Somo:PEPO ANAYEVUNJA NDOA ZA WATU NA KUHARIBU KABISA UPENDO

✍🏾✍🏾👂🏼 *SOMO:PEPO ANAYEVUNJA NDOA ZA WATU NA KUHARIBU KABISA UPENDO*

2wakoritho:10:3-6

Yeremia 13:27

✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾

Lengo La Somo Kukusaindia kuelewa Adui yako Anayetumiwa Kuharibu Amani ya Ndoa yako Ugomvi ndani na kuchukiana Bila sababu ndani

👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👂🏼👂🏼👂🏼
Holy👂🏼Spirit 👂🏼Ministry

PASTOR RICHARD

MOROGORO VETA DAKAWA

SIMU:+255710889892
VODA +255759861768

*TUMA SMS KWA HIZI NAMBA Pastor Richard Atajibu Sms kama kuongea naye atakujulisha*

✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾

Watu wengi Walishashikilia Jini MAHABA anayevunja Ndoa Hali ambayo huwa tofauti Licha ya kuwa Jini MAHABA huwa anashiriki Naye kusababisha Ila Jini Anaye Tumiwa na wachawi kuachanisha Au na watu wanaoenda kwa waganga Anayetumiwa kuvunja ndoa huwa Haitwi Jini MAHABA mbali huitwa 👂🏼👂🏼Marandi

*Marandi* ✍🏾Huyu Huwa Jini Au Pepo Mbaya sana anapoivamia ndoa ya Wapendanao lazima waanze kuchukiana tu bila kosa na Huwa Lazima awatenganishe Na Mara nyingi Anashirikiana Kazi hii na Huyu mwezake Jini MAHABA huwa ni Mapepo Yanayofanya kazi mbili zinazoshambiliana

✍🏾✍🏾✍🏾Endelea Kujifunza Umsaindie Mwingine

Marandi Huwa Jini Au Pepo Huyu hutumiwa kwa watu waliopendana kazi yake kumbwa huwatenganisha tu

Wanaofanya Kazi hii Huwa ni Wanadamu na watu wako wakaribu

Jini MAHABA Huyu humtia Mtu tamaa ya kuzini kuwa Anatamani kuzini tu bila kuchoka Na akiingia kwenye Tendo la ndoa Humfanya Mtu asichoke Au kuridhika Tendo la ndoa Hawa Mapepo wawili hushirikiana Kwa Hiyo Mganga Au mchawi huwatuma wote JAPO pia Inawezekana ndoa Au uliyempenda ukaachana kaingilia Pepo Marandi

👂🏼👂🏼NJISI WANAVYOFANYA WACHAWI na WAGANGA👂🏼👂🏼

1:Kwa Wale wanaoenda kwa waganga Mganga humtuma kwa kumnenea Lugha ambayo huwezi kumwelewa Au kununuia kwenye kitu ambacho Baada ya kunuia maneno atakupa Mashart Ujue Umekabidhiwa Huyu Pepo

Ndio Maana ndoa nyingi huvunjwa na watu wasiomjua Mungu

2:Wachawi wao huwa ni wivu tu Wao hushughulikia ndoa za watoto wacha Mungu Wanaopendana Nao hutumia Majina Yenu kuwanuia na kuwatenganisha

Ndio  Zile ndoa huvunjika tu Au watu wanaoachana tu Bila kujua kosa Na walikuwa wanapendana

🐦🐦🐦🐦🐦🐦🐤🐦

SUHURISHO YA TATIZO HILI

👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽

1:Kimbilia katika Maombi tu Ukutane Na Mchungaji mwenye nguvu ya Roho Mtakatifu na kuona visivyoonekana

2:Unatakiwa Ufanyiwe Maombi ya kukomboa ndoa yako Kutoka Kwenye Mikono ya wachawi

3:Simama Hata Baada ya Maombi ya Ukombozi Mweleze mchungaji aliyekufanyia Deliverance akueleze njisi ya kuomba Endelea kuomba kama mch wako alivyokuelekeza

4:Unatakiwa katika Maombi Yako Mtaje Jini Marandi Aachie ndoa yako Aachie Mmeo mtaje Jina Nakukomboa fulani Njoo Unifate

5:Simama Imani Yako Usirudi Nyuma Ukishaanza Deliverance

6:Simama Na Huyo Mtumishi uliyesukumwa Asimame kukomboa ndoa yako

7:Unapofanyiwa Haya Maombi ya Deliverance Shika SADAKA yako mweleze Mungu Kupitia Sadaka Hii ikamkomboe mme wangu Mke wangu Yule Jini Marandi na Mahaba waachie ndoa Yangu

🐓🐓🐓🐓🐓

Kumbuka Vita hii Inakuta Uwe na Mlezi Aliye Na uwezo wa nguvu ya Roho Mtakatifu na Akuelekeze Njisi ya kuendelea hata kama Ameshakuombea

💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾

Muombe Mungu Akuongoze Vyema Kwa Wewe Mhanga wa Tatizo hili
🐅🐘🐘🐘🐘🐘

KAMA UKITAKA KUONGEA NA Pastor Richard Mtumie Sms WhatsApp Au Kawaida Atakujibu

*Simu za Pastor Richard +255710889892*

🐦🐦Mweleze Na Kuwasaindia Wengine wenye Matatizo Haya wajue waokoe ndoa zao🦓🦓🦓🦓🦓🦓🦓

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.