PEPO ANAVYOMUINGIA ALIYEOKOKA
🌳🌳 *CHAKULA CHA SAFARI 2018*🌳🌳 tar _9/1/2018_
*PR : PASTOR RICHARD*
_JE MTU ALIYEOKOKA ANAWEZA AKAWA NA PEPO_
*Mathayo. 15:26* *LUKA 13:16*
Jibu ni ndio shetani na Mungu wanauwezo wakukaa Pamoja Na Kila mmoja akaanza kumtumikisha Mtu mmoja.
Utaona kwa Mwanamke aliyeteseka miaka 18
Alikuwa kanisani anaenda anafunga wakati huo huo shetani anamtesa kwa maradhi na Mungu anamtumia kumtumikia
Utaona kwa mfalme sauli kwa mfalme Daudi mpaka akaingiwa na shetani Akazini na Mke WA MTU PIA AKASHAWISHIKA
KWA YUDA napo Utaona alivyomsalit Yesu
Utaona Kwa Ayubu Ukisoma Biblia utawaona hao Watumishi walisimama Na Mungu Na shetani aliwaingia na kumtumikisha
🌳🌳 *HATUA ZA MTU ALIYEOKOKA* 🌳🌳
1: _ANATAKIWA AFUNDISHWE NENO LA MUNGU ANAPOOKOKA_
2: _ANATAKIWA AJIFUNZE KATIKA ROHO MTAKATIFU_
3 _:ASIMFATE MUNGU KATIKA MWILI ATAANGUKA KIROHO_
1samweli.16:14-15
Ayubu 2:7 Ezekieli. 8:17
🌳🌳 *PEPO HUKAA WAPI ANAPOMUINGIA MTU*🌳🌳
1wathetholonike.5:23
1:Mwili
Huwa kiungo cha kwanza kinapokuwa kipo kimawazo ya mwili Yaani aliye nao mwili asipouongoza vyema humpeleka Pa mbaya na Pepo humvaa mtu.
Mwili huo ukiuongoza vizuri . Mtu humfanya awe msafi na Pepo asimvae
2:Nafsi
Pepo hukaa kwenye Fikira moyo matamanio ya mwili
Mtu Fikira na MAWAZO yake yakimpotosha Shetani humvaa
3:Roho
Huwa ni Imani anavyotumaini Mtu na kuwazia Akikosea humpa nafasi shetani
Mkristo aliyeokokoka yeye ni hekalu la MUNGU endapo akiutendea vyema mwili wake
🌳🌳 *MAPEPO HUATHIRI NINI YAKIMVAA MTU* 🌴🌴
Marko.7:21-22 Efeso. 4:30
1wakoritho.2:1 6
1:Hushambulia Mwili
2:Hushambulia Fikira MAWAZO nia Akili Malengo yetu.
3:Hushambulia maono na Mipangilio yetu
4:Huleta Machafuko Amani kutoweka nk
🌳🌳 *VITU VINAVYOMPA NAFASI PEPO KUMWINGIA MTU* 🌳🌳
1:dhambi ya asili (Yaani kurudiarudia dhambi)
2:KUTOKUAMINI MUNGU ANAWEZA
3:KUABUDU Miungu
4:Tabia ya kutobadilika
5:kutokumanisha Kumfata YESU
6:Mienendo YA Mtu
7:Ufahamu wa kutokupambanua
8:Roho ya majivuno
9:Hila za shetani
10:hofu mashaka
🌳🌳 *MILANGO INAYOMUINGIZA PEPO NDANI YA MTU* 🌳🌳
_1:Tamaa ya Mwili_
Hali ya mtu kutembea katika tamaa mbalimbali za mwili
Kama Uzinzi fitina nk
_2:TAMAA YA MACHO_
Huwa ni pale Macho yakikusesha unamfugulia Pepo akuingie
_3:TAMAA YA KIMAISHA_
Huwa ukitaka ufanikiwe Yaitaji subira usitafute mkato katika kufanikiwa
_4:Majivuno_
Huwa Hali ya kujigamba Mtu kujiona bora zaidi ya mwingine dharau kashifa nk
_5:Tamaa YA Pesa_
Huwa mtu mwenye tamaa ya pesa Pepo Hukuingia kiurahisi sana
🌳🌳 *FUNGUO ZINAZOFUNGUA MILANGO YA MAPEPO YAKUTESE*
1:UASI
2:WIVU
3:HASIRA
4:CHUKI
5:MAUAJI
6:KISASI
HAYA ndio huchochea matatizo yakutese
🌳🌳ULIZA AMBAPO
PASTOR Richard
Fb:Moto wa Yesu
WhatsApp +255759861768
Tovoti www.mchungajirichardi.blogspot.com
*Share kwenye Group zako*
Maoni
Chapisha Maoni