Somo;Imani Yenye Nguvu inavyoleta majibu fasta
SOMO;IMANI YENYE NGUVU HAISHINDWI KITU
👉🏽👉🏽👉🏽Luka:8;25-32👉🏽Luka;18;42👉🏽Matendo;15;9👉🏽Warumi;14;1
☝🏼☝🏼👉🏽Imani Yenye Nguvu ndio ikoje?? Hii huwa Hali iliyomo ndani mtu inayompatia mtu was kuliona Tatizo ngumu linawezekana Mawazo na fikira zinakuwa zipo juu katika kufikiri inawezekana
👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽Faida za Mtu mwenye Imani Kubwa👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽
👉🏽Hazidiwi na pito lolote au jaribu
👉🏽👉🏽Hashindwi kitu kimwili na kiroho
👉🏽👉🏽Anamawazo ya kuona Mambo Yote yanawezekana kwa Mungu
👉🏽👉🏽👉🏽Halipi sifa Tatizo au kulitukuza tatizo
Huwa Mtu mwenye nguvu ya kujituma na kuutafuta uso wa Mungu hakati tamaa hasononeki hafikiri mawazo madhaifu siku zote
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻Hasara za Mtu asiye na Imani Kubwa Huwa Yupo hivi👉🏽
👉🏽Huwa mtu Mata tizo anayasifu nakumtukuza Shetani mfano utasikia Mimi huu ugonjwa utaniua siwezi Kuolewa Tena mmh mm Hili pito kweli Kubwa Jamani mme wangu anakunywa pombe ndoa Haina AMANI
Mtu ampaye utukufu Shetani au Tatizo huyo anakuwa Amepingwa imani
👉🏽👉🏽Anajua Yeye Kupitia raha TU akipitishwa katika pito anakata tamaa
Yaani Akipitia Pito fulani au Tatizo atajiona Kama Mungu kamuacha yaani Anaanza kusononeka kumlaani Mungu nakusema Mungu Amenisahau kabisa Jamani mm Sijui nimekosa nini
👉🏽👉🏽Hamuoni Mungu uwezo wake Huona Tatizo linauwezo kumzidi anayemwamini
👉🏽Huwa AKitazama mbele anaona foleni za matatizo tu yaani utamkuta anahesabu Tatizo siyo Yale Ambayo Mungu kamtendea
Mfano Ninadaiwa Kodi ya nyumba Sina kazi Mwili unaniuma hospital hawaoni Tatizo Mimi nimelongwa mchungaji au nabii Alisema Mimi sizai kwa sababu nimefungwa na wachawi nk.
Ukiwa na Yesu hutakiwi Uwe Muoga au uwe mtu mwenye kufikiri udhaifu au hofu au wachawi wewe huko ulishatolewa hupaswi uaze kujifunga Minyororo ya kiimani maana ukianza kuhesabu matatizo uliyonayo hutayaona Mungu aliyokufanyia na usipoona uliyotendewa utashuka kiimani utapingwa na Adui
Lakini katika mbele yako ukawa unayaona Mungu alikokutoa utapata Moto wa kumtafuta Mungu Tena utaenda KUJIBIWA Maombi yako na utavuka mengi.
Usikubari Shetani akutese kwa kuliona Tatizo linanguvu kuliko uliyenaye hata Kama unaona Mambo hayaendi simama na kuomba tu nakumwamini Mungu atayafuta machozi yako IPO siku tu.
👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽 Naitwa Pastor Richard👋🏼👋🏼👋🏼 Nipo Morogoro Veta Dakawa
👋🏼👋🏼Ameni👋🏼
Simu ya Pastor Richard +255759861768
Maoni
Chapisha Maoni