✍🏾SOMO: NJISI YA KUMFUNGUA MTU ANAYETESEKA KUPITIA KINYWA CHAKE
✍🏾✍🏾SOMO: NJISI YA KUMFUNGUA MTU ANAYETESEKA KUPITIA KINYWA CHAKE AMEKUWA NA KINYWA KICHAFU KILA MTU ANAPISHANA NAE✍🏾✍🏾
Warumi;3;19;2Wakoritho:11;10 ✍🏾✍🏾Mathayo:12;34✍🏾✍🏾Luka:6;45
Mithali;10;5-32
👉🏽👉🏽✍🏾✍🏾✍🏾 UTANGULIZI🌳🌳🌳🌳
BWana Yesu Atukuzwe Wanangu Pole na Hongereeni kwa Kuzidi Kuponywa na Kukua Kiroho Mimi Kwa Wageni Ambao ndio mmejiunga katika Ukurasa wangu Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
Karibu Leo Nataka Nikamfungue yule Ambae AMEKUWA na Kinywa kinachotoa Lugha chafu Kauli chafu dharau na Mambo ambayo ya uchonganishi hachoki kungombanisha watu Ameitwa Kidudu mtu AMEKUWA kinyonga Anabadilika badilika Kinywa chake kila Siku kinajua kuongea Utukufu wa Shetani Kukiri magonjwa Kukiri kushindwa
Agalia Saivi Kila Anapoenda hawamtaki Ndugu hawamtaki mchumba wake hamtaki Ndoa Kuolewa hataki Kufanya Kazi Huyu mtu hataki Kwanini hataki Anasema Yeye hapendi kufanya kazi Amekaa nyumbani umri unaenda Yeye Bado Tu Anasema Mimi nimefungwa nisiolewe nisipate mchumba Au Shangazi hanipendi
Acha Kusema Hupati wanaume wa kukuoa wanaume unawapata Sana Lakini saivi mpaka huyo TU uliye nae watano au watatu jiulize kwanini wanaume wanakuacha kwa Sababu ya Kinywa chako Unatoa Maneno machafu wewe pia kauli zako zinabomoa uchumba na ndoa Baadala ya kujenga Angalia Sasa Ndugu hawakutaki wamekuchoka sababu wewe mchonganishi unavimaneno Maneno vya kichonganishi
Hebu jiangalie wagapi umewangombanisha wagapi umewadaganya Kupitia kinywa chako Leo Unafunga na Kuomba upate mteja was kununua kiwanja chako Hupati sababu ya Kinywa chako
Huduma yako imekufa au Uchungaji wako umekufa huendelei mbele sababu wanaokuja kwako Kuombewa unawachonganisha na kugombanisha Waumini Kanisa Limetawanyika Sababu yako
Halafu unajua Mungu Atakudai Hebu Badilika kwenye Kinywa chako uaze kukichunga Kinywa chako Kiri USHINDI unakiri kuumwa umwa ooh Mara unakiri madeni Mara unakiri unataka uzae TU usiolewe
Umejifunga magapi Kupitia Kinywa chako Maneno magapi yameharibu Kanisa au kuvunja ndoa za watu Kupitia kinywa chako
Nawakaribisha Katika SoMo Hili
endeleaaaaa
👉🏽👉🏽✍🏾✍🏾✍🏾KINYWA NI NINI🌳🌳🌳🌳
Kinywa Ni Kiungo kimojawapo kilichopo kwenye mdomo Tunaposema Kinywa Ni Kitendo Cha mdomo kuongea kula kutamka kwa Pamoja huwa tunasema Kinywa Maneno yanayotoka mdomoni mwetu.
Kinywa Huongoza viungo vyote
Mfano ukisema Niende nikale
Utafanya hatua ya kwenda kula
Ninaumwa Tumbo
Utaanza kuona Hali hiyo
Nimepona
na mwili utauona umepona
Kumbe Kinywa huwa kinamamlaka ya kutamka na viungo vyetu vya mwili vinatiii
Kama uwezo wa Kinywa chako ukiongea ndivyo Unafanya Basi hivyo hivyo katika ulimwengu wa roho huwa ukiongea kitu unajifunga unajiharibia unajenga kitu.
Wapo watu Leo hii Hawafunguliwi kwa kuwa walikuwa walishajinenea nakujitamkia Leo hii wanateseka tu
Wapo wengine huwa Maneno Ya ndani ya Mme wake na MKEWE Anaenda kumweleza shoga Rafiki na anaemwelezea Yeye mwenyewe ndoa imemshida Kinywa kinasema muache si unaona Mimi nipo singo nakula raha Kuolewa kujipa stress tu Akirudi kwa mkewe au mmewe atafanya Kitendo Kama Kinywa kilivyo mwamuru
Unakuta mtu Yupo fb Mara mtu anamuinbox nimekupenda Nataka nje unaishi wapi Yule mtu Atafanya Kama Kinywa kilivyonena.
Wapo watu humu wanaanzishaga uchumba akifikisha miezi tu anaanza kusema sipokei Simu Yake kwanza niachane nae Kitakachofata nikutimiza Kama alivyonena Kinywa
Kinywa pia Kinamtiisha Shetani chini yaani roho Zote ninapingwa na Kinywa tu
Mfano Pepo ukisema Pepo salendaer kwa Yesu wangu linatii ugua Moto uteseke Pepo anatii nakuamuru ondoka Pepo atamtoka mtu kumbe Nini kinachoamuru Kinywa chako tu.
Kinywa Kikisema Nataka nisiolewe au nioe mwaka huu utaenda kufanya hivyo
Je Nini Kinywa chako kinaongoza maana Chunga Kinywa chako maana ndio kimebeba kukuweka huru au kuteseka
Linda Kinywa chako maana ndiko mema yote na mafanikio yalipo
Kinywa chako kitoe yenye Ushindi siku Zote uepukane na Mateso
JIFUNZE Sasa kukotro Kinywa chako ILi ufanikiwe kiuchumi Kihuduma nk
Motoooo wa Yesu Tunazidi Kuwaka Kila Kona NA Baba YETU Bishop Richard Akaendelee kug.araaa nakumulika kila Kona mamilioni
Na mabilioni yakazidi kufunguliwa nakumpokea Yesu Kristo nakukabidhi maisha Yao kwa Bwana.
Ni mtumwa wa Kristo kwa wa wote Pastor Richard
Simu+255759861768
Nipo Morogoro Veta Dakawa
Maoni
Chapisha Maoni