SOMO :KUTODUMU KWA MAHUSIANO unaanzisha mahusiano yanavunjika ndoa kuvunjika

Bwana YESU Asiwe watoto Wa MUNGU
Karibu kwa majina Naitwa  PASTOR RICHARD

SOMO LETU  linaongozwa na vitabu hivi
. Kutoka:34:15-16
  2wafalme:9:22
   HOSEA 2:2
    Ezekieli 23:35,45

  2Petro :2:14

SOMO hili litakufungua

KUVUNJIKA KWA MAHUSIANO HUWA SIO HALI YJAMBOA KAWAIDA AU  LA KUCHUKULIA KIMAMZAHA USIOMBEWE

TATIZO LA  WALIOPENDANA KUACHANA

huwa ni njia za shetani ambazo huzitumia kwa kutumia roho zinazomfanya mtu Awe kwanzo kwa  mwezake na hii imefaulu kwa watoto wengi wa MUNGU  shetani kuvuruga na kuyaachanisha  mahusiano yao Juu ya watu waliowapenda na kufikiri hawa ni chunguo sahihi kwa kuwa kazi ya shetani ni uharibifu huwa siku zote yeye hupingana na angizo la Mungu Na hii huwasumbua sana watu ambao hawajasimama kiroho au kutambua kuwa  shetani YUPO na mabint na vijana wengi wameishia Kuumiza au kuumizwa 

MAMBO  YANAYO MFANYA  SHETANI  APATE  NAFASI

Huwa ni Pale wewe uliyeokoka au mwenye Imani ya  Wokovu Unaanzisha Uhusiano na mtu asiyeokoka  au kumjua MUNGU

-mlevi wewe si mlevi

-Mwisilamu wewe mkristo

-Mshirikina wewe si mshirikina

-Mzinzi wewe si Mzinzi

Nk

Kupitia Watu hawa anapowatumia Shetani hulenga baadaye iwe uharibifu endapo hutakuwa na ufahamu wa kujilinda au msimamo wa ndoa

Mtu ukianzisha Mahusiano huwa  Baraka sana mkielewana msizini mpaka mmetabulishana 

Pia kwa Wanandoa wakiolewa kama mmeo mlevi  hiyo ujue vita kama Mzinzi ujue vita usikimbilie Kuvunja ndoa yako Baadala yake wewe mwenye ndoa yenye huzuni Mmeo kakuacha nk

UNATAKIWA Usimame tu kimaombi na Kutuma Fungu la kumi tu

Ndoa itakuwa na Amani na mmeo mkeo atarudi usiposimama kwa haya huwa Ngumu sana

NJISI  INAVYOFANYIKA  VITA ZIDI YA  MTU  KUTOOLEWA  AU KUOA

Shetani huwa ni roho inayomwingia mtu na kumpelekea kuwa mtu wa Tabia tofauti na matakwa ya MUNGU  huwa inamfanya mtu aishi katika mateso mahagaiko asijue kwanini anateseka

Shetani huwa Anatumia Uzinzi Au Kuzini ili kuingiza Ndani yako Pepo Yaani Jini Aitwaye Anzura  ili kusababisha usiolewe au usioe Kila ukianzisha Mahusiano yako yanavunjika Hutakaa uolewe endapo hujapata ufahamu wa kumjua MUNGU ukasimama kwa  haya mawili

1:Kuwa Unatuma Fungu la kumi  huku kama wezako

2:Kusimama Na Mungu hasa bila Kurudi nyuma

Pia kumtumikia MUNGU kama Unaguswa Holy Spirit Ministry  kuifanya iwepo na hapo utapokea mme Mwema na Utasema ukuu wa MUNGU

HUINGILIA  WAPI Jini huyu

Kupitia wazo la kuzini  na Kisha hupenya katika  uume kwenye Njia za kutolea Mbengu za kiume na  Huingia kwenye  uke hupenya hivyo akiingia kwa kuwa ni roho huaza kutuma uharibifu na uvunjifu wa ndoa na Kuvunja ndoa yako  Huwa anakuja kumvisha mtu sifa ya kuzini au kutokuolewa Kila mahusiano hayadumu

HUWA KUNA Jini maradi huyu hushughulikia Kuvunja ndoa Huyu naye humwingia hivyo hivyo Na kumpelekea kuwa Mzinzi kutokuridhika na ndoa yake hatimae kumwelekeza ahamie nyumba ndogo au kuzini

Yote usiposimama katika maombi  utashagaa Kila siku unalizwa maana ni roho itendayo kwa kasi na imeangusha watoto wengi

Simama kuwa unatuma fungu la kumi na kulinenea mahitaji Matatu

Simama katika maombi

Simama Usichukulie Hali ya kawaida

KUTUBU  huwa unapaswa uchukie uzinzi na mfanye hivyo mkishatambulishana na Uwe na sifa ya mme au mke unayeona anakufaa

Hali ya kuwa unavunja mahusiano si ya kupuuzia

Kwa Msaada zaidi +255759861768
    
Inbox WhatsApp nitakujibu

Mbarikiwe sana Naona wengi mmefunguliwa

. Naitwa PASTOR RICHARD

Kutoka VETA DAKAWA Morogoro

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.