MAOMBI YALETAYO MAJIBU YA HARAKA

✍🏾👇🏾MAOMBI YA. KUAGANA  NA  MUNGU✍🏾👇🏾

✍🏾✍🏾NATAKA NIKUFUNGUE KWENYE MAOMBI YAKO YA MAZOE WAKATI Ulishaelezwa

Mambo ya kuzingatia 

Ishi maisha yenye sifa hizi

1;Kumpenda MUNGU sana kujitoa kwake kumtumikia kuvisha wachungaji kanisa kulipamba

Kisha kila kitu ukifanyacho kwa ajili Yake inenee uweke Mwisho WA matatizo Yako na mwanzo WA Mfumo mpya kila sadaka

🎤Haya huwa Maombi Ya Agano Au Nadhiri baina yako Na MUNGU

Neneaa Madhabahu unayoipeleka usiseme imladi kanisani au popote Nena  Roho WA MUNGU anapokuambia Majibu yangu yapo ktk Madhabahu Fulani

☝🏽☝🏽Hasara zake kama Hutotimiza Ulichonena✍🏾✍🏾

MUNGU huwa Anajibu lakini usije ukamsaliti Au Akakujibu ukataka ubadilike huwa ni mbaya sana adhabu Yake wala usifikirie Kuvunja Agano

Mfano Mimi ni mtoto wako hili tumbo nalitamkia likazae watoto kazaa mwenzi huu kama tatizo Mme wangu Atulie Kama Tatizo Mimi ponya sitaki mwenzi huu nikatembee barabarani sina ujauzito Nakuahidi kuwa hii sadaka niliyoishika niyakudhibitisha nisemayo imefikia mwisho sasa yaishee Sitaki pia nisamehe hivi anza kutubu makosa yako Anza kumweleza ukinitendea Hili Mimi nitazidi kukuinua wewe jioni aibu Nina fedheheshwa
Nena  maneno machache tu Toa chochote Unachoguswa Uweke Agano Naye hicho kitu kitume

✍🏾✍🏾Maombi ya Pili ✍🏾✍🏾

Soma. Kwa umakini taratibu unafunguliwa

matatizo jifuze kumkabidhi Baba yako WA kiroho kwamba

Baba yangu huu mzingo wangu Nimechoka na haya mateso Beba wewe

Mchungaji yupo kwa ajili ya kundi lake ukimtwika yeye Baba yako WA kiroho

Ambapo ndio MUNGU amekupa hiyo Madhabahu Mafungu yote ndio Peleka hapo kwa huyo  Baba popote Alipo hiyo ndio madhabahu inayokutambua

Wewe huwezi madhabahu ya efatha unaenda kutoa fungu LA kumi madhabahu ya k.k.k.t

Baba yako MUNGU aliye kupa hiyo ndio madhabahu iliyoagana Na MUNGU sio jengo Tofautisheni

Jengo na MTU

Kama Baba yako yupo hapo hiyo ndio Madhabahu yako iliyobeba yote isikilize

Sawa Anakanisa hilo ni jengo Anapowakusanyia watu wale

Pia Roho hutuongoza ndio Maana wengi majibu yenu hayajibiwi sababu mnaangalia Madhabahu ni Mbele Alipojenga Mch. Kumbe ni ndani iliyojengwa na MUNGU

Sasa Yule mtumishi kama umepewa huyo ni Baba yako na ni Madhabahu yako wewe na Hapo toa Fungu LA kumi kila mwenzi

Usije Ukatao kwingine  kama wewe Madhabahu yako ni T.A.G Toa pale Kwa mchungaji vigezo unavyoangalia Madhabahu hiyo Ndio MUNGU Amekukalisha unayemtolea MUNGU ili Huduma uendelee Hapo Ndio mizingo unapoitua naye inabebwa na madhabahu hiyo iliyomo ndani ya Mchungaji yule

Utofautishe sana Madhabahu ni Mtumishi aliyetolewa kuwa kiongozi WA kusimamia Taasisi Fulani hata wachungaji wake wanatakiwa wapokee au wainuliwe kupitia Yeye Anapowaombea MUNGU anaangalia Agano LAke ndani Yake

Ndio maana wengi mmekuwa watu msiojibiwa Haya tu dhabihu zenu na Madhabahu Agano mnavipeleka kiupofu upofu hata wachungaji hawakuwaeleza

Pia Madhabahu hubadilishiwa unaweza kutolewa kwa mch. Richard MUNGU akakupa Mch.WA Siloam Tabua hapo ndio kakupa huyo mch. Kwa hiyo madhabahu ya Richard haikujui Anakujua Siloam 

Hapo ndio utamtolea MUNGU zaka na kuitwisha matatizo hiyo madhabahu tulia kwa Richard utaenda kusikiliza mafundisho tu Au kanisani tu lakini hutatoa zaka pale Utatoa kwa Mch. Huyo WA Siloam ndio majibu yako yapo hapo MUNGU akiona Hapakufai Hukuondoa mpaka kufika pale kwa mch. Au Madhabahu Ambayo Imebeba Majibu yako

☝🏽☝🏽☝🏽Wachungaji mtambue na watoto WA MUNGU muelewe sio mtoto WA MUNGU Anavyotapatapa Leo yupo hapa kesho pale Ni MUNGU anakuwa Anamhamisha Akitafuta mch. Aliyemwandaa Abebe majibu Yake amlee Madhabahu inayomtambua Kumuweka katika Pale Mabadiliko Yake Yalipo

MUNGU huwa haangalii kanisa huagalia Mwasisi wake Aliagana nini

Utofauti upo hapo sio huwaangalia walioipokea Huduma hapana

Ndio Maana inawapa shida wachungaji wanagombania waumini wengine mafungu ya kumi wengine Mali

Mtoto WA MUNGU kutoka kwako akawa anasikiliza Mafundisho ya mtumishi huyu ni sawa sio Uaze Kugombana nawe ili mtoto awe hekima ya kiungu lazima Apate mafundisho na si yeye Anayehama kanisa Anatoka nakuhama katika ulimwengu WA roho Madhabahu ile haimtambui.

Ndio maana kuna watu mpaka unazeeka umelazimisha madhabahu hiyo isikujibu dhabihu unatoa zaka mwaminifu Michango lakini hauna hatua yoyote huna mabadiliko ya kiroho wala ya kimwili kwakuwa Tu Madhabahu hiyo haikutambui wewe

Unashangaa wezako wanainuliwa kila siku unasali nao wanamaombi wazuri wanakwaya wazuri wafanya biashara WA kimataifa

Lakini unapewa baba WA kiroho unasema huyu Mimi siwezi nikimsikiliza kanisa hilo halipo huku wewe Usiagalie kanisa kama kanisa si anza mwenyewe kuieneza imani hiyo ulipo Uone

.✍🏾✍🏾By pastor Richard soma hapa👇🏾👇🏾👇🏾

Usiishi kwa kuagalia Majengo au kuketi katika Madhabahu isiyo yako usitoe zaka hapo toa katika pale penye Madhabahu yako

.

Watoto WA MUNGU Tusiishi kwa Kufata mwili Hebu mtii Roho Mtakatifu 
..wengine MUNGU anawaeleza kabisa hapa hapa ndio majibu yako Hapo ugumu na kuishi kwa Ajili ya dini makanisa MTU anaanza mbona hapa hakuna kanisa hili Si lazima kuabudu uende hilo hilo makanisa ya kiroho YApo katika madhabahu unakuwa unajua Mimi hii madhabahu hainijui

☝🏽☝🏽👇🏾👇🏾Walaka huu Roho Mtakatifu Amewaandikia ili Mjue wapi mnapoangukia

Tua mzingo wako kwake Yesu
...

Kwanini uteseke.

Kwanini maisha yako yawe Ya mateso yasiyoisha Majaribu

Matahayo

☝🏽☝🏽 Matthew 11:25-30☝🏽☝🏽

[25]At that time Jesus answered and said, I thank thee, O Father, Lord of heaven and earth, because thou hast hid these things from the wise and prudent, and hast revealed them unto babes.

Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.

[26]Even so, Father: for so it seemed good in thy sight.

Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako.

[27]All things are delivered unto me of my Father: and no man knoweth the Son, but the Father; neither knoweth any man the Father, save the Son, and he to whomsoever the Son will reveal him.

Akasema, Nimekabidhiwa vyote na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.

[28]Come unto me, all ye that labour and are heavy laden, and I will give you rest.

Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

[29]Take my yoke upon you, and learn of me; for I am meek and lowly in heart: and ye shall find rest unto your souls.

Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;

[30]For my yoke is easy, and my burden is light.

kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.