MAOMBI YA KUSIMAMISHA HUDUMA HOLY SPRIT MINISTRY KWENYE VITUO.

ANDIKENI KATIKA KARATASI MCHAPE WATUMISHI WA MOTO WA YESU.

HATUA YA 1

MAOMBI YA TOBA NA MSAMAHA

NJISI YA MAOMBI.
eeh bwana yesu nakukimbilia wewe baba yangu natubu maovu yangu kabla ya kukujua niliofanya nakri nilipotea sasa nimeijua kweli yako mimi mwanao nirehemu.KWA UPENDO MWINGI NITUMIE UPENDAVYO WEWE NITAWALE YESU DANI YANGU.AMEN

MAOMBI YA MSAMAHA.
eeh bwana yesu naomba unisamehe katka njia zangu matendo yangu na mimi taja jina lako nisamehe sana nalia mbele zako nimekukosea mengi makosa ya kuzini uogo nilikunywa pombe nilienda kwa waganga nilidharau neno lako nk mimi leo taja jinalako nimejua nimekukosea eeh baba najishusha mbele zako naitaji nikawe mtoto mwema baba ukanitumie kuokoa roho za watu ukanitumie kulitangaza neno lako nakiri nitakutumikia ktk holy sprit ministry huduma ya kuongozwa na roho siku zote nakumtii baba yangu wa kiroho mch.richard MAANA KUPITIA YEYE MPAKA UMENIONA MIMI.AMINA

MAOMBI YA KUTAWALA ANGA.

Baba ktk jina la yesu nasimama mbele zako kukukabidhi anga hili nililokanyanga ukalimiliki wewe kuanzia sasa holy sprit ministry ikawe moto ulao kazi za shetani baba simama kati ukafungue watoto wako fahamu zao wa eneo la tajajinasehemuulipo) anga hili tunalitawala ee baba yesu nakukabidhi wewe nafunga ujanja wao akili zao mbinu zao njia zao yesu zote zikamate katika jina la yesu.AMEN

MAOMBI YA KUBOMOA KUTA ZA SHETANI.
Natangaza ya kwamba shetani na jeshi lako nabomoa na kuuharibu ufalme wako nasimamisha ufalme wa MUNGU KTK HUDUMA YA ROHO MTAKATIFU KAMA NENO LISEMAVYO.YEREMIA.1:10
KAMA UNABISHA NENO HILI HALIKUPI KIBALI WE SHETANI WA KUJENGA POPOTE MTOTO WA MOTO WA YESU NISIMAMAPO NADHANI UNALIJUA NENO HILI LIMEKUKATAA FUNGASHA ONDOKA KATIKA MBELE YANGU ENEO LANGU KWENYE ANGA LANGU NAOMBA NAKUAMINI KTK JINA LA YESU.AMINA

MAOMBI YA KUJENGA NA KUSIMAMISHA HOLY SPRITY MINISTRY.(huduma za kiroho

eeh bwana yesu nasimamisha huduma yako najenga huduma yako sasa ikasimame ikakue ikastawi ikawe juu ikavuke mipaka kwa moto wa yesu moto moto..x10
AMEN.

katika maombi haya waweza ukajihisitofauti au kuona maneno yanakuja tu yakuomba usizuie tamka.

MAOMBI HAYA YAFANYWE NA WENYE VITUO TU

FATENI MTILILIKO NA OMBENI SIKU MLIOPANGIANA KUKUTANA.

KWA MSAADA ZAIDI WASILIANENI NAMI.

HOLY SPRIT MINISITRIES IKAVUKE MIPAKA IKAKUKUEE KWA  MOTO WA YESU. amina

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.