Maombi Ya Kutengua Mitengo waliokufunga kwa Siri

🗣🗣 MAOMBI YA KUTENGUA MITENGO YA KICHAWI WALIOKUUNGANISHA KWA SIRI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO👄👄🔥🔥
Karibu Maombi haya Uwe Unaomba Kila Mara Pia Rudiarudia kabla ujaanza
Ita Damu ya Yesu ikufunike halafu vaa siraha zote katika ulimwengu wa roho.

Navaa Mwili wangu Richard Motoo Mawazo yangu Moto mavazi yangu Moto matamshi yangu Moto

Nashusha MALAIKA wa Moto wanizunguke MALAIKA wa pelelezi wakafichue Kila siraha wakamate Kila waliokuwa wamenjega uharibifu ndani ya nafsi yangu nguvu ya upako  wa kuvurunga Kila mapando Yao kwenye moyo wangu wachie kwa jina wapondwe wapondwe Kila nguvu zao zilizokuwa zimenifunga kwenye maamuzi yangu uchumi wangu kazi yangu Uzao wangu waachie Leo hii Kama walizoea kunifunga Kupitia ndoto nafichua nishawajua Siri zao ndoto zao waliounganisha na mwili wangu Kuanzia kimwili kiroho Mimi sio wa maisha haya wewe jini uliyefugamanishwa na nafsi yangu pingwa kwa jina la Yesu Achia Achia Kila mlichoshika changu nawapinga kwa jina la Yesu pingwa pingwa kiuno magoti visingino Kila sehemu pawake Moto Moto Moto Moto Moto Moto katika jina la Yesu

Neno limesimama 1$amweli:2:10 Washindanao na BWANA watapondwa kabisa:

Kila adui aliyeshindana nami Amepingwa kwa jina la Yesu Kila mitengo na nasua mitengo walioiuganisha Kila sehemu naifyatua kwa jina la Yesu Nafunika Moto familia yangu wazazi wangu wadogo Zangu Ndugu Zangu ndoa yangu Nafunika Damu ya Yesu Kila siraha Haina nguvu katika jina la Yesu: Amen

Omba Maombi haya Kila Mara

Uombapo Kaza Sauti TAMKA Kwa Ujasiri
Omba Huku unatembeatembea Usikae chini

Naitwa Pastor Richard
Nipo Morogoro veta Dakawa
Piga +255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.