SOMO: HATUA ZA UCHUMBA KWA ANAETAKA AFIKE HATUA YA NDOA

🔥🔥 *SOMO:HATUA ZA UCHUMBA WA MTU ANAZOTAKIWA AZIPITIE*

🔥🤣 _DARASA LA WANANDOA_ 🔥🤣

Mwanzo;2;20-24
1wakoritho:1-13

🔥🔥MWAL: Pastor Richard
🔥🔥Mwadaaji: Pastor Richard
🔥🔥Lengo; Kuponya uchumba Usio na Msingi wa kufikia ndoa

🔥🔥Hatua za Uchumba ni nini? ni mtiririko unaotakiwa uipitie ili kufikia Hatua ya ndoa na kujenga familia bora

🔥🔥Kupitia Hatua Hizi Jipime Ujiangalie Mahusiano yako yapo wapi

🔥🔥Kuna misingi mitatu inayojenga ndoa iliyobora.

👉🏼✍🏾Hatua ya kwanza Kuwa Marafiki  yaani Boyfrd na Girlfriend

🔥✍🏾Hatua hii huwa wawili hawa wanakuwa hawajaenda kutambulishana kwa MCHUNGAJI au Wazazi wanaokuwa wanajua Marafiki Tu au wazazi wanakuwa wanasikia

✍🏾✍🏾UJUE HIYO HATUA KAMA UPO Nyie sio wachumba na nyie si watu mnaopaswa kuzini au kufanya chochote maana muda wowote kati Yenu anauwezo wa kubadili maamuzi

✍🏾✍🏾UZURI WA HATUA HII✍🏾✍🏾
1;Kufahamiana kitabia na huruka zenu

2!Kuanza kuweka malengo na mikakati ya kuingia kwenye uchumba

3!Kumjua mwezako kama anakupenda au Amekutamani Tu mzini naye akuache

4;Kupima sifa za MKE au mme umtakaye ukiona hamuendani ni bora kuachana kuliko kulazimisha mapenzi ya kutumikishwa na kuumia.

Hapa ndio huhitajika umakini wa kuchangua

✍🏾✍🏾Hasara Zinazopatikana kwa watu hawa walio katika kipengele hiki✍🏾✍🏾

1;Huwa wanavaliwa na Pepo LA kuzini sana Na kutimiziana FURAHA za mwili nakujisahau kuwa sio wachumba wala wanandoa

2;Huwa hawadumu kama mmoja akawa ilikuwa amempenda mwingine kwa ajili ya kuzini au wakaendesha Uchumba kwa njia ya kuzini Hakuna ndoa Tena hapo maana kumbadilisha MTU aliyezoea kuzini umlete kwenye kukaa bila kuzini huwa ngumu sana endapo yeye hataelewa

✍🏾✍🏾Ndio maana vijana wengi wameingia kuwa watu wakutamaniana Tu na kuzini kutokana  vijana wakiume na wakike kutekwa na Pepo LA ngono wapo watesekao Leo chazo kuzini Tu

✍🏾Hali hii imeleta hasara kwa wazazi wengi  kuwa na wajukuu wasio na Baba wala walezi pia hasara kwa Mabint kuzalia Nyumbani na kutokuolewa sasa unajikuta wanatumia nguvu ya kuomba wakijua wamelongwa kumbe wengi walijilonga wenyewe wakazini kabla jini anzura akawa amewaingia

✍🏾✍🏾🔥WAFANYE NINI ✍🏾✍🏾

Bint na kijana wasizini wakiwa hatua hii itamtesa Bint asolewe tofauti na Mwanaume anayetafuta sio yule anayetafutwa

Kibieni zinaa mkaepuke mponywe majera Yenu mkaolewe Mabint vijana wakaoe ukiwa unatamaa heli kuoa

✍🏾🔥HATUA:2 YA KUFIKA UCHUMBA✍🏾✍🏾

Hii hatua huwa kumbwa sana inayoelekea ndoa sasa ili MTU aitwa mchumba au wapo kwenye uchumba huwa wamefikia hatua hizi

✍🏾✍🏾Wametambulishana kwa MCHUNGAJI

Hii hatua huwa ni hatua ya wao kutambulishana kanisani mahusiano yao yanatambulika vyema

.
✍🏾🔥Faida zake hatua hii

1;Uchumba kujulikana mbele za Mungu

2;Kuwa na MTU wakuwaombea

3;Kuweka ushahidi tosha kuwa nyie wanandoa wataranjiwa

4;Kuwa na mawakili walindao ambao hao hao kanisa MCHUNGAJI anakuwa wakili huwezi kuleata umtambulishe mwingine Tena

✍🏾🔥🔥Hasara Yake

1!Kukosa ushahidi wa uhusiano wenu

2!Kukosa pakushitaki mapungufu Yenu

3!Kuumizwa na kuachwa

4;Kutokuolewa mpaka usimame  hasa maombi sababu kama uliaza na kuzini ujue uliaza na shetani baadala ya Mungu


3;HATUA YA MWISHO KWENDA KWA WAZAZI

Hii huwa ndio hatua ya mwisho lakini inavizuizi vingi humuitaji MTU kusimama na Mungu na asizini mpaka Amefika kutambulika na kutoa mahali MTU yoyote aliyeokoka akimbiliapo kuzini huwa chazo cha yeye kuteseka mpaka akaje kujenga msingi akaolewe atakuwa amepata gharama za kuomba sana kufunga nakuwatafuta watumishi sababu tayari anakuwa anapepo anzura wa kuvunja uchumba kuua ndoa Yake na kuendelea kuishi bila KUOLEWA  kupitia Tu kuzini

✍🏾✍🏾✍🏾Jiepushe na zinaa oa au olewa kama unatamaa ya kuzini

Watu wengi wanaoteseka Leo hawaolewi walitangulia kuzini Tena kwenye urafiki Tu na mbaya walishajua kuzini imekemewa lakini wao wakajiingiza huko Leo wamekuwa na maana ya maumivu kusalitiwa kuachika kutokuolewa


✍🏾✍🏾✍🏾Ndugu zangu katika Kristo nimewandikia waraka  huu ili wale wasiojua wasikose kujua kweli.

Naitwa Pastor Richard

Nipo MOROGORO Veta Dakawa
Fika MOROGORO Veta Dakawa

Piga simu kwa Maombi ya Kufunguliwa+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.