SOMO;NAFSI ILIYO FUNGWA.

SOMO; NAFSI ILIYOFUNGWA

Vitabu rejea;Mwanzo;2;7,22:16 Kutoka;32:7,Walawi;18;26

NAFSI NI NINI?

ni roho ya utambulisho wa  mtu katika kile akipendacho au moyo wa mtu nafsi hii huishi kutokana na mtu anavyoupelekea kama ni mabaya nafsi itatawaliwa na mabaya tu kama ni manzuri moyo utatawaliwa na manzuri tu.

Zaburi 6:4

[4]BWANA urudi, uniopoe nafsi yangu, 

Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako. 

KUNA SEHEMU KUU MBILI ZA NAFSI.
-NAFSI ILIYOFUNGWA
-NAFSI ILIYOHURU

NAFSI ILIYOFUNGWA
hii huwa nafsi inayotumikishwa na shetani mtu kutumikishwa na mambo yasiyompendeza MUNGU   UNAKUWA UNAFANYA MAMBO YASIYOFAA KWA JAMII NA KWA MUNGU NAWE UNAJIONA SAWA TU AU MPAKA UNAJIULIZA KWanini namkoseya MUNGU.

UTAJUAJE NAFSI YAKO
IMEFUNGWA

DALILI ZA MTU ALIYEFUNGWA NAFSI ZIKO HIVI.

1"MATATIZO YA MISIMU KWA HUYU MTU HAYAISHI.
kuwa biashara inakua inashuka faida huoni saa ingine mauzo yanakuwa mengi saa igne unachukia tu au hasira au magonjwa au hili au lile.

MATATIZO YA  VIPINDI UNAPOPITIA JUA NAFSI YAKO IMEFUNGWA
WAITAJI KUFUNGULIWA NA HII HUANZIA MOYONI KUAMUA.

2"ROHO ZA URITHI.(HISTORIA YA UKOO)
ukiwa unapitia wakati au magonjwa au tabia asili
huwa nafsi  imefungwa uonapo dalili hii unaitaji kufunguliwa ukatoke hapo na kumpa MUNGU MAISHA UACHANE NA YA SHETANI.

MAANA MUNGU ASEMA HIVI KILA MTU ATABEBA MATATIZO YAKE.
WAGALATIA.6:5

3"UNAKUWA  UNAKAMATA PESA LAKINI HUONI LA MAANA PESA ZINAISHA NA ULILOFANYA HALIPO.
hili ni tatizo la wengi sana kumbe elewa unaona mambo kama haya unadhumiwa.unaibiwa.unafanya kazi mshahara hupandi au faida huoni na unakamata pesa lakini huisha hata usijue mambo haya huwa chanzo.
MATUMIZ  MACHAFU YA PESA.ULEVI WAGANGA ANASA STAREHE

KAMA HAUPO HAYO UFANYI BASI NI MWIZI WA FUNGU LA KUMI.
FUNGU HILI HUTOLEWA KILA MWEZI ASILIMIA KUMI YA KIPATO CHAKO KWA MFANO KAMA UNAPATA 50000 KWA MWEZI UNATOA 5000 YA MUNGU FAIDA YAKE KWA WALE WAMEKUWA WAKITUMA HUWAJIBU HAJA ZAO MUNGU KUPINGANA NA WALAO PESA ZAKO NA UTARATIBU
TUMA KTK NAMBA YANGU
ABATANISHA MAHITAJI YAKO MATATU MUNGU ANAPOKUJIBU MWAMBIE MENGINE KILA UTUMAPO.

UKIWA MWAMINIFU KWA HILI MUNGU ATAIBARIKI KAZI YAKO
NA HUEDA WAPI SADAKA HII HUENDESHA KAZI YA MUNGU NA KUJENGA WAWEZA SOMA KWENYE SOMO LA SADAKA UTAJUA ZAIDI.

ILI UINIWE UBADILIKE KTK MATUMIZI YA PESA NA UWE MWAMINIFU KWAKE.NAWE UTABARIKIWA
MHUBIRI.5:11

4"MAAMUZI YALIYOFUNGWA.
hii ni mtu kuwa anapanga mambo hatekelezi au anasema kitu lakini anaishia kuongea tu.
WARUMI.7:19

5"KUOTA MANDOTO YAKUTISHA.
kuota unauliwa unakimbizwa unafanya mapezi unaolewa unamtoto wakat hauna umegobana na mwenzako.nk

ndoto hukujulisha kitu UOTAPO NDOTO NIELEZE MIMI NITAKUPA MAANA YAKE.

6" KUWA NA MKOSI KWA WATU NA JAMII FAMILIA KUKUZARAU.
ukiwa unapitia hili jua unaitaji kufunguliwa.
ZABURI.120:7

7"UNAANZA KITU NA KINAISHIA NJIANI.
unafungua biashara haidumu umefunga unaanza mahusiano lakini hayafikii kuoana au ndoa.

ukiwa unapitia hili yaitaji kufunguliwa

WAFILIPI.1:6

8"UNAPOKUWA MTU USIYETEKELEZA YA MUNGU.
hii huwa ni tatizo mtu anakuwa mwepesi kupuuza ya MUNGU KAMA UPO NA TABIA HII ELEWA UMEFUNGWA NAFSI WAITAJI KUFUNGULIWA NA TOBA.

9"AJIRA
Mtu aliyefungwa hutafuta kazi hapati hata akiajiliwa anawatajilisha wengne yeye hakuna na anafanya kazi pasipo na faida hukuna kiwanja makoch tv nk hawezi kumiliki.

10"WATEJA KUISHIA KUTAZAMA TU HAWANUNUI. AU WATEJA WANAKUPITA TU NA KWENDA KWINGINE.
wanakuambia badae au tunakuja au nilichokitafuta hakipo hapa.

11"UNATUMIA NGUVU NYIGI KUPATA KITU.
hii huwa mtu anajitaidi kweli lakini jasho lake huenda bure kabisa

12"MNAANZISHA UJENZI
nyumba huimalizi wala msingi hauishi mshahara unapata mambo yanakuwa mengi.

13"ROHO ZA MADENI.
kutawaliwa na madeni mengi yasiyoisha.


JINSI YA KUOMBA KAMA UMEFUNGWA NAFSI. 

__________________________________________

Baba ninaikomboa Nafsi Yangu Nalikomboa Jina langu Richard  njooo Richard njooo Richard njoooo

LIITE JINA LAKO KWA SAUTI YA KUKAZA

TEMBEA TEMBEA UNAPOOMBA


JINA LINAPOFUNGWA UJUE NAFSI YAKO IMEFUNGWA PIA UTAJIKUTA UNATUMIA NGUVU SANA KUBADILIKA KIMAISHA.


          •HITIMISHO• 

Nafsi ni kama injini kwenye gari ukipingwa Nafsi yako na Adui umemalizwa ujue utatumia muda mrefu mno kukamilisha Maono yako.


Wito

Kama unadalili hizo waone watumishi wakusaidie Au Fika Kanisani Morogoro Veta Dakawa  Kwa Pastor Richard +255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.