani bila upizani
6;Utapata Kitu cha kudumu
7;Unapenda Neno la Mungu nakulishika.
8;Imani Yako itajengeka kumtazama Mungu
No
HASARA ZAKE USIPOKUWA NAYO
1:Utaingia kufungwa na Tamaa ya mwili
2;Utatembea nje ya kusudi la Mungu
3.Hutarizika na Hutapata Kitu sahihi katika muda sahihi.
4:Utashindwa Mambo mengine yatakungomea kumbe unataka kwa Tamaa
5;Hutapenda Neno la Mungu au Mafundisho
No
UFANYEJE SASA KAMA HUNA TAMAA ZA ROHO
1;Anza Kujifunza Neno la Mungu na Vitabu mbalimbali uongeze wigo la uelewa ndani Yako
2;Simama Uamini UTAFIKA tu safari Yako hata Kama utachelewa
3;Usitake Mambo ya haraka haraka Kila Kitu kipe muda
4:Soma shuhuda Soma Masomo nk
HITIMISHO
Baba Yangu Nawaleta wanao uwaponye na Tamaa mwangalie Mama Yule dada yule katika jina la Yesu;Amen
Mungu awabariki Sana
Ansateni kwa Kufunguliwa Kutoka kwenye Tamaa
Naitwà Pastor Richard
Morogoro veta Dakawa
Simu+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni