SOMO.UKWELI KUHUSU KUFUNGA SOMO LIKIFAFANULIWA KATIKA ROHO MTAKATIFU. ISAYA.58:3-12.MATHEW.17:21,JOEL.2:12.HESABU.
KUFUNGA NI NINI?
ni kukataa kuendeshwa na matatizo au majaribu yanayokukabiri.
KIBINADAMU ni kuacha kula masaa kadhaa huku ukiomba mahitaji yako kwa MUNGU.
KUNA AINA GAPI YA VIFUNGO.
ZIPO SEHEMU MBILI TU ZA KUFUNGA.
-KIFUNGO CHA KUAMBIWA FUNGENI (KIFUNGO CHA JUMUIA YA WATU WENGI)
-KIFUNGO CHA KUJIAMULIA UFUNGE(KIFUNGO CHA HIARI)
KIFUNGO CHA JUMUIA HUWA CHA KUAMBIWA KANISANI FUNGENI.
hiki kifungo hushinikizwa na mchungaji kumwambia muumini fungeni masaa kadhaa jambo ambalo huwa kinyume na MUNGU
na hii hutokana na watu kuipeleka biblia katika ufahamu wao wakibinadamu bila kujua biblia imeandikwa katika roho na si damu na nyama.
NAO HUSIMAMA NA ANDIKO. MATHAYO.17:21 USEMAO. "mambo mengine hayawezekani mbali kwa kufunga na kuomba.
wao walilibeba andiko kama ilivyo KUMBE YESU ALIONGEA KATIKA ROHO AKIMANISHA. KUWA. "mambo mengine hayataisha kwa kusali tu lakini kwa kuyakataa yasiwe juu yenu huku mkiomba MUNGU.
MFANO. WEWE MASKINI ILI UMASKINI UKUACHIE YAPASWA UKRI MIMI SI MASIKINI NDIO MAANA KUIFUNGA ROHO HIYO ISIKUTESE HAKUMANISHA UACHE KULA HII IMEKUJA KWA WANADAMU KUTOIELEWA BIBLIA NA KUKALILISHWA NA WASISI WA DINI AFRICA AMBAO WAZUNGU.
KUFUNGA KWA KUJIAMULIA KUFUNGA MWENYEWE TU.
watu tumeangamia kwa kupokea elimu ya kimungu itokayo katika ufahamu wa kibinadamu na mpaka baba hutushangaa kwa utumwa wa maandiko tumeshindwa kujua biblia imeandikwa ktk roho si ktk damu na nyama shetani amepitia hapo kutuagamiza tusiijue kweli. roho wa mungu amekaa mbali nasi atuagalie tutendayo.
HESABU.30:2-3
YASEMA KWAMBA. "ikiwa wewe mwenyewe uliamua kujitesa kwa kusema nafunga kwa ajili fulani ndipo KIFUNGO KITAKUTAWALA MUNGU ANAKUACHA TU.
KATIKA UFAFANUZI WA ROHO MTAKATIFU BAADHI YA MAANDIKO.
MATHAYO.17:21."Mambo mengine hayawezekani mbali kwa kuomba na kufunga.
NENO.MAANA "Matatizo mengine hayawezi isha kwako mpaka umkri kuyakataa(kufunga)unapoyakataa huku ukiomba hayatakupata.
ZABURI.109:24. ANDIKO."Nimefunga kuacha kula lakini nimejitaambisha mpaka mwili wangu umekonda.
NENO.NIMEKATAA KULA NIMEACHA KULA NIKIMUOMBA MUNGU NIMEJIKUTA NAISHA MWILI NA KUAMBULIA MANGONJWA DANI YA MWILI WANGU NA MUNGU ASINIJIBU.
JOEL.2:12 ANDIKO.
"hata sasa asema bwana nirudieni mimi kwa kufunga na kuomba.
NENO.MAANA.hata mda huu asema BWANA nitafuteni uso wangu kwa kuyakataa majaribu yainukayo kwenu na kusali.
MATENDO.13:3
ANDIKO.ndipo wakiisha kufunga na kuomba wakaweka mikono juu yao.
NENO.Ndipo wakiisha kuyakataa mateso hayo kwa wagonjwa walio wawekea mikono yao juu.
MUNGU NAE ANASEMA NINI JUU YA WATOTO WAKE WALIOPOKEA ELIMU YA DUNIANI NA SI YA MBIGUNI. isaya,58:3-12
ISAYA 58:3-6 NENO
watu hawa hujitaambishaa wakisema tumefunga tunamlilia MUNGU ajibu mahitaji yetu nami huwashangaa maana wamepokea elimu ya mataifa mimi kifungo hicho cha kuacha kula sikuwaangiza mimu ndio maana nikachungulia nikaona watu wangu wanaangamia kifungo nilichomanisha mimi ni kuwaombea wagonjwa mkiwafungua na kuwaweka huru waliofungwa na shetani mkiwatembeleaa yatima(kuwatembelee wenye kiu ya kunijua)kuwatembelea wajane(kuwafikia waumini waliokosa neno langu.)
NDIPO UTAKAPONIOMBA NITAKUJIBU NITAYASIKIA MAOMBI YAKO NITAKUONGEZEA NGUVU NA UWEZA UTAKUWA JUU YAKO HAUTATESEKA TENA MAANA MIMI NITAKUONGONZA KILA UPITAPO MACHO YANGU YATAKUTAZAMA.
ASEMA BWANA WA MAJESHI
MADHARA YA KUFUNGA KUACHA KULA
-MATATIZO HAYAISHI KWAKO.
-MANDONDA YA TUMBO.
-KUFA NA MANDONDA YA TUMBO.
-KUISHA MWILI KUKONDA
-MUNGU HAKUJIBU
-MUNGU ANAFICHA USO WAKE NDIO MAANA UNAWEZA UKAJIBIWA AU ASIKUJIBU.
-MUNGU ANATAKA UMJUE NA KUMPOKEA KATIKA ROHO SI MWILI AU KUKALILISHWA NAWE UKAENDA TU.
KWA MSAADA WA KIROHO
PIGA.+255759861768
EMAIL.richkushoka@gmail.com
HOLY SPIRIT MINISTRY MOROGORO-TANZANIA
PASTOR RICHARD
Maoni
Chapisha Maoni