TANGANZA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO.

TANGAZIA FAMILIA.

Natangaza familia yangu na ukoo wangu lazima lazimaa ikujue MUNGU wangu ktk roho mtakatifu.
amen

TANGAZIA NDOA MAHUSIANO
Natangaza katika ulimwengu wa roho ndoa yangu na mahusiano yangu yataongozwa nawewe.

TANGAZA KWENYE HIV.
Natangaza mimi......sitakufa na pepo wa ukimwi tena stanguswa nayasema haya katika ulimwengu wa roho na mwili wangu hautabeba.AMEN

TANGAZIA WATOTO.
Natangaza lazima wanangu waongozwe nawe mimi nakri kukupa wewe MUNGU Wangu.amen

TANGAZIA KARAMA YAKO.
Natangaza mimi ni moto kama baba yangu wa kiroho nikavuke mipaka AMEN.

TANGAZIA MMEO/MKEO
natangaza ushindi ktk tamaa kwa mwenzi WANGU.AMEN

TANGAZIA KUMFATA MUNGU WA ROHO MTAKATIFU.
Natangaza mimi nitasimama nakuongozwa kwa roho wako katika huduma yako ya roho katika jina la yesu.AMEN

TANGAZA KWENYE BIASHARA YAKO
Natangaza kuanzia leo ktk ulimwengu wa roho naachilia malaika wa vita wasimame katika biashara yangu.AMEN

TANGANZA KUMUITA MKEO MMEO.
Nangaza kwa mme wangu mke wangu aliyeadaliwa ktk ulimwengu roho nanena masikioni mwake aje aje basi nimechoka kuwa hivi.

OMBA KILA SIKU

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.