🌳🌳✍🏾Tabia✍🏾SOMO;MTU ANAVYOFUNGWA NA TABIA NA NJISI YA KUMPONYA MTU HUYO
SOMO;🌳🌳✍🏾✍🏾MTU ANAVYOFUNGWA NA TABIA NA NJISI YA KUMPONYA MTU HUYO
Tufungue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi Kisha Tujiulize Tabia Zetu Zinamuwakilisha Shetani au Mungu na Kwanini Tunajitesa wenyewe kwa Tabia mbaya
👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽🌱🌱:Warumi;2;10-20👉🏽👉🏽1Wakoritho:3;1-8👉🏽;15;20-34 na 2;10-15 Waefeso;2;3-10 Tufunue Waebrania;13;1-8
👉🏽👉🏽👉🏽 UTANGULIZI 👉🏽🌱🌱
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Kanisa La Holy Spirit Ministry Makao makuu Morogoro veta Dakawa
Nakukaribisha ufunguliwe
Karibuni Katika Kipindi Cha Neno la Mungu Leo nitaenda Kufundisha na Kumponya Mtu mwenye Kifungo Cha Tabia au Anateseka hapokei majibu Yake Kutokana na Tabia zake Ndugu wamemchoka saivi Anatangatanga TU Mara yupo huku Mara kule Kutokana Tabia
Wapo watu Leo hawapokei majibu Yao yalishazuiliwa na Kukwama Kutokana na Tabia TU Wapo watu ndoa zao zimeyumba Kutokana na Tabia TU sio uchawi Wala Pepo Tabia huharibu ndoa Amani Upendo na Kujenga Magomvi ndio maana Leo Watoto wa Mungu waliokosea Kujenga Msingi mzuri wa Tabia kwa watoto wao Vijana wao Ndoa zao mahusiano Yametekwa na Kifungo Cha Tabia Ya Shetani.
Tabia Imeingia Mpaka Ndani ya Kanisa misikiti nk Hali inayotishia Usalama wa Waamini Kufika Salama Katika Safari Yao ya mbinguni Kutokana Na Tabia zilizotawala ndani ya Nyumba za Mungu hata nje na hata kwa Wale wanaotuongoza katika Safari ya kwenda Mbinguni Shetani Amewapinga upofu kwenye Tabia
Naitwa Mtumwa wa Kristo Pastor Richard niliyeitwa Na Kristo kwa Ajili Yako wewe Uliyeacha Tabia ya Kiungu Uhai ulionao umekupa kiburi na ubishi Tunapokuhubiria na Kukuelekeza Katika Misingi Mizuri Yenye Kukuponya Unatuona Kama Tumekosa kazi Tunatumia muda wetu kujitaidi uache hiyo Tabia Laki uhai umekupa kichwa mbishi husikii hata saivi Unasoma unafyoza unaita Huyu mchungaji Richard Anijipingia dembe Kanisani Kwake muongo Hana Lolo wewe Endelea Na Tabia Yako Mjumbe hufikisha Ujumbe Kama ulivyo Kama Tabia yako Ukabadilika Utajinasua kwenye umasikini magonjwa upofu wa kiroho Mawazo finyu na Maamuzi yakujidharau
Karibuni Tuendelee
👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽🌱🌱Tabia Ni Nini?
Tabia Ni mwenendo unaomuwakilisha mtu anamtumikia Nani hapa duniani Mungu Aliyembiguni Au mungu aliyechini
Haina Haja Ya Kusumbuka Kujielewa Utaenda mbiguni au Unasindikiza TU yapime matendo yako na Tabia Yanaendana na Sifa ya Mungu au Muovu Shetani mwenye vazi la uokovu.
Tunaongeleaaa Tabia
Tabia Imegawanyika Katika Makundi Mawili TU.
1;Tabia Ya Kuzaliwa nayo
2;Tabia Ya Kujifunza
TABIA YA KUZALIWA
Hii ni Tabia inayoanza kufundishwa na Mungu mwenyewe ukiwa ndani kabla hujazaliwa Yeremia;1;4-6
Tabia hii huanzia Tumboni na Kuja Kuendelezwa na Wazazi wetu
Mzazi Jukumu lake Mtoto Baada ya Kuzaliwa kumlea Mtoto katika Misingi Mizuri ya kwenda Kanisani
Mungu aliweka muda mrefu wa Mtoto kukua ILi wazazi wapate muda wakumjua Mtoto wao Anapenda Nini nakumfanya Mtoto ajengeke katika Misingi ya Hofu ya Mungu endapo Tutamuongoza nakumzoesha kanisani.
Muda Wa Kumkotro Mtoto na Umri wake
Ni wajibu wa wazazi wote Wawili Kuwalea watoto katika njia njema toka wakiwa wachanga
Miaka
1-5 hii Ni muda wa Kumuongoza mwanao vyema ukikosea utaulizwa na aliyekupa zawadi hii kwanini ulimkabidhi Shetani Mtoto kawa mlevi mvuta singara nk
Miaka YA KUJUA MUNGU Ameweka Nini kwa Mwanao
6 nakuendelea umri huu utaweza Kumjua vyema
Wazazi wengi wamekosea kuwaongoza katika njia ya Bwana Leo hii watoto wanawapa mzingo shule hawataki kanisani hawataki wakiona Wachungaji wanawakimbia kumbe tunatakiwa Tuanze Misingi ya kujenga Wachungaji wenye hofu ya Mungu toka kwenye majumba Yetu Tunatakiwa Tujenge waume Bora wake wenye Sifa ya kujenga ndoa zao Toka huku chini kwenye familia
Tusiwaache wakue harafu Tuanze Kuwaombea au kuwapeleka kanisani wakati Tumechelewa
TABIA YA KUJIFUNZA
Hii huanza Pale TU Mtoto anapoanza kuongea ataanza Kujifunza Tabia Nzuri na Mbaya Kutoka kwa wazazi na nje ya wazazi.
Tusome Waebrania;13;4-6
Tabia HIZI
1;Uzinifu
2;Ulevi
3;Ugomvi
4;Pesa
5;hila
6;Tabia Zote ambazo chafu kuvuta bangi
MATOKEO YA TABIA HII
1;Kuwa mvivu mkabaji jambazi muuaji
2;Kugombana kwenye ndoa Kutoka nje ya ndoa.
3;Kukosa Amani familia MKE na Mtoto wako
4;Kukosa Upendo kwa mkeo mmeo na watoto
5;Watoto Kuelekea katika uchokora na mitaani.
6;Watoto Kushindikana nyumbani.
7;Kutokuolewa au Kutokukaa na waume wao ndani
8;Unaimbua matatizo kesi Kufukuzwa kazi kukataliwa na kila mtu.
Tabia Za Kiroho
Hizi huwa Tabia zizoumbwa na Mungu ndani Yetu zenye uwezo wakutupa fikira mpya na Maamuzi mapya
TABIA HIZO HUWA
1;Upendo
2;Kuabudu Mungu
3; Kushuhudia
4;Imani ya Wokovu Tunaamini wokovu Upo Yesu Yupo Mungu Yupo imani hiyo.
5;Kutokukata Tamaa Tabia Kuu Ya Mungu nikutokata Tamaa
6:Uvumilivu huwa tunakuwa nasubira na Mungu juu ya Maombi Yetu wakati tunaupitia
7;Tumaini huja jipya ndani Yetu
8;Kumjua Mungu na Kumtengemea Ni Tabia Yake
9;Hekima na Ustahimilivu wa vipindi mbalimbali
10; Huwa Hatuamini Kushindwa kitu kama TunaMungu
11:Msamaha
12;Utoaji
13;Utumishi
14:Kutubu
1
Hizi Tabia baadhi TU nimezionesha Ambazo ukiwa nazo unatambea na Mungu katika Tabia zake na Msingi wake
FAIDA KUBWA YA TABIA YA MUNGU
1;Kuweza Kila Kitu hushindwi na kitu
2;Imani inakua kiwango kikumbwa
3:Kustawi kiroho na kimawazo
4;Maamuzi yanakuwa na nguvu
5;Unakuwà na Kibali
6;Unafanikiwa kila ufanyalo
7;Nyota yako inag.aa nk
HASARA Kubwa
1;Unakuwà Mtu wa Kushindwa Tu
2:Imani inakufa
3; Unakuwà kila uamuacho nikula Hasara TU
4;Unakosa Kibali
5;Nyota yako inaharibiwa
WITO WANGU ULIYENATATIZO LA TABIA
Njega Msingi wa Tabia Ya Kiroho sasa maisha yako yatabadilika haraka na wanao ndoa yako wote wawekee Misingi ya Kiroho TU.
Mahusiano yako kila kitu kijenge kiroho kiongoze kiroho TU
Naitwa Pastor Richard
Simu+255759861768 njioni piga
Maoni
Chapisha Maoni