SOMO: LAANA -CURSE BOOK. GEN:8-21 LUK.6-28.ROM.12-14 ,
LAANA NI NINI?
Ni matamshi unayotamkiwa na mtu yasiyokutakia meme mbeleni au katika maisha yako.
KUNA SEHEMU KUU MBILI ZA LAA KWAKO ZIELEWE
1.LAANA WATU.
2.LAANA YA FAMILIA.
LAANA YA WATU.
ሸi maneno mbaya unayotamkiwa na watu.
mf.bint huyu malaya kaka huyu anajifanya.haazai.hataolewa...
HASARA YA KUTAMKIWA MANENO.
1"maneno hutimia usipokanusha.
2"unamkaribisha shetani asimamie hapo kukuangusha
3"itakutesa mpaka uje ujue ndipo ujinasue.
FAIDA YAKUTAMKIWA MANENO MABAYA.
1"INAKUONGEZA IMANI YA KUWAZOEA WANADAMU.
2"MUNGU ANAKUVUSHA ILI AFUNGE MIDOMO YAO.
3"UNAKUWA JASIRI WAKUPITA VIZINGITI.
4"MUNGU ANATENGUA KAULI ZAO WALIKUWA WATU WAKUKUDHARAU LAKINI WATAKUHESHIMU.
5"UNAKUWA SHUJAA WA IMANI.
NINI UFANYE KWA WANAOKUTAMKIA MABAYA.
LUKA.6:27-28
1-FUTA MANENO MABAYA ULIOTAMKIWA.
2-MBARIKI AKUTAMKIAYE MANENO MBAYA.
3-FURAHIA WANAPOKUTAMKIA MABAYA MAANA UNAINILIWA.
4.TUNZA ANGANO LAKONA MUNGU
5-MUNGU ANAKUTAMBUA WEWE MTU JASIRI.
USHAURI WA KIROHO UNAEPITIA HAYA.
AGALIA SANA MANENO UNAYOTAMKIWA KAMA YA KUKULAANI YAKATAE KWA KUSEMA HAITAKUWA HIVYO KISHA BARIKI ANAEKUTAMKIA MAANA ANAKUPELEKA PENGINE NA KUMPITA YEYE NAE ANAKUWA AJUI KAMA ANAKUPA FAIDA YA MUNGU KUKUJUA KUWA WE JASIRI.
UKIMLAANI ANAEKUTAMKIA WAJISABABISHIA MATATIZO
LAANA YA WAZAZI.
ሰi maneno mabaya wanayo watamkia wazazi watoto wao.
mf.nyinyi watoto mtazalia nyumbani.
nyinyi vijana hamtatukumbuka.
hamtaolewa. mbwa nyinyi. fisi.shetani wakumbwa nyinyi.
hamtasoma ninyi.
haya ni baadhi ya maneno wazazi huwalaani na baadae watoto huenda njia hizo.
EBU SOMA USHUHUDA HUU WA CHRISTINA.
kilistina alizaliwa mara akaenda dar kutafuta kazi alipofika huko alianza kuuza bar akiwa anamiaka kumi na saba wateja wakawa wanamshika na mwishowe alijikuta ameingia kwa wanaume
siku moja alisoma somo langu fb ktk akaunt yangu ya moto wa yesu alisikia sauti ikimuuliza kwanini wafanya uchafu
mpingie mch. uokoke umweleze alinipingia akasema mch. naomba uniombee rehema kwa mungu nataka niokoke akaelenza chanzo wazazi baada ya kuokoka alibadilika tabia ya kubadilisha wanaume sasa ameolewa yupo zanzibar.
huu ni ushuhunda wa christina pita
wazazi tuangalie matamshi kwa watoto tunapokuwa tunawatamKIA MAbinti huyu christina yamkini kama wazazi wake wagekaa nae wakamweleza anapokosea asigepotea lakini walimuuita mbwa.malaya.wakafuta upendo kwake akaamue aende dar..
CHANZO PIA WATOTO MWASABABISHA WAZAZI WAWALAANI.
-WATOTO WENGI HAMNA HESHIMA KWA WAZAZI WENU.
-VIJANA MMEKOSA HESHIMA KWA WAZAZI NA WALA HAMUWAPI NAFASI YA KUWAELEZA SHINDA ZAO.
-WAKUMBUKENI WAZAZI
ILI UPATE BARAKA KWA WAZAZI
-WAHESHIMU
-WAPENDE
-USIWEKE UADUI NA WAZAZI
-WAPE NAFASI YA KUSEMA NAWE
-WAKUMBUKE NYUMBANI
-WANAPOKUKWANZA WAELEZE.
-POKEA MAUSIA YAO YAFANYIE KAZI
END……
MUNGU AKUBARIKI NINAIMANI UMEVUNA MENGI KATIKA SOMO HILI
MUNGU AKUBADILISHE KUTOKA HAPO ULIPO..
SWALI
KUNA TOFAUTI GANI KATI YA LAANA YA WATU NA WAZAZI?
KWANINI WAZAZI WEPESI WAKUTAMKA LAANA KWA WATOTO KULIKO BARAKA?
UMEJIFUNZA NINI NA UMECHUKUA HATUA ZIPI BAADA YA KUJIFUNZA?
JIBU MASWALI HAYO
WAWEZA KUANDIKA SEHEMU YA MAONI AU UKAANDIKA NYUMBANI
ASATENI WOTE MNAOKUWA MNASHIKISHA NA WEGINE KUJIFUZA
NI NDUGU YAKO MTUMWA WA KRISTO MCHUNGAJI RICHARD
SIMU.+255759861768
email.mchungajirichard@gmail.com
Maoni
Chapisha Maoni