SOMO.ZIJUE SADAKA NA UTARATIBU WAKE

MCHUNGAJI RICHARD FROM HOLY SPRITY MINISITRIES

SOMO.AINA YA SADAKA NA UTENDAJI KAZI ZAKE.

1.SADAKA YA KUJITENGA NA DHAMBI.
HESABU.6:13-14
SADAKA HII huwa ni kiuganishi na ushindi wa kuishinda dhambi unayonena ktk kinywa chako. maana hujipatia upatanisho wa msaada wa kukusaindia kuishinda dhambi.

MAMBO YA KUZINGATIA.
ni kuacha na kuchukia maneno yanayokufanya utende dhambi.

amua mwenyewe ndani ya moyo.

CHUKUA HATUA YA KUIKATAA ROHO HIYO.

toa sadaka kwa kumpatia baba wa kiroho

ingieni mvunje akuombee

sadaka kiasi chohote tu.

FAIDA UNAYOIPATA.

ni kutawaliwa na yesu

na kupata mshauri ambae ni yesu.

unauganika katika utakatifu wa kristo.

UKRI MAOMBI YA KUKATAA DHAMBI.
eeh bwana yesu kuanzia leo nasimama mbele zako kupitia sadaka niliyokutolea naomba ikawe kiunganishi ya njia njema kuanzia leo ktk jina la yesu.AMEN.

2.SADAKA YA KUPATA AMANI PASIPO NA AMANI.
KUTOKA.32:6
Hii huwa inamana pale pasipo na amani na amani imetoweka ili urudishe ugana na mungu kwa kutoa sadaka ya amani.

UTAITOAJE
unachukua sadaka yako na kuipeleka kwa baba yako wa kiroho.

kiasi chochote.

MAMBO YA KUZINGATIA.
ombeni amani we na baba yako.

kabidhini tatizo linalosababisha amani itoweke.

UKIRI WA MAOMBI YA AMANI.

eeh bwana yesu kupitia sadaka hii ikauganishe upendo na amani uliomo ndani yako na nyumbani kwangu kwa mke wangu naomba nikiamini ktk jina la yesu.AMEN

3.SADAKA YA KUVUNJA ROHO YA HATIA.
WALAWI.5:6-7
Hii huwa sadaka inayolenga kwa watu ambao walishawahi kumkosea mungu walitoa mimba waliua nk.
hii sadaka huwa kipatanishi na mungu.

MAMBO YA KUFATA.
lazima ukumbuke ulimkosea wapi mungu.

jutia kosa kwa kuliugama.

kisha kamtolee sadaka kwa baba wa kiroho mwelenze.

kisha akuongoze msamaha na toba.

sadaka utatoa ulichonacho.

FAIDA
Hasira ya mungu na wewe inaisha.

Mungu anaanza upya nawe.

4.SADAKA YA HIARI.
HESABU.29:36
Hii huwa ni sadaka unayoitoa kila jumapili yenyewe huwa ni wewe ukijisikia utoe au usitoe.

FAIDA YAKE.
unapotoa hivyo jua unamtunza baba yako wa kiroho na unamfanya asomeshe wanae.

HIZI SADAKA ZINAENDA WAPI.
hii sadaka ndio inatakiwa mchungaji atumie kulea familia na kusomesha hili huwa fungu la mchungaji.

6:SADAKA YA KUJITENGA NA MANENEZI LAANA NA MAMBAYA.
KUMBUKUMBU LA TORATI.32:38
2SAMWELI.23:16-17
Hii huwa sadaka ya kuvunja manenezi yote laana mambaya waliowahi kukutamkia wanadamu.

MAMBO YA KUFATA.
kataa laana manenezi yote.

toa sadaka kiasi chohote mpatie mchungaji anaelewa somo la laana manenezi.

mwambie akuombee.

UKRI WA KUVUNJA LAANA MANENEZI.

eeh bwana yesu nasimama mbele zako nikienda kukataa laana na manenezi waliowahi kunena ktk jina la yesu.AMEN.

7.SADAKA YA KUINULIWA.
KUMB.TORATI.12:11
Hii huwa sadaka ya mtu aliyechini kuinuliwa juu toka hatua ya kuwa chini kwenda hatua ya kuheshimika.

FAIDA YAKE.
Ni mtu kupanda juu kiuchumi na kiroho.

kuheshimika.

kuongopwa.

UTARATIBU WA KUFATA.
Kwenda kumwendea mungu nakumwambia staki kuwa chini.

ambatanisha sadaka ktk bahasha toa kanisani.

MAOMBI YA KUINULIWA.
eeh bwana kupitia sadaka hii naomba uniinue sitaki kuwa chini ktk jina la yesu.AMEN.

8:SADAKA YA KUVUNJA KIU YA ULEVI.SINGARA.KUBELI.
EZEKIELI.20:28
Hii huwa sadaka ya kuvunja kiu ya matuminzi ya vilevi kwa wale wanaotumi wameshindwa kuacha lakini wanatamani kuacha.

MAMBO YA KUFATA.

kuanza kuacha na kujiepusha na mazingira yanayokufanya uwe mlevi.

amua toka moyoni kuacha.

toa sadaka inenee kuanzia leo sadaka ukaongee mbele za mungu.

mpe baba yako wa kiroho aombe kufunga kiu ya ulevi.

MAOMBI YA KUVUNJA HAMU YA POMBE.

eeh bwana yesu naomba unigeuze na kuikata kiu ya ulevi nikalelewe nawe baba.AMEN

9:SADAKA  YA KUONGONZWA NA MUNGU.
WALAWI.7:30
Hii huwa sadaka ya kuongozwa na mungu katka njia zako hapa duniani.

MAMBO YA KUFATA.
Amua kuachana na ya dunia umtii mungu.

Mpende mungu kuliko vyote.

mtolee sadaka hii uinenee baba niongoze we maisha na njia zangu zitawale.

FAIDA YAKE
Hautapotea ktk uovu

sadaka hii kiunganishi kikumbwa na mungu.

utaitawala dhambi.

11;SADAKA YA KUTEKETEZA.
MWANZO.8:20
MWANZO.20:22 2WAFALME.3:26-27

Hii huwa sadaka ambayo huenda kujidhihirisha na kutatua yaliyo magumu kwako.

MAMBO YAKUFATA.
Sadaka hii haitolewi ovyo ovyo.

sadaka hutolewa kwa angizo la mungu.

toa kwa kufata maelekezo ya mungu.

mara igne hutumia wachungaji.

hutolewa asilimia 80% za kipato chako unamtolea mungu.

FAIDA YAKE.
Kwanza huwa linauma sana

huwa linanguvu ya ajabu

huwa kipimo cha uaminifu wako

huvunja kazi zote za shetani.

hukuzindishia upendo kwa mungu.

12:SADAKA YA KUJARIBIWA
WALAWI.10:15

Hii huwa sadaka ya kukataa kujaribiwa unapoitoa unasababisha mungu akuzungushie wingo.

FAIDA YA HII
Mungu anadhibiti visababishi vya kukufanya uingie majaribuni.

anafuta hofu anakuletea ujasiri

unaitoa nayo kwa baba wakiroho mueleze  kisha uombe nawe.

15:SADAKA YA SHUKRANI.
YEREMIA.17:26
Hii huwa sadaka ya kumshukru mungu kwa aliyokufanyia  baada ya kumuomba akakujibu nawe kama ulisema mungu ukinitendea hili nitakutolea kitu fulani inatakiwa utimize ulichosema baada kukujibu.

HII UTOLEWA KANISANI PIA.

16:SADAKA YA MALIMBUKO.
HESABU.15:21
Hii huwa sadaka ya mazao kila mwaka toa ndembe moja kila junia peleka kanisani inatengemea umepata junia ngapi kama 5 peleka ndembe tano. kila zao ulilolima.

17:KUPANDA MBEGU.
KUTOKA.22:10
WALAWI.25:3
Hii huwa  ni sadaka unayoitoa ukitengemea ijibu hitaji lako  lilokusumbua mda mrefu hii huwa ni hiari ya mtu kutokana na uwezo wake.

MAJIBU YAWEZA KUWA NDIO AU HAPANA.

18:SADAKA YA FUNGU LA KUMI.
MWANZO.14:20
WALAWI.27:30

Hii ni sadaka ya lazima utoe kila mwenzi toa asilimia kumi na hii unatoa pesa yakutokana jasho lako usipotoa unamwimbia mungu.

NJISI YA UTOAJI
MITHALI.15:8  YOHANA.3:16

MUNGU ALIAMUA AMTOE YESU MWANAE ILI IFANYIKE SADAKA YA UPATANISHO BAINA YAKO NA MUNGU.

UTAITOA KWA MTILILIKO HUU.
kama unapokea 80000  KABLA UJAITUMIA tuma 8000 kabla ujatuma nenea maombi matatu.

kwa mkulima teka sado kumi mpe baba wa kiroho.

kwa mfanyabiashara kila wiki toa asilimia kumi.

au subiri mwisho wa mwenzi piga hesabu ukipata jumla ya toka tar 1 mpaka tar30 toa asilmia kumi.

FUNGU HILI HUENDA WAPI
hili ni fungu linalosimama kujenga kanisa ni fungu la mungu haitakiwi ale mch.askofu wala nani.

FAIDA YAKE HULINDA KAZ YAKO  MSHAHARA WAKO  NK

ANAETAKIWA KUTOA ALIYE  FUNDISHWA

LAZIMA UTOE KWA MCHUNGAJ

MAOMBI KAMA MWINZI
FUNGU LA KUMI
eeh bwana nisamehe nimekuimbia sana fungu la kumi ndio maana umerusu haya ktk uchumi wangu nisamehe baba ktk jina la yesu.AMEN

20:SADAKA YA MZALIWA WAKWANZA
HESABU.18:24-25
Hii ni sadaka unayotakiwa uitoe kumkomboa mzaliwa kwanza.

FAIDA YAKE.
Huyu huwa lango la wengne kama hutamkomboa  huyu  utakuwa  umewafunga ktk vifungo alivyo navyo

unaokoa uzao wako wote

hata mizimu huanzia mzaliwa wa kwanza ndio lango la uzaowako

UTAITOAJE DAKA PELRKA KWA MCH  AMUOMBEE MZALI AKIMTENGA NA KUZIMU  KISHA AUGAMANISHE SADAKA NAE  KWA KUOMBA TU

NAITWA MCH.RICHARD  FROM  HOLY SPRITY MINISITRY 

EMAIL.richkushoka20@gmail.com

+255676836250

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.