MTAMBUE JINI MAHABA KATIKA UHARIBIFU WAKE

MTAMBUE JINI MAHABA KATIKA UHARIBIFU WAKE

👉🏽👉🏽SOMO;JUA PEPO LA KUPATA PESA HALAFU MATATIZO NDIYO YANAONGOZEKA__KUTOKUUZA DUKANI__KUGOMBANA NA MMEO/MKEO/MCHUMBA.✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾

Vitabu Usome: Mathayo;7;24-28 Mathayo;4;24 Luka;8:2-39 Kutoka;15;8-10 Zaburi;18:10-14

Lengo kuu; Ujue njisi huyu Pepo anavyoharibu maisha yako kwenye uchumi na kuvunja ndoa kuwagombani.

Karibuni wanangu Naitwa Pastor Richard SoMo Hili lipo kwa Ajili ya kukupa mbinu ya Kutoka kwenye uchumi wako kushikwa.

Pepo ni Nini?
Ni roho isiyoshikika Ni hewa inayotumiwa kufarakanisha kuharibu uchumi wako

Huwa Matatizo niliyoyaorodhesha hapo Juu ukiona unatatizo haya.
1;Mafarakano wewe na mmeo/mkeo/mchumba
2;Unauza biashara huoni Pesa unakazi yakuongezea mtaji
3;Kuota ndoto Unafanya mapenzi
4;Kushika Pesa ukizishika tu ndio matatizo yanaimbuka
5;Ugomvi wa KILA siku na mmeo/mkeo/mchumba wako
6;Kuotwa kinyama sehemu za Siri
7:Uso wako kuwa na chunusi kubwakubwa ambazo hazisikii Dawa.

Ukijiona wewe Upo unapitia dalili Hizi UNATESWA na Pepo mmoja tu Anayeitwa Jini Mahaba

JINI MAHABA
Ni mkusanyiko was majini Matatu
Jini Ashura
Jini Maimuna
Jini Tashiriff

Kwa Pamoja huitwa jini Mahaba

Inakuaje mpaka Anakutesa Yamkini Umeokoka Na Unaomba Sana tu

Jini Huyu huwa Analango lake kubwa la ndoto na Uzinifu

NDOTO ANAVYOKUINGIA
Usiku ukilala huweza kuja amejivisha sura ya msanii Mkubwa raisi au Ndugu yako na mpaka huchukua sura za mchungaji au muimbaji maarufu Anakuinjia anakuvisha Pete Anafanya mapenzi na wewe na Sasa nyigine anakupa zawadi.

Unatakiwa uanze kuwa unakemea tu nakujiweka busy na Mungu hukuacha sema unaweza akakuacha kuwa unaota lakini akawa amekuvisha Pete za uharibifu au uchumi

UZINIFU LINAVYOKUINGIA.
Huwa linawatumia Vijana wa kiume Sana akija kwako Cha kwanza mkishaanzisha uchumba Anataka azini pia hata Yeye asijielewe Kama anaongozwa na Pepo na ukizini hutakaa Sana nae linawagombanisha linakuletea mwingine nae Unazini nae anakuacha huwezi Kuoa au kuolewa maisha yako Yote linakuoa

USHAURI WA BURE.
Chukua jukumu la kuingia Maombi kufunga haya malango mawili yanayoingizia Tatizo

Omba hivi
Kuanzia Leo sitazini na sitaota ndoto za Kuzini ninaharibu kila mtandao wa majini mahaba katika jina la Yesu Amen

Naitwa Pastor Richard Nipo Tanzania Morogoro veta Dakawa
Simu ya kuongea nami+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.