SOMO: JINSI MCHAWI ANAWEZA KUKUTEKA UFAHAMU NA AFYA YAKO AU NYUMBA YAKO. ISAYA.8:19 WAGALATIA.5:9-21 TORATI.18:9-14

UTANGULIZI:
UCHAWI NI NINI?
ni miujiza ya kimwili inayotumia mapepo na kuongozwa na mkuu wa anga.


KUNA AINA MBILI ZA UCHAWI.
-UCHAWI WA KUPEWA NA MAJINI.
-UCHAWI WA KURITHISHWA NA MTU.


UCHAWI WA KUPEWA NA MAJINI 
huu uchawi ndio unaotoa jini la uchawi kwenye anga na mkuu wa anga ndio  hutoa

UCHAWI WA KURITHI.
huu uchawi hufata ukoo na mtu anaekuwa mchawi hufata utaratibu unao wekwa na mkuu wao wakilinge.



NJISI MCHAWI ANAVYOWEZA KUKURONGA.

kwanza huangalia katika anga lao wakikuona mtu wa kwenda kwa waganga 
wakienyeji kukupata huwa vilahisi
kutokana mganga hutumia majini na mkuu wa anga kukutibu na wachawi nao hutumia majini na mkuu wa anga kukudhuru.

lakini pia ukiwa unasali lakini ni dhaifu nakuomba kwako hutumii jina la yesu katika maombi yako jua watakuweza tu.

lakini kwa yule alieokoka akiwa anaomba huwapa wakati mgumu  na huwatala maana hawaliwezi jina la YESU.



UCHAWI UNAVYOFANYA KAZI MAKANISA MENGI YA SIKU 
NA NJISI UTAKAVYOWEZA KUEPUKA MAKANISA YA SHETANI.


KANISA UTAKALOINGIA UKAKUTA LINABAGUA MASIKINI NA TAJIRI WENYE PESA ANAVITI VYAKE JUA NI LA SHETANI


KANISA UTAKALOINGIA  LIKAKUCHANJI PESA KATIKA MAOMBEZI NI LA SHETANI.


KANISA UTAKALOINGIA UTAMKIWE POKEA HIKI NA KESHO UAMKE UNACHO NI LA SHETANI.


KANISA UTAKALOINGIA UKAKUTA LINAENDESHWA KIBABE JUA LA SHETAN



KANISA LA KUTUMIA VITU KUPONYA BILA KUTAMKA JINA LA YESU.
N.K




NJISI UCHAWI UNAVYOWENZA KUKAMATA MAISHA YAKO.

ASILIMIA 80 ya mahusiano na ndoa huvunjika kwa uchawi na kusambalatisha upendo amani maelewano ndani.

KATIKA MDA WA USIKU NA NJIA PANDA  MAOFISINI KATIKA BIASHARA YAKO AFYA YAKO.NK



KUNA MBINU NYIGI NA UCHAWI MEWINGI UNAOFANYWA NA JAMII IKUZUNGUKAYO WACHAWI HUFUNGA USIOE AU KUOLEWA HUFUNGA USIPATE KAZI



NI VIGUMU KUUTAMBUA UCHAWI HATA UNAPOMUOMBEA  MTU MWENYE UCHAWI PASIPO ROHO WA MUNGU HUTOWEZA KUMPONYA.

UPO UCHAWI WA MIUJIZA
AMBAO MTU UTAMSIKIA ANALALAMIKA MARA TUMBO KUNAKITU KINATAMBAA

MARA NAHISI NIMEBEBA MZINZGO
MARA WADUDU MARA HIKI.


KUMBE NI UCHAWI MMOJA UNAJIBADILISHABADILISHA

UTAWEZAJE KUUTOA UCHAWI KWAKO WEWE MUOMBAJI.

LAZIMA UJUE UCHAWI NGANI
LAZIMA UJUE CHANZO
LAZIMA UMRUSU ROHO AKUONGOZE 
LAZIMA UENDE NA KIMOJAKIMOJA.


CHAKUZIGATIA UWE KATIKA UWEPO WA MUNGU.


MUNGU AKUBARIKI KWA KUJIFUNZA KITU.


NAITWA MCHUNGAJI RICHARD FROM NZEGA.

SIMU.0759861768












Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.