Somo:Hasira Haitendi Njema hata siku Moja
⌚⌚SOMO:HASIRA HAITENDI NJEMA SIKU ZOTE👉🏽 EPUKA HASIRA👉🏽
Mwalimu; Pastor Richard
Tusome Vitabu hivi
👉🏽👉🏽Mithali;16;14👉🏽 Mithali;14:16-29👉🏽Zaburi:106;40👉🏽Zaburi:103:8👉🏽Maombolezo;4;16👉🏽Ayubu;5;2👉🏽👉🏽
⌚⌚⌚Hasira Ni Nini?? Ni Hali ya Mtu kughazibika au Kupaniki Hasira Huwa Ni roho inayochochea Mtu kufanya kitu Pasipo Kufikiria
👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽Hasira huwa inamfanya mtu akosane na Mungu wake
👉🏽👉🏽👉🏽Hasira siku Zote inahasara Kama hivi
👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽Mtu huwa Anavunja mahusiano au ndoa Yake kwa hasira
👉🏽👉🏽👉🏽Hasira huua
👉🏽Hasira Hufanya dhambi
👉🏽👉🏽Hasira humtenga Mtu na Pendo la Mungu
👉🏽👉🏽👉🏽Hasira huvuruga Amani
👉🏽👉🏽Hasira huleta fitina
👉🏽👉🏽Hasira huleta Uadui
👉🏽🤝🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻Njisi ya kujiponya Na Kifungo hiki Cha hasira👉🏽
Njisi unavyotakiwa Ufanye ili ujiponye na Hasira unaeteseka na kifungo hiki fanya haya tu
👉🏽Penda Sana Maombi tu
👉🏽👉🏽Samehe Kila unapokosewa
👉🏽👉🏽Acha kuwa unahifadhi makosa ya wegine ndani yako
👉🏽👉🏽Penda kwenda kanisani na sikiliza Neno la Mungu
👉🏽👉🏽Fatilia mahubiri na Masomo mbalimbali ya watumishi
👉🏽👉🏽Usiwe mtu wa kukaa nakosa bila kuliweka wazi kwa aliyekukosea
👉🏽👉🏽 Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro veta Dakawa
Maoni
Chapisha Maoni