KIKOSI CHA MAJINI BAADHI NA YANAVYOFANYA KAZI KUSHAMBULIA WATOTO WA MUNGU
✔✔ *KIKOSI CHA MAJESHI YA MAJINI YANAYO HARIBU WATU*
*WAKUU WA ANGA*
1: *Akibaru* = Jini huyu ni mkuu wa anga Africa Zima
2: *Alshamiri*=Mkuu wa Anga dunia nzima
3: *Zibanirati* =Jini anasababisha Ajali duniani
4: *Twalingu*=Jini huyu husababisha Ajali Tanzania
5: *Murafali* =Huyu Jini huzui mafanikio ukiona umeshindwa kitu Tandika huyu
6: *Ratifu=* huyu huwa Jini Anayeshughulikia na upotevu wa pesa tu ukiona pesa huoni zinaenda wapi shughulikia huyu
7: *Johari* =Huyu anashughulikia chuma ulete ukiona Kazini Kuna chuma ulete Anza kumshughulikia huyu tu
Pia YUPO na mwezake Asinari huwa wanawaharibu watu wanakuwa walevi wavuta mbangi nk Ulevi wote au kukupa matumizi mabaya ya pesa unajikuta huna ufanyalo
8: *Subiani* =Huyu hushika Matatizo ya kinamama Mfano Tumbo kuuma chini ya kitovu Uvimbe na magonjwa ya Ajabu Ajabu ya wanawake hasa waliookoka au wenye kusimama Na Mungu ukiona hali yoyote tandika kwa maombi tu
9: *Sumiri*=Huyu hushughulikia kuporomosha mimba huyu huwa anatekeleza pia watoto wachanga kufa na wazazi wanaojifungua hospital Jini huyu huhakikisha mimba kuharibika kazi kwa kushughulikia ili asikusumbue
10: *Albadiri* =Jini Anayetumiwa kwa kifo vya gafra tu au kufa katika utata tu mtu anatoka tu nje anagongwa gari au kichwa tu unakufa
Shughulikia kama mmekuwa mnakufa tu gafla
11: *Wardant* =Anafanya wanaume wapende mambo ya kike kutomboa masikio kuwaka dawa kupaka enjoface unajikuta mwanaume anakuwa shonga sio yeye ni huyu Jini
*12:Shamisi* =Huyu Jini wa mvuto wa sura Unajikuta mtu anakuwa mzuri kuanzia nje mpaka ndani hutaona kasoro hata moja saa nyingine unasema yule Binti mrembo huyu huwatumia mabint sana sana kuagusha wachungaji kwa uzinzi na washirika wao lazima ujue huyu Jini ni hatari
13: *Maradi* =Huyu Jini huwa anaingilia ndoa za watoto wa MUNGU anazivunja na kubomoka kabisa unajikuta umeachana na mmeo bila kutengemea huyu Jini amehusika ametumiwa tu.
14: *Anzura* =Huyu Jini Anashughulikia vijana wakike na wakiume Wasiolewe au kuoa unajikuta unaanzisha uhusiano mkienda mbele mnaachana ukikutana na mtu anayelalamika haolewi wakati yeye anataka aolewe harafu haiwi ujue Jini huyu anakuzuia kwa hiyo usipomjua MUNGU hakuna hutoolewa
15: *Kaimu* =Huyu hutumiwa na waganga walaguzi wasoma nyota Kwa hiyo ukiona mtu anapenda waganga huyu ndiye anamfanya Aende huko.
16: *Zohari* =Jini wa funjo funjo ukiona mtu anapenda Ugomvi kupingana anahuyu Jini a namtumikia.
17: *Alcayun* =Huyu ni Jini Anayeshughulikia kunyonya damu katika mwili wako kupungukiwa damu Damu kuisha mara kwa mara Ukiona hivyo unahuyu Jini
18: *Janutusi* =Huyu huwa Jini anayekuletea usingizi katika Neno LA MUNGU Kanisani katika maombi nk. Ukiona unalala Kanisani ni huyu Jini anakusumbua
19: *Falick* =Hutumiwa kama kio kuwajua walokole walio Simama Na Mungu Na wanaotania kwa MUNGU akishakujua ndio Matatizo hapo huanzia kama ukiwa hujasimama utashangaa ndoa inayumba Mahusiano kuvunjika kazi unafukuzwa Nk
Huwa pale tu uvunjapo uhusiano wako kwa kuacha maombi Utoaji Neno LA MUNGU shetani huagalia maombi Neno ulivyojitoa kwa MUNGU
20: *Maurani=* Huyu ni Jini Anayetumiwa kwa ukichaa unaona mtu gafla kachizika kaanza kutupa nguo ovyo anakimbia ovyo Huyo huwa Jini huyu
21: *Almauri* =Huyu Jini wa kuwafanya watu wakose Ajira kazi wajidharau kukaa kwa kuombaomba kama wale watu wanaotembea barabarani Ukijiona upo hivi huyu Jini anakutesa
*22:Albabiri=* Huyu Jini huwa wa ubani manukato pafum nk ukimkuta mtu anapenda harafu kali na ubani ni huyu Jini yumo ndani yake
23: *Altarki* =Huyu huhusika na upotevu wa Vitu vyako bila kutengemea unajikuta umepoteza Vitu vyako
*Majini yapo Mengi na yamejipanga katika uharibifu wa watoto wa MUNGU Kwa kasi hasa wakati huu*
Baadhi mengine naumu Aisha maimuna Shariff Makata nk Hawa niliowaelezea kukupa kumjua unayepambana naye katika maombi
*Kwa Wewe Unayehitaji Maombi na Kushiriki Baraka Katika Madhabahu hii YA Holy* Spirit Ministry
JUMATATU_IJUMAA
Simu za wanaoshiriki Baraka kujenga Huduma hii ili izidi kuwa Baraka kwa wengine kumshukuru MUNGU
IJUMAA Mpaka JUMAPILI
Wahitaji tu ni siku ya maombezi
uamini Tu unapoongea nami Kwamba Umepokea
Muda saa 10:900Jioni mpaka 3:00usiku
WAPO WENGINE mtalazimika kufika Morogoro VETA DAKAWA
Ansateni Naitwa PASTOR RICHARD Founding of the Holy Spirit Ministry
*Kutoka VETA DAKAWA Morogoro*
Simu +255759861768
Tigo +255710889892
Maoni
Chapisha Maoni